Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,030
🚨 Israel yaionya Marekani: Majaribio ya Makombola ya Iran yanaweza kuficha shambulizi la Iran dhidi ya nchi yake.
Maafisa wa Israel wameutahadharisha utawala wa Trump kwamba zoezi kubwa la kombora la IRGC huenda likawa kificho kwa shambulio la kushtukiza linaloweza kutokea dhidi ya Israel.
Mkuu wa IDF Eyal Zamir aliwasilisha maswala ya kimkakati kwa Kamandi Kuu ya Marekani, akitaka kuwepo na uratibu wa kijeshi huku kukiwa na mvutano mkubwa wa kikanda.