Israel wanataka tu Roho ya Ayatollah Khamenei

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,266
Reaction score
14,270
Watu watakufa watu wataumia kwa maelfu ila wazee wakutoa roho qka Israel wana kazi moja sio vinu vya nyuklia wala nini ila roho ya mkuu wakidini Ayatollah Khamenei.

Je, ni kwani?

Mpaka sasa Israel chini ya kikosi chao cha majasusi Shinbet and Mossad wamesha pata nakala na ushahidi wakutosha nani alitoa fungu lakuwauwa zaidi ya wayahudi elfu moja kiufupi mpaka babu yenu putin wameshajuwa mchango wao na ili isiwe shida.

Wameamua kumpotezea nakusema liwalo na liwe Ayatollah Khomen ni halali yetu.. yaani yaani iran itanuka maana kwanza kila unavyosikia mlipuko Ayatollah yupo maeneo hayo na hii ndio sababu Ayatollah anamlilia USA ampooze Israel ila bado wanataka roho ya huyu mzee wakimaliza yanafuwata mapinduzi. Wana wataingia wataiba all secret wanazitaka kisha wana hamia Ukraine mtasikia vita imesimama ghafla..
 
vveeq.PNG

Tel Aviv ni kituo, washeni ile THAAD sasa
 
Ilikuwa 14 July 2025 leo 28.02.2026 wamemalizana naye. Utabiri umetimia
 
Back
Top Bottom