JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,347
- 5,567
Kuna program ya kilimo ya mwaka 1 watanzania waliosoma kilimo wanaenda kila mwaka.Suwa, UD, Udom, etc! Unaenda mpaka karibu na Hamas kusoma!!!!!????
Kuna program ya kilimo ya mwaka 1 watanzania waliosoma kilimo wanaenda kila mwaka.
Mbona hawakutaja majina?!Maafisa wa Tanzania wanaendelea kuwatafuta Watanzania hao waliokuwa Kusini mwa Israel ambapo kuna vita inayoendelea kati ya Taifa hilo na wapiganaji wa Kundi la Hamas kutoka Palestina.
Balozi wa Tanzania Nchini Israel, Alex Kallua amezungumza na BBC na kueleza kuwa Wanafunzi hao wamekuwa katika mafunzo ya vitendo, wamewatafuta hadi Hospitali walikolazwa majeruhi wa vita lakini hawajafanikiwa kuwapata.
Balozi amesema “Tumewasiliana na Mamlaka pamoja na Taasisi wanayosoma hakuna aliyetoa majibu ya uhakika wala kujua walipo."
Kuna Watanzania 350 wanaoishi Israel kati yao Wanafunzi ni 260 wanaosomea masuala ya kilimo.
============
Two Tanzanian students still missing in Israel
Tanzanian officials are still looking for the two Tanzanians missing in southern Israel - the area hit by the Hamas attack over the weekend.
Tanzania’s ambassador to Israel, Alex Kallua, told the BBC the two had been doing internships there.
“Early today there were some information circulating that some Tanzanians had been injured, but we followed up with hospitals where the rescued were taken but did not find any,” he said.
“We have been communicating with the authorities and even the institution that arranged for their internship and none of them had information on where the students were.”
There are around 350 Tanzanians living in Israel including around 260 students pursuing agricultural programmes, according to the embassy.
Source: BBC
Kilimo cha kisasa cha teknolojia za kisasa kinapatikana Tanzania?Israel na ccm wapi kuna mashamba makubwa ya kujifunza kilimo?
Israeli na Misri ni sehemu wanafunzi huenda kujifunza kilimo cha kisasa.Suwa, UD, Udom, etc! Unaenda mpaka karibu na Hamas kusoma!!!!!????
Life is about taking risks. Wangefanikiwa tungewapongeza.Suwa, UD, Udom, etc! Unaenda mpaka karibu na Hamas kusoma!!!!!????
Yaani wewe kila siku unafiwa na classmates kwenye kila janga linalotokea duniani😅😅.R.i.P Classmates....😥
Inaniuma sana mkuu....😪Yaani wewe kila siku unafiwa na classmates kwenye kila janga linalotokea duniani😅😅.
Pole sana mkuu. Ila inawezekana hawa hawajafa wamejificha sehemu labda.
Maumivu gani na hapo juu umecheka. LioneInaniuma sana mkuu....😪
Wakati wanatafutwa hao wawili, waliosalia warudishwe nyumbaniMaafisa wa Tanzania wanaendelea kuwatafuta Watanzania hao waliokuwa Kusini mwa Israel ambapo kuna vita inayoendelea kati ya Taifa hilo na wapiganaji wa Kundi la Hamas kutoka Palestina.