Hoja yako ni ipi hapo?Tanzania: 945,087 km²
- Ukubwa(kilomita za mraba)
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
Tanzania:$85.42billion
- Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
Tanzania: Watu million 61
- Idadi ya watu(population)
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.
Copy right Beginning
Tanzania: 945,087 km²
- Ukubwa(kilomita za mraba)
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
Tanzania:$85.42billion
- Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
Tanzania: Watu million 61
- Idadi ya watu(population)
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7
{ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi]Tanzania: 945,087 km²
- Ukubwa(kilomita za mraba)
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
Tanzania:$85.42billion
- Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
Tanzania: Watu million 61
- Idadi ya watu(population)
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.
Copy right Beginning
ALITAKA KUSEMA UKUBWA WA PUA SIO WINGI WA KAMASITanzania: 945,087 km²
- Ukubwa(kilomita za mraba)
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
Tanzania:$85.42billion
- Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
Tanzania: Watu million 61
- Idadi ya watu(population)
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.
Copy right Beginning
Tanzania: 945,087 km²
- Ukubwa(kilomita za mraba)
Vs
Israe:22,145km²
Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel.
Tanzania:$85.42billion
- Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $)
Vs
Israel:$521.696billion
Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania.
Tanzania: Watu million 61
- Idadi ya watu(population)
Vs
Irael:watu million 9
Tanzania inawatu karibia mara 7 zaidi ya israel.
Copy right Beginning
Huku ni ufisadi tuKwa viongozi wetu hawa wanaotanguliza nafsi zao kwanza, wanaojali matumbo yao, wanaotizama kesho yao na vizazi vyao unategemea nini mzee.
Hakuna kiongozi anafikiri tanzania ya kesho.
Hata huko israel wizi, ufisadi upo ila watu wanaweka taifa mbele kisha maslahi yanafuata, wanafaidika pale ambapo taifa lao litfaidika maradufu
Kabisa kiongoz👏👏tungekuwa na viongozi wenye upendo na watu wao na nchi tungekuwa mbali sana tatizo wengi wetu ni walafi na tunachukiana hasa!
hata mitaan mtu akifanikiwa anachukiwa na akifeli wanafurahia na wabaya ni wakaribu yako!
Israel ni mfuko wa pembeni wa west na USA,yaani wanatia hela humo,na kufunguliwa milango wauze bidhaa zao huko bila vizingitiKiongozi umeshtuka! Ndo uhalisia huo.
Hapo ni tembo vs sisimizi ila vice versa.🔄🔄