Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Kwanini mnaita Taifa teule la mungu na kwa misingi gani?Hawa ndio waliomkataa na kumuua
Biblia inasema ni taifa teule la Mungu KUM.11:12. inasema pia wayahudi watamkataa Yesu Is. 53.3
Kama lingekuwa Taifa teule basi lingekuwa shwari na lisingekuwa na maadui
Biblia ilitabiri chuki na vita kati ya wana wa Ishmael na wana wa Isaka Mwanzo 16.12
kwakuwa ni taifa la kubatizwa lisilo na muelekeo na lenye kutenda maovu makubwa na madogo,lenye kunyanyasa na kubagua wanaadamu wenzao,lenye kuua binaadamu kuliko Taifa lolote hapa duniani na kutenda machafu mengi
Hivyo visa unavyo visema vinafanyiwa waarabu tu. Ndio maadui wao kwa sababu ya Mwanzo 16:12
msimsingizie mwenyezi mungu kwasababu mwenyezi mungu hana ubaguzi
Mungu ana ubaguzi sana.
Mungu ubariki anaye penda yeye. Huo ni ubaguzi
Wengine wataingia mbinguni na wengine la. Huo ni ubaguzi.
Anaonekana kwenye vitabu vyote vya dini kupendelea watakatifu. Huo ni ubaguzi
akinichagua mimi akuache wewe ni ubaguzi.
ingawaje wanakuja kwa staili ya uwekezaji.
Zote ni haina ya silaha na niruksa kuzitumia
Hii vita itakuwa ya maneno tu kama kwenda wangekwenda kupiga miaka mitatu au minne iliyopita kwasababu hivi sasa ni ngumu na inazidi kuwa ngumu kuingia ktk anga au ardhi ya Iran
Tayari wanasayansi wanne wa Iran wanao usika na kutengeneza hilo bomu wameshauawa kati ka mazingira ya kutatanisha. Sio maneno tu. Israel wameomba na wanaendelea kuomba waruhusiwe kuingia Iran. sasa hivi wameshasema kwamba hata bila kuruhusiwa wataingia tu.
Hanunui silaha wala difence ila anzitengeneza mwenyewe na jeshi analo kubwa sana wala hahitaji msaada
inategemea anatengeneza silaha zenye teknologia aina gani. Hata Iraq walikuwa wanatengeneza scud missile. Zilikuwa zinadondoka na kutoa moshi tu bila kulipuka ndio iliokuwa technologia yao, zilipoanza kuruka zikapata zinasubiriwa na zingine zinazoitwa patriot missile zenye hawakutegemea zilikuwepo. Iran tunasubiria tuone wananini. Wingi wa jeshi sio ishu wanaweza kujipata wanapigana na drone milioni moja na intercontinental balistic missiles zinazo kontroliwa kutoka mbali. Hilo jeshi kubwa litabaki kushika silaha na kushangaa adui alipo.
Sasa sijui kuusu watu wa Mungu ndio nasubiria watakavyo fanya au kufanywa ili nijue kweli watu wa Mungu.
Abrahamu ni babu yao, manabii wote wametoka kwao,wao ndio msingi wa theology za waislam +wakristu.Taifa lao lilipewa jina na Mungu mwenyewe, nao ndio wameingia mikataba mingi sana na Mungu.Wayahudi wamepokea Noble price nyingi kuliko watu wa race nyingine.Nobel walizopata Israeli kwa ujumla na hata kwa fani mojamoja zinazidi zote walizowahi pata waislam wot duniani+watu wa jamii nyingine katik asia na Africa.
Na wao wana hukumu yao kutokana na maagano ya binafsi ya wazazi wao na Mungu wao.Wao wameweza fanya miracle kwa kuanzisha taifa lao katikati ya mataifa hostile kwao+ pamoja na kuwa uingereza aliwabana ili wasirudi.Pamoja na mashinikizo ya dunia bado wanashikili vitu muhimu vya kutosha kusaidia kuhakikisha wakati wakihitaji ulinzi wana survive.Vyote hivi walivionamiaka kibao nyuma, leo vinawasaidia.
Bado hujaona uteule wao?