hiyo ni bora, afadhali mwisrael aingie pale kuliko mwiran au mwarabu yeyote yule....nimefurahi kusikia hivyo. baadae na sisi wabara tutakubali ubalozi wao ufunguliwe hapa ukiwa mkubwa kabisa kama ule wa kenya ili nchi yetu ibarikiwe kwa uwepo wa watoto ibrahimu isaka na yakobo.
kwa mbali mwangaza umeanza kuonekana. tumehangaika na tulipoangukia muda mrefu saaaana ila sasa tunaanza gundua tulipojikwaa.