Israel siyo taifa teule

Soma ufunuo wa yohana mbona Kila kitu kipo waziView attachment 1787901
 
Unajua maana ya philist (philistine), kwa nijuavyo mimi hili neno ndiyo Palestine.
 
Wapalestina ni Ukoo wa Ismael lakini baba yao mmoja ni Ibrahim


Sio kweli kwani makabila mengine ya Waarabu yalikuwepo kabla ya Ibrahimu hajahamia maeneo hayo kutoka Ur ya Kardayo (Uturuki) na moja ya makabila hayo ni Wafikisti (Philistines ,Wapelestina).

Waarabu waliokuwa uzao wa Ibrahimu ni Waismael wana wa khedari na wengi wao walitokea Saudia mahali ambapo Ismail aliishi yeye na mama yake baada ya kuachwa na Ibrahimu eneo hilo na baada ya miaka kadhaa Ibrahimu aliporudi eneo hilo kipindi Ismail kisha kuwa mkubwa na eneo hilo limeshakuwa na majazi ya watu kwasababu Maji ya zamzam yalikuwepo hapo, ndipo Wakainua kuta za nyumba tukufu ya makka, hao watu waliojumuika hapo kwenye hiyo chemchem na kufanya makazi hapo Walikuwa ni Waarabu ambao sio Wazao wa Ibrahim (as) ni kutokana na hao Waarabu ndimo Ismail alipata mke.

Unapozungumzia Waisraeli lazima Uanze hivi:- Ibrahimu----Isihaka--- Yakubu (Israeli)---Makabila/koo 12 za waisraeli.

Na unapozungumzia Waarabu WALIITOKANA NA Ibrahimu unatakiwa uanze hivi: Ibrahimu---Ismail----- khedari-----Waarabu wa Ismail. Hivyo utaona sio waarabu Wote wametokana na uzao wa Ismaili au uzao wa Ibrahimu.
 
😀 Unachokitafuta utakipata. Hakuna mtu, au taifa linaloweza ku mess up na hawa watoto wa Yakobo akatoka salama.


Hawa ni Wakorofi tangu Babu yao Jakobo aliyepigana mieleka na Mungu (soma Biblia), Firauni wa Misri aliwaona ni wakorofi ndipo akawatia utumwani na akawapa mateso makali nk, akaja Nebuchadnezzar mfalme wa Babylon akawateka makabila 10 na kuwatia utumwani kwa miaka kadhaa na alipowaachia huru hawakurudi tena Palestine bali wakatawanyika kama kumbikumbi sehemu mbalimbali za dunia: Ulaya, India, Bara arabu, Iran, Afghanistan nk, huko Ulaya Wazungu wakawapa kichapo na mateso makubwa na mateso ya karibuni ni mateso ya Hitler , dunia ikawaonea huruma jinsi walivyotangatanga na mateso yao ikaamua kuwatafutia makazi ili wajibanze kwani waliishi kama kuku au mbuzi asiyekuwa na mchungaji, wakapewa kipande cha ardhi hapo Palestina ambako tayari Identification yao ilikuwa imeshafutika kipindi hicho (1948), sasa wanataka kuwafuta Wapalestina kwa kumega ardhi yao kwa mabavu kwa kusaidiwa na mataifa makubwa na ndio maana hadi leo Palestine haijapewa hadhi ya NCHI sababu ni njama kwamba baadaye imezwe na Israeli.

Nataka kukuambia kuwa haiwezekani kwa taifa "TEULE" la Mungu kupata misukosuko kiasi hicho lazima litakuwa ni taifa la shetani ambalo Mungu analiadhibu, tangu wawekwe hapo Israel hadi leo ni vita tu na majirani zake tupilia mbali vikundi vya HAMAS na Islamic jihad anavyopambana navyo, Kifupi ni kwamba Waisraeli hawana amani kamwe na hiyo ni adhabu kutoka kwa Mungu jinsi historia inavyoonyesha hivi hilo sio taifa TEULE.
 
Nakuja tu kionjo
 
Ukisema kuwa Israeli sio taifa teule kea kigezo hicho ni ujinga wa biblia na elimu ya Mungu. Mungu wetu ni mwenye Huruma Ndio lakini Mungu Hana Huruma lakini upendo wake kwetu ni mkuu haina kifani.

Israeli nibtaifa teule kea mujibu wa biblia. Hivi ulitaka taifa teule waishi kama kondoo? Au wasitende dhambi? Mwanadamu yeyote aliyechini ya jua anatenda dhambi. Israeli pia, anatenda dhambi. Lakini hiyo haiondoi kuwa taifa teule. Israeli pia Wana. Adhabu yao siku ya mwisho kama wanadamu wengine. Na matendo yapo yamewekwa wazi lakini wao si kama sie.
 
Mwaka 1967,nchi sita zilichakazwa vibaya mno iwe leo?. Mkono wa Yehova uko juu yao, na macho yake huwatazama.
Unaleta habari za enzi za wakoroni ukoo tuko 2021....izo zitabaki kua historia
 
Uko sahihi kabisa. Baba yao Yakobo (Israel) toka achukue haki ya uzaliwa wa kwanza hakuwahi kuishi kwa amani hadi vizazi vyake leo hii. Baada ya ule uongo ilibidi akimbilie kwa mjomba wake aitwae Laban. Ambapo pia baadae alihama. Karibu na mwisho wa maisha yake akahamia Misri. Kiufupi ni taifa lenye laana ya kurithi.
 
Uisilamu, kwanza ni Qur'an , lete aya ya Qur'an kuthibitisha madai yako kwamba UYAHUDI ni Ukafiri.
Tena naongezea hapa UYAHUDI ni UKAFIRI na ni USHIRIKINA kadhalika.

Soma sura ya tisa katika Qur'aan aya ya 30 mpaka 33.

Kadhalila UKADIANI nao siyo UISLAMU.
 
Kule Misri aliitwa na mtoto wake Yusuf amani ya Allah iwe juu yao,baada ya nabii Yusufu kupata nafasi katika utawala.
 
wenyewe wayahudi wanasema Yesu alikuwa janja janja tu mission town alikuwa anajuwa dini kidogo akawa anahubiri tu lakini sio Messiah na Mary alikuwa mdangaji alizaa nje ya ndoa ndivyo wanavyoamini na kwamba Messiah wa kweli bado hajaja ila atakuja kwao.
 
Acha porojo. Biblia nimesoma kuliko unavyodhani. Israel wanachofanya ni upuuzi
Tuseme ni kweli wateule na dini yao ni ya kweli sasa hizi mbwembe za kwa jina la mwana na roho mtakatifu zimetoka wapi? sio sote tungekuwa dini ya kiyahudi. tunasema wateule lakini hapohapo hatufuati wanachoamini maana wayahudi Yesu wamemkataa kabisa kwamba hakuwa Messiah na Mary alizaa nje ya ndoa na hana role yoyote katika dini. Sasa vipi tufuate kitu ambacho wayahudi wamekikataa kabisa christian. au kuna miungu wawili mmoja wa kwetu na mwingine wa kwao. Maswali mengi majibu machache.
 
Atleast imeleta fact sip Kuna dunya mmoja anasema israel ni taifa teule et Kama hutak kunya boga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…