Israel Sasa inatosha

Mtu upo Nanjilinji ushauri wako hata balozi wa nyumba kumi haupati leo unajikosha kushauri nchi zingine. Smh

Wamatumbi wenzenu Congo, CAR, Msumbiji wanafariki kila siku hamuandiki waraka kuzishauri nchi zao ila leo mabwana zenu wanatwangana roho zinawauma.
 
Kuna shule kule Gaza inaitwa Al Fakhoura imepigwa mabomu ni shida kwa hayo mauwaji. Extremely disturbing.

Kweli muisrael ana immune flani hivi ambayo siyo ya kawaida.
 
Bado, hadi Gaza na viumbe vyake vyote vitoweke,haya majibwa ya kiarabu ni hatari sana
 
Vita iishe, it is enough
Hapana nyie endeleeni tu kufurahia na kushangilia vifo vya watoto na wamama wasio na hatia wanaouliwa kila dakika.
Wale wanauliwa Ghaza kwa zaidi ya miaka 75 sio binaadamu wenzenu, kwenye macho yenu mnawaona kama wanyama tu kwa kua wanaoua na kuwadhulumu kwenu nyinyi ni watukufu waliobarikiwa kuliko watu wengine.
Naandika haya huku nahisi moyo wangu unavuja damu kwa mauaji ninayaona ya watoto wasio na hatia.

حسبنا الله ونعم الوكيل

 

Attachments

  • 1700318656692.jpg
    48.9 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…