Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
BJ your right. Watu wako hapa wanaimba wimbo wa uchumi wa ulaya kudorora lakini mabakuli wakinga.Naimani hata kama uchumiwa wa Ulaya utadidimia kiasi gani hawatosita kuleta hela ya bajeti hapa TANZANIA
Hata kama ungedolola kiasi gani ni kweli lazima bajeti yetu iwategemee. Sijawahi kusikia bajeti yetu inawategemea middle east. Ni ajabu kweli, si ajabu na kweli.
Tena ni vizuri niwataadhalishe kwamba Israeli ninavyowajua na usiri wao sidhani kama wanaweza kupanga mipango nyeti kama hii wakaivujisha kirahisi hivi. Kama wakifanya hivyo basi kuna sababu ya kiusalama na hakuna mpango kama huo.
Ninachojua vita itakuwa kali lakini Israeli lazima atashinda. Believe me or not.