onechromosome
JF-Expert Member
- Jul 10, 2014
- 1,243
- 780
Huo ni uyahudi uislam umekuja na MuhammadHaukuanza kwa Muhammad bali ulianza tokea dunia kuumbwa kwa maana kila kilichojikubalisha na kujisalimisha kwa Mungu kilifuata Uislamu. Nabii Ibrahim sala na salam ziwe juu yake aliwakuta wazee wake na jamaa zake wakiabudu masanamu yeye aliyakataa na akajisalimisha mbele ya Mungu mmoja ambae hana mshirika hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hana mfano wake. Nuhu sala na salam ziwe juu yake aliwalingania jamaa zake waache kuabudia masanam na mizimu na vitu vyenginevyo na badala yake wamuabudu Mungu mmoja. Hivyo kila nabii aliyebeba dhana ya Mungu mmoja alikuwa ni muislam ila Nabii Muhammad yeye alikuja kukamilisha ujumbe wa Mungu kwa viumbe na baada ya yeye hakutakuwa na Mjumbe mwengine ambae atatumwa na Mungu mpaka dunia kumalizika.
Ibrahim hakuwahi kuwa Myahudi wala hakuwahi kuwa mkiristo bali alikuwa Muislam. Kama ukisoma kwa ufahamu utagundua maelezo yangu kuwa Uislam ndio dini ya Manabii woteHuo ni uyahudi uislam umekuja na Muhammad
Aliishi DUNIANI....kipindi hicho hata mipaka ya inchi bado haijawekwa...na watu wanafanya kuhisi tu..hawana uhakika haswa aliishi wpiAdam aliishi nchi gani msaada kidogo
Nani aliyokwambiya IBRAHIM alilala na mchepuko?MTUME wa MUNGU si mzinifu kama wewe...kile kitendo tu cha MAKUBALIANO ya mke wa IBRAHIMU na mjakazi..wakakubaliana ni NDOA tosha...MTUME wa MUNGU hafanyi jambo bila AMRI toka kwa MUNGU...kama yule mtoto(ISMAIL) alikuwa sio HALALI,,,kwann MUNGU amhahalishe KUTOLEWE SADAKA?kwnn asisubiri IS HAKA azaliwe atolewe sadaka...na kama ni wa zinaa kwann apewe UTUME?hayo mambo ya ndoa hata sisi waislam ukitaka kuongeza mke wa pili unaomba IDHINI kwa mkeo..halafu unaoa...kama yaliyotokea kwa IBRAHIMU...vitu vingine havihitaji ELIMU KUBWA KUVIELEWA ,..mungu hajichanganyi hawezi deal na matokeo ya dhambi( ismail ) hakuwa kipenzi cha ibrahimu ila mungu alijaribu kujua nafsi ya mtumishi wake,ni wazi huwa tunawapenda watoto wa mke halali kuliko wa michepuko kama ismail
Kwa ufahamu wangu uyahudi ndio baba wa ukristu na uislamIbrahim hakuwahi kuwa Myahudi wala hakuwahi kuwa mkiristo bali alikuwa Muislam. Kama ukisoma kwa ufahamu utagundua maelezo yangu kuwa Uislam ndio dini ya Manabii wote
Isaka ndie alietolewa sadaka sio mtoto wa mjakaziNani aliyokwambiya IBRAHIM alilala na mchepuko?MTUME wa MUNGU si mzinifu kama wewe...kile kitendo tu cha MAKUBALIANO ya mke wa IBRAHIMU na mjakazi..wakakubaliana ni NDOA tosha...MTUME wa MUNGU hafanyi jambo bila AMRI toka kwa MUNGU...kama yule mtoto(ISMAIL) alikuwa sio HALALI,,,kwann MUNGU amhahalishe KUTOLEWE SADAKA?kwnn asisubiri IS HAKA azaliwe atolewe sadaka...na kama ni wa zinaa kwann apewe UTUME?hayo mambo ya ndoa hata sisi waislam ukitaka kuongeza mke wa pili unaomba IDHINI kwa mkeo..halafu unaoa...kama yaliyotokea kwa IBRAHIMU...vitu vingine havihitaji ELIMU KUBWA KUVIELEWA ,..
Ni ismail.sio is haka...Isaka ndie alietolewa sadaka sio mtoto wa mjakazi
Nyie mna laana, kwa hiyo Nabii wa Mwenyezi Mungu alikuwa mzinifu !?mungu hajichanganyi hawezi deal na matokeo ya dhambi( ismail ) hakuwa kipenzi cha ibrahimu ila mungu alijaribu kujua nafsi ya mtumishi wake,ni wazi huwa tunawapenda watoto wa mke halali kuliko wa michepuko kama ismail
Hata wanaotoka uislam kuja ukristo huwa wanabubujikwa na machozi pia, nimeona na kushuhudia hivyo. Ndio maana nasema kila dini ikomae na kitabu chake ni sio kukionea wivu cha dini tofauti. Kama nina uhakika kitabu changu ni sahihi kwa nini nipoteze muda kushambulia dini nyingine!!?Binadamu anatabia ya kuogopa ukweli ! Haswa ukijua unachokifuata ni uongo. Mara nyingi watu wengi wanaoingia Uislaam baada kupoteza muda mwingi wakifuata mafundisho ya uongo, utaona wakibubujikwa na machozi.
Israel hii, taifa la siku hizi si israel ile iliyozungumziwa katika vitabu vya dini, israel hii ni taifa liliundwa karne ya 20 hv, kasome historia yao..HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Uislam haujaanza kwa muhammad s.a.w, muhhamad alikuja kuukamilisha uislamu upo toka kwa adam upo, nuhu, sijui swalehe, ibrahim, daud, zakaria, lutu, musa, suleiman, issa na muhamad mwenyewe wote hawa walikuwa waislam, ila walikuwa wanakuja kwa misheni fulani fulani, labda sehem ilikuwa imekithiri usodoma basi mwenyezi mungu anapeleka nabii wake pale, maana kasema hatomuhukumu mtu hali ya kiwa alikuwa hajui, labda watu wamekithiri kuabudu masanamu mwenyezi mungu alikuwa akituma nabii wake pale, wengine walipata kuja na vitabu, taurati, zaburi, injili na quraan, kwa hyo muhamad alikuja kufanya conclusion ya yale yaliyoanza toka mwanzo, na ndio maana kitabu alichoshushiwa muhamad kinaongelea yale yaliyomo katika vitabu vingine ila kwa mapana, na nyongeza ya mengine yasiyokuwemoNI KICHEKESHO KUSEMA UISLAMU ULIKUWEPO WAKATI WA ADAMU,WAKATI HISTORIA INASEMA UISLAMU ULIANZA BAADA YA MOHAMAD AKIWA MWANZILISHI.WALE MANABII WOTE WALIKUWA WAEBRANIA AMBAO NDIO WAISRAELI WA SASA...
Vipi nabii adamu alikuwa myahudi?
Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country