Israel opened masjid Ebrahim as

Uislam ulibeba tamaduni za middle east na kuzipa nguvu ya dini. Uvaaji wa kanzu, namna ya kuabudu, za treatment za wanawake, zote hizi zimetokea kwenye tamaduni za kipagani, dini ilivyokuja ikachukua yale yaliyoonekana ni mazuri na ndio yapo kwenye vitabu vya dini
 
Reactions: PNC
HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Ni Waisraeli ndio wamekalia Ardhi ya Waarabu...!!
 
Waislamu ni 19%, wakristo ni08% ,waorthodox ni 14% dini zingine no 3% na waliobaki hawana dini rasmi.
Hivyo waislamu ndio wengi kuliko dini zingine.
Ebu rudia tena maana kama umeenda kinyume nyume hivi.

Yaan unamaanisha Waislam ni wengi kuliko Wayahudi?

Ni muhimu pia ufahamu kuwa 20% ya wanaoitwa Waisrael leo ni Waarabu-Wapalestina, sasa utaelewa inamaanisha nini kusema takriban 17% ya Waisrael ni Waislam.
 
Nina maana ya waislamu in 19% bila kujali ni wayahudi au waarabu. Waislamu in wengi Israel kuliko dini zingine.
Mi in mkristo ila ni mkweli tu.
 
Koma ,ukristo haujawahi kuwa uislam na nimeona eti mtume isa Huyo sio yesu.Coz Jesus is alpha and omega .Alikuwepo,yupo na ataendelea kuwepo.
 
Nina maana ya waislamu in 19% bila kujali ni wayahudi au waarabu. Waislamu in wengi Israel kuliko dini zingine.
Mi in mkristo ila ni mkweli tu.
Haijalishi wewe ni dini gani, hata kujitaja dini ni kuonyesha upungufu wa hoja, suala la muhimu ni facts tu, kama unazo au huna.

Sijui unamaanisha nin kusema Waislam ni wengi kuliko dini zingine nchini Israel?

Labda kama hujui kuwa kuna dini inayoitwa ya Kiyahudi duniani na ndio dini kongwe kuliko Ukristo na Uislam.
 
Sijui unamaanisha nin kusema Waislam ni wengi kuliko dini zingine nchini Israel?

Labda kama hujui kuwa kuna dini inayoitwa ya Kiyahudi duniani.
Nina maana waislamu ni wengi kwa idadi ukilinganisha na dini zingine. Rejea post yangu ya kwanza nimeweka aslimia za dini huko Israel na kuwa katika aslimia zilizobaki ni watu wasio na dini rasmi.
Yawezekana ndo hawa wenye dini ya kiyahudi au watu wa mataifa(gentiles) kama biblia inavyosema. Wao ni wengi zaidi
Kumbuka wayahudi wengi bado wanasubiri masha wao mpaka sasa maana hawaamini kuwa Yesu ni masiha waliyeahidiwa na Mungu.
 
Basi, tatizo hukusoma vizuri hizo asilimia za mgawanyiko wa watu kidini huko Israel.
Waislamu ni 19%, wakristo ni08% ,waorthodox ni 14% dini zingine no 3% na waliobaki hawana dini rasmi.
Hivyo waislamu ndio wengi kuliko dini zingine.
Angalia hizo asilimia zako kwanza, ukizijumlisha zinafika 100%?ndio ujue data zako zinamiss taarifa zaidi.

Haya angalia Religion in Israel (2014)[1]
Judaism (75%)
Islam (17.5%)
other/unknown (4%)
Christianity (2.0%)
Druzism (1.5%)

Dini ya Kiyahudi, Judaism, haijawahi kufa, bado ipo mpaka sasa, na eneo wanaposali linaitwa Sinagogi.
 
HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Dini ni moja, hata Yesu AS ni Muislaam. Na ndo maana Wayahudi wanamkwepa Yesu AS kwa jinsi alivyowananga kwa kuharibu dini ya kweli (Uislaam). Haya ya kuzushiwa yeye sijui mwana wa mungu sijui mungu, Yesu hana habari nayo. Yeye Yesu alishasema katika Biblia 'Baba ni Mkuu kuliko mimi' yaani Allahu Akbar !
 
ukijibiwa ni tag
Manabii wote ni Waislam ! Kuanzia Adam, Nuhu, Ibrahim, Yakoob na kizazi chaki, Daudi Suleima, Zakari, Yahya (Yohana mbatizaji) Elias, Elyasaa, mpaka Muhamad
 
Asante
 
Hao 17% ni Waisraeli-Waarabu ujue hilo.
Lets assume ni Araba Israelis ndo hao Waislam.
Sasa hao 2-4% Christians ni Israel-Wazungu for that matter.
Ama kuhusu eneo hilo la Jerusaleem,kila dini wana toa utukufu kutegemea na iman yao. Kwa Waislam,upande mmoja kuna Msikiti wa Al Aqsa(Bayt al Maqdis) wakati wenzao wanapaita Temple Mount, au ile iitwayo Dome of the Rock. Na sababu kubwa ni nasaba Nabii Ibrahim na uzao wake katika eneo hilo.
Kwa Waislam ni sehem ya tatu kwa utukufu.
Wakristo ambao ni Wachache pale Israel wao wenyewe waseme panahusika vipi!
 
Koma ,ukristo haujawahi kuwa uislam na nimeona eti mtume isa Huyo sio yesu.Coz Jesus is alpha and omega .Alikuwepo,yupo na ataendelea kuwepo.

Umemeza?Pole kaka,mi nipo huku kolelo napokea baraka za mababu.
 
Maoni yako !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…