ukijibiwa ni tagHIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
mkuu mpaka leo kwani hujui kama israeli ipo katikati ya nchi za kiarabu?HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy countrymkuu mpaka leo kwani hujui kama israeli ipo katikati ya nchi za kiarabu?
na si kila muisraeli dini yake ni ya kiyahudi kama kumbukumbu zangu zipo sahihi 10 mpaka 15% ya waisraeli ni waumini wa dini ya kiisilamu.
waarabu na waisraeli wote wanatokana kwa Ibrahim, ambaye alizaa watoto wawili, Ismail na Is'haq.
ismail ndio mpaka kizazi chake anakuja kutokea Mtume muhamad, ni kizazi cha waarabu.
Is'haq mpaka kwa yaakub, yusuf, musa hadi yesu ni kizazi cha waisrael.
Hilo eneo Hapo lina historia za Dini zote mbele unaweza ongeza na ukristo ukaeka dini tatu, ndio maana kuna ugomvi kila siku.
Waislamu ni 19%, wakristo ni08% ,waorthodox ni 14% dini zingine no 3% na waliobaki hawana dini rasmi.Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country
Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country
Na hao 19% ni waarabu waisrael, sio Wayahudi, ujue hilo, hivyo ni mule mule kiasili hakuna Myahudi au Mu Israel wa asili ambaye ni Muislam.Waislamu ni 19%, wakristo ni08% ,waorthodox ni 14% dini zingine no 3% na waliobaki hawana dini rasmi.
Hivyo waislamu ndio wengi kuliko dini zingine.
Hao 17% ni Waisraeli-Waarabu ujue hilo.sensa ya 2014 asilimia 17% ya waiziraeli ni waisilamu,
Religion in Israel - Wikipedia
na binadamu wote mbele ya mungu wapo sawa, mbora kati yao ni yule mcha mungu.
pia si waarabu wote ni waisilamu, kuna waarabu wakristo, wasioamini dini etc.
Nchi kubwa ya kiarabu yaani misri ina wakristo zaidi ya milioni 8,
lebanon 40% ya population yao ni wakristo,
kipindi Israeli anapigana na Hezbollah na anaipiga lebanon walikufa wakristo wengi tu wa kiarabu.
na wewe ni dini gani? sababu waisiraeli hawamuamini yesu wanamuona feki vile vile kama wasivyompenda muhammad.
NI KICHEKESHO KUSEMA UISLAMU ULIKUWEPO WAKATI WA ADAMU,WAKATI HISTORIA INASEMA UISLAMU ULIANZA BAADA YA MOHAMAD AKIWA MWANZILISHI.WALE MANABII WOTE WALIKUWA WAEBRANIA AMBAO NDIO WAISRAELI WA SASA...
possible, ila kuna waarabu 20% na waisilamu 17% hivyo inawezekana hao wakristo asilimia 2 wakawa waarabu, na katika hio 17% ya waisilamu kukawa na waisiraeli natives vile vile.Hao 17% ni Waisraeli-Waarabu ujue hilo.
unaniambia mimi? nafahamu ndio, thats why nasema israeli sio uyahudi,Nikusahihishe kidogo hakuna myahudi mkiristo muislam ama muothodox wayahudi wote ni wayahudi ila waisraeli wote si wayahudi
Huo uislam wa kabla ya Muhammad ulishushwa kupitia nabii gani?Sikilizeni nyinyi : UKIRISTU na UYAHUDI ni Uislamu wa Kale.
Uislam wa Leo ni Uislam wa Sasa!
Msipoyaelewa haya, mtapata shida sana, mtagawanywa sana na mtashindwa kuelewa kuwa kimsingi Msingi wa Dini zetu ni moja tu nayo ni KUJISALIMISHA kwa Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi!!
Ni kama vile Unavyoona Windows Version za Microsoft, Kuna Windows 95, Windows XP and then Windows 10. Lakini zote ni Windows zilezile!, Kernel ni ileile!!
Ndiyo maana Waislamu husema kuwa Uislamu kwa watu ulianza toka adam Ila tu kila nabii anakuja na mafunzo yake!!!
Kwa maana hiyo, wewe unayenisoma hapa kama ni Mkiristu, Basi wewe ni Mfuasi wa Uislamu wa kabla ya Mtume Muhammad!
Unashindwa kutofautisha hata WAKATI ULIOPO NA ULIOPITA.?HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Unajua maana ya neno Islam?NI KICHEKESHO KUSEMA UISLAMU ULIKUWEPO WAKATI WA ADAMU,WAKATI HISTORIA INASEMA UISLAMU ULIANZA BAADA YA MOHAMAD AKIWA MWANZILISHI.WALE MANABII WOTE WALIKUWA WAEBRANIA AMBAO NDIO WAISRAELI WA SASA...