Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,351 Reaction score 13,140 May 19, 2021 #2 Hapo uzi tayari? Copy and paste
n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,537 Reaction score 7,255 May 19, 2021 #3 Mwana wa mjakazi hawezi rithi pamoja na Mwana wa ahadi. Baba Abraham aliambiwa fukuza huyo, na alimfukuza kwenye hiyo ardhi.
Mwana wa mjakazi hawezi rithi pamoja na Mwana wa ahadi. Baba Abraham aliambiwa fukuza huyo, na alimfukuza kwenye hiyo ardhi.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 14,136 Reaction score 33,537 May 19, 2021 #4 Bokoharamu,ISS,al shabab,kongo na ccm nchini mwako umefumbia macho
K Kikwajuni One JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 14,703 Reaction score 7,907 May 19, 2021 #5 usiambini said: DhulumatView attachment 1790841 Click to expand... Umenena kweli,tupu. Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
usiambini said: DhulumatView attachment 1790841 Click to expand... Umenena kweli,tupu. Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,485 Reaction score 53,346 May 20, 2021 #6 Iran na wote muungane na kuamua kieleweke, muelekeze makombora Israel halafu tuone ngoma itaavyonoga. Hamna haja ya haya makelele kila siku hadi huku Afrika Waajemi weusi.
Iran na wote muungane na kuamua kieleweke, muelekeze makombora Israel halafu tuone ngoma itaavyonoga. Hamna haja ya haya makelele kila siku hadi huku Afrika Waajemi weusi.
Pabloz JF-Expert Member Joined Oct 24, 2020 Posts 1,818 Reaction score 9,334 May 20, 2021 #7 Wanaitwa "taifa teule"...
S Samson Ngomboli JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 1,598 Reaction score 2,714 May 20, 2021 #8 Hilo ni eneo lao tangu enzi za Musa halafu anakuja mtu kashiba zake eti eneo la wapalestina,inaudhi sana.
Hilo ni eneo lao tangu enzi za Musa halafu anakuja mtu kashiba zake eti eneo la wapalestina,inaudhi sana.
Chief Sam JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 2,577 Reaction score 4,864 May 20, 2021 #9 Samson Ngomboli said: Hilo ni eneo lao tangu enzi za Musa halafu anakuja mtu kashiba zake eti eneo la wapalestina,inaudhi sana. Click to expand... Tumekuelewa Haruni
Samson Ngomboli said: Hilo ni eneo lao tangu enzi za Musa halafu anakuja mtu kashiba zake eti eneo la wapalestina,inaudhi sana. Click to expand... Tumekuelewa Haruni