Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwani hizi kelele za Trump kumwambia hasipige tena vituo vya gasi unajua sababu ilikuwa nini? Haifa Oil Refinery, Banzan, kituo cha zalisha gas vyote vinebondwa ndani ya siku moja na Iran,siku moja kabla aliongea hilo. Tatizo lako unavufuatilia viclip vya social networks.Hizo nchi za Middle East zote Iran aliziambia ,wanamuhost US ,ila siku US akiigusa Iran basi Iran ataanza na wao ,kwani sasa hivi nini kimetokea. Sibishani na watu wenye mihemko ya dini hizi za Kikristo inaonekana hata Ukristo wenye huujui.
Kwahiyo ukristo hapo unaingiaje inamaana mtu Akiwa upande wa marekani ni mkristo na vipi mtu Akiwa upande wa Iran kama wewe napo tuseme ni waislamu? Unajifanya kujua sana ndio maana unataka kila unachoandika watu wakikubali wakati mtu mwenyewe unagoogle
 
1774539130503.png
 
Kuna watu wanaamini hii vita ni unabii utimie,halafu Kugoogle ndio kujua kwenyewe ndio maana na share na reference.
 
Marekani hana nia ya nchi nzima,anachukua maeneo machache na vital kwa Iran kama kile kisiwa cha mafuta.
Something which is very difficult.. Iran Ina Jeshi Bora sana.. ni ina utofouti mkubwa sana wa nchi ambazo Marekani aliwai kuvamia.. kijeshi, kiuchumi na kisiasa.. unaweza shangaa Marekani akipoteza militia wengi sana hapo.
 
Kuna watu wanaamini hii vita ni unabii utimie,halafu Kugoogle ndio kujua kwenyewe ndio maana na share na reference.
Hili swala lipo pande zote mimi nipo mtwara mjini na hapa waislamu ni 98% na hao wote wanaishabikia iran na wasomi wao wa dini wanaeleza kabisa huu ndio wakati wa mayahudi na makafiri kufa
 
Back
Top Bottom