Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

m
Acha mambo ya ajabu unaijua mikataba ya Amerca na China kwenye maswala ya slaa? By the way unajua kuwa hakuna nchi inayotengeneza slaa kali na bora dunian zaidi ya US na Israel? Na je unajua anayeongoza kwa kuuza slaa dunian ni Israel? Na pia unajua makampuni ya kuteneza slaa ya kimarekani mengi yamewekeza China?
US na China hawana mikataba ya silaha.
Israel haipo hata katika top5 ya nchi zinazouza silaha kwa wingi USITUDANGANYE.
Kama wanaoongoza kwa kuunda silaha bora ni Usa na Israel basi silaha zao zisingeshindwa mbele ya Iran.
Basi wasingefeli kulinda maslahi yao na nchi yao Israel.

-Kama China ingekua ina mikataba ya silaha na USA basi wasingemsaidia Russia vipuli vya silaha kwenye Ukraine war.
-Basi wasingesaidia nchi hasimu za USA kisilaha ukanda wa Asia Pacific.
-Basi wasingemuuzia Iran ndege wala makombora wala kumpa huduma ya satellite.

Muda mwingine ongea ukiwa na clarity.
 
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: Tumeshambulia maeneo yenye vizuizi na Askari walio kwenye maeneo hayo.

Raisi, Waziri wa mambo ya Nje, secretary wa Serikali, Mkuu wa Polisi wote wapo Quds square,

View attachment 3557432View attachment 3557433

Bomu linapigwa pembeni watu hata habari hawana
View attachment 3557434

Watu design hio kamwe huwezi kushinda kwa kuwaua.
Watakuwa vibaraka wa Israel. Mbona wao hawauwawi , mabomu yanapigwa pembeni kama wanawasindikiza .
 
Rais wa Marekani Donald Trump, kupitia ukurasa wake wa TRUTH amesema ni "heshima kubwa" kuwaua viongozi wa utawala wa Iran, katika chapisho lake kwenye mtandao huo.

Trump ameandika, "Tunaangamiza kabisa utawala wa kigaidi wa Iran, kijeshi, kiuchumi, na vinginevyo," aliandika kwenye Truth Social mapema asubuhi ya leo.

"Jeshi la Wanamaji la Iran limetoweka, Jeshi lao la Anga halipo tena, makombora, ndege zisizo na rubani na kila kitu kingine kinaangamizwa, na viongozi wao wamefutwa kutoka usoni mwa dunia."

"Tuna nguvu ya risasi isiyo na kifani, risasi zisizo na kikomo, na muda mwingi - Tazama kitakachowatokea hawa matapeli wazimu leo."

"Wamekuwa wakiwaua watu wasio na hatia kote ulimwenguni kwa miaka 47, na sasa mimi, kama Rais wa 47 wa Marekani, ninawaua. Ni heshima kubwa kufanya hivyo!"

Follow Prosper Tv

#prospertv_tz
Huyu mzee anatia spana tu.
 
💥💥💥💥
Raisi wa Iran: leo ni siku ya Quds, pamoja na mashambulizi ya kikatili yanayofanywa na wazayuni na wamarekani, bado wairan wameweza kujumuika kwenye siku hii
 
Iran wafute mfumo wakidini other wise lazima waingie vitani wenyewe kwa wenyewe
Unaliona Hilo nyomi linalosupport hio Serikali? Mamilioni ya watu wapo nje

Hapo Isfahan

Hapo Tehran

Watu wote wapo nje kusupport Serikali, unafkiri kuna kiumbe kitatoka kiandamane hapo kukataa Serikali? Wale wa upande wa pili wanafanya Tu timing na fujo Ila sio wengi hivi
 
Back
Top Bottom