Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

IRGC Generals Turn Against Iranian President... Then Mass Surrender ERUPTS
#Iran #IRGC #MiddleEast
#Iran #IRGC #MiddleEast #Geopolitics #MilitaryCoup #UAE #USNavy #Trump #IranProtests

The Iranian regime has completely lost control! In a desperate bid to save his country, Iranian President Masoud Pezeshkiyan appeared on state television to apologize to Gulf neighbors and announce an end to the attacks. But within hours, the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) committed a de facto military coup, ignoring the President, calling him a "traitor," and launching a massive drone strike on Dubai International Airport.
 
We jamaa UNAONGEAGA UNAZI KINYAMA.
China amemuuzia ndege Iran sembuse kumuuzia makombora!??
Ndio maana humu ndani tunakuuliza una umri gani!?
Usikute tunabishana na muhitimu wa form 4 katoto cha buku 2.
China alimsaidia Vietnam kijeshi dhidi ya USA sembuse kumuuzia Iran silaha!??
Acha mambo ya ajabu unaijua mikataba ya Amerca na China kwenye maswala ya slaa? By the way unajua kuwa hakuna nchi inayotengeneza slaa kali na bora dunian zaidi ya US na Israel? Na je unajua anayeongoza kwa kuuza slaa dunian ni Israel? Na pia unajua makampuni ya kuteneza slaa ya kimarekani mengi yamewekeza China?
 
Raisi, Waziri wa mambo ya Nje, secretary wa Serikali, Mkuu wa Polisi wote wapo Quds square,

20260313_142427.jpg
20260313_142356.jpg


Bomu linapigwa pembeni watu hata habari hawana


Watu design hio kamwe huwezi kushinda kwa kuwaua.
 
Back
Top Bottom