Israel Makanisa yachomwa moto

Israel Makanisa yachomwa moto

Status
Not open for further replies.

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,155
Reaction score
2,171
Katika hali isiyokua ya kawaida mayahudi wameendeleza uonevu wao wa kutoutambua Ukristu hadi kufikia kuyachoma moto Makanisa Moto.

Uharibifu unaofanywa si waislamu dhidi ya Ukristu bali ni hao chosen one against Cristianity
 
hiyo ni kawaida sema hujawahi sikia.
tena ni marufuku kuhubiri ukristo hadharani kule
 
Kweli kazi ipo izo zote ni propaganda za Western wana-act ili waonekane hawako close na Christian lakini ni same same
 
Katika hali isiyokua ya kawaida mayahudi wameendeleza uonevu wao wa kutoutambua Ukristu hadi kufikia kuyachoma moto Makanisa Moto....Uharibifu unaofanywa si waislamu dhidi ya Ukristu bali ni hao chosen one against cristianity

It is biblical. Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza
 
Police Arrest Jewish Settlers Following Israel Church Attack

Israeli police say they have arrested 16 Jewish settler youths after a Catholic church near the Sea of Galilee was heavily damaged by an arson attack Thursday.

A fire broke out at the Church of the Multiplication in the middle of the night, causing extensive damage to the inside and outside of the building, said Israel police spokesman Micky Rosenfeld.

A passage from a Jewish prayer, calling for the elimination of idol worship, was found scrawled in red spray paint on a wall outside the church.

The nationalist crimes unit of the Israeli police's West Bank settlement division is investigating the incident. The youths arrested are all religious Jewish seminary students from West Bank settlements. Their lawyer, Itamar Ben Gvir, told Israeli Army Radio the police had no evidence against the youths and that they were under suspicion simply for looking like young settlers.

Father Matthias Karl, a German monk from the church, said a souvenir shop, an office for pilgrims and a meeting room were badly damaged, and bibles and prayer books were destroyed in the fire.

"It's totally destroyed. The fire was very active," he said.

A monk and a church volunteer were hospitalized from smoke inhalation, but the prayer area of the church was unaffected by the fire, he said.

In recent years, mosques and churches have been targeted by vandals in similar attacks. They are often attributed to extremist Jews in West Bank settlements.

Such attacks are widely condemned across the political spectrum in Israel. Deputy Foreign Minister Tzipi Hotovely condemned Thursday's church burning and said Israel respects freedom of worship for all religions.

Last year, a group of mostly Jewish youth attacked the Church of the Multiplication's outdoor prayer area along the Sea of Galilee, Father Matthias said, pelting worshipers with stones, destroying a cross and throwing benches into the lake.

The Roman Catholic church, also known as the Church of the Multiplication of the Loaves and Fish, is a modern church built on the remains of a fifth-century Byzantine church. It marks the traditional spot of Jesus' miracle of the loaves and fish, and is located in Tabgha on the shore of the Sea of Galilee in northern Israel.

Its Byzantine mosaic floor draws thousands of visitors of all faiths each year, Father Matthias said.
 
Katika hali isiyokua ya kawaida mayahudi wameendeleza uonevu wao wa kutoutambua Ukristu hadi kufikia kuyachoma moto Makanisa Moto....Uharibifu unaofanywa si waislamu dhidi ya Ukristu bali ni hao chosen one against cristianity

Hapa tanzania wakristu hawawajui jews wanwaita the choosen people lkn wao hawataki chochote zaidi ya uyahudi israel wanachoma sana makanisa na miskiti
 
Taifa teule atakae lilaani atalaaniwa. Mungu ibariki israel
 
Sheria za israel znapga marufuku uenezaji na kuhubiri ukiristo au kugawa bible ni kosa kubwa
 
Atakae ilaani israel naye atalaaniwa kwahyo mkiristo ukilaani kitendo hicho bac utalaaniwa according to bible
 
Atakae ilaani israel naye atalaaniwa kwahyo mkiristo ukilaani kitendo hicho bac utalaaniwa according to bible

Kabisa ukilaani umelaaniwa, tena akiwa karibu myahudi anataka kuchoma kanisa basi sio vibaya ukamletea kidumu cha petrol karibu huo ndio ukristo aliotuachia bwana
 
Uislamu dini ya kishetani kabisa.
vipi christianity ni ya peponi?ndiyo maana Africans mliuzwa na hao wazungu na waarabu kila moja akisema dini yake iko sawa,lakini vatu ilioua watu wengi duniani ni christians from slave trade watu millioni 7,roman empire,world war 1 and 2,weapons za kuua bina damu nani alitengeneza?I guess ilikuwa muslims siyo wote nyie napotea kufata dini ya kuua watu.
 
Kabisa ukilaani umelaaniwa, tena akiwa karibu myahudi anataka kuchoma kanisa basi sio vibaya ukamletea kidumu cha petrol karibu huo ndio ukristo aliotuachia bwana
kwanza hii iko akili ya africans kwanza nasoma kitabu ya zamani halafu nazani hadi leo iko same,Israel bible na eleza iko family ya abraham,hawa wanaotawala israel sasa siyo damu ya abraham ni khazar na walibadili dini na kuingia kuwa jews toka paganism 18th century,damu ya abraham iko yishuv jews na palestine na yote napata shida,hii natenyahu iko ashkenazi asili yao khazar.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom