Israel launches ground incursion in Gaza Strip!

Israel launches ground incursion in Gaza Strip!

Status
Not open for further replies.
YESU NI NAFSI YA PILI YA MUNGU

Yohana 14:7
8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Yohana 8;58

57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.

2 Yohana 1:7

7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo.

Pole sana GAVANA
Yesu ni roho ya Mungu iliyokuja katika umbo la kibinadamu, ukitaka kujua utaona uzaliwaji wake, kuondoka kwake na matendo yake. Ukisoma matndo ya mitume utaona Yesu alikuwa akiwatokea wanafunzi wake katika hali ya roho na siyo kimwili.
Yesu alikuwa anajua nini watu wanafikiria. Alikuwa na uwezo wa kujua nini kinaendelea Dar wakati yeye akiwa Kibaha, ndio maana alianza kulilia mji wa Jerusalem baada ya kuona dhambi zinazotendeka huko, yaani aliona yanayoendelea vyumbani, hata kabla ya kufika
Hahaha wacha kujidanganya hebu nipe point hii Yesu yuko wapi. Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru. Hata itakuwa mtu asiyesikiliza maneno yangu atakayosema yule kwa jina langu, nitalitaka kwake.” (Kumbukumbu la Torati 18:18-19)
 
Hahaha wacha kujidanganya hebu nipe point hii Yesu yuko wapi. Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru. Hata itakuwa mtu asiyesikiliza maneno yangu atakayosema yule kwa jina langu, nitalitaka kwake." (Kumbukumbu la Torati 18:18-19)

Mbona manabii kwenye Bible ni wengi, akiwemo Musa, Ibrahim nk. Hapo inamaanisha manabii wote. Soma kote uelewe

Kumbukumbu la torati 18:15-22

14 Maana mataifa haya utakaowamiliki huwasikiliza wanaoshika nyakati mbaya na kutazama bao; bali wewe, Bwana, Mungu wako, hakukupa ruhusa kutenda hayo.
15 Bwana, Mungu wako, atakuondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zako kama nilivyo mimi; msikilizeni yeye.
16 Kama vile ulivyotaka kwa Bwana, Mungu wako, huko Horebu, siku ya kusanyiko, ukisema, Nisisikie tena sauti ya Bwana, Mungu wangu, wala nisiuone tena moto huu mkubwa, nisije nikafa.
17 Bwana akaniambia, Wametenda vema kusema walivyosema.
18 Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.
19 Hata itakuwa, mtu asiyesikiliza maneno yangu atakayosema yule kwa jina langu, nitalitaka kwake.
20 Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.
21 Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena Bwana?
22 Atakaponena nabii kwa jina la Bwana, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena Bwana; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope
 
Mbona manabii kwenye Bible ni wengi, akiwemo Musa, Ibrahim nk. Hapo inamaanisha manabii wote. Soma kote uelewe

Kumbukumbu la torati 18:15-22

15 Bwana, Mungu wako, atakuondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zako kama nilivyo mimi; msikilizeni yeye.
16 Kama vile ulivyotaka kwa Bwana, Mungu wako, huko Horebu, siku ya kusanyiko, ukisema, Nisisikie tena sauti ya Bwana, Mungu wangu, wala nisiuone tena moto huu mkubwa, nisije nikafa.
17 Bwana akaniambia, Wametenda vema kusema walivyosema.
18 Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.
19 Hata itakuwa, mtu asiyesikiliza maneno yangu atakayosema yule kwa jina langu, nitalitaka kwake.
20 Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.
21 Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena Bwana?
22 Atakaponena nabii kwa jina la Bwana, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena Bwana; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope
Wacha kukwepa point ya swali langu alikusudiwa nani hapo? Mana hao manabii wote walikuja baada ya Mussa hakuna aliye kuna na point hio zaid ya Prophet Muhammad.

Soma Yohana 14.28

Mathoyo 27.46

Luka 22.42-43

Matendo 7.56

1 Wokorintho 15.15


Utajua wewe unaabudu binadamu sio Mungu:cool2:
 
Wacha kukwepa point ya swali langu alikusudiwa nani hapo? Mana hao manabii wote walikuja baada ya Mussa hakuna aliye kuna na point hio zaid ya Prophet Muhammad.

Soma Yohana 14.28

Mathoyo 27.46

Luka 22.42-43

Matendo 7.56

1 Wokorintho 15.15


Utajua wewe unaabudu binadamu sio Mungu:cool2:

Pole sana. Kwenye Bible kuna Prophets wengi sana wako 100 na kitu. Akina elia, Elisha, Yohana nk.

Sehemu ambazo zinamuongelea Mohammad kwenye Bible ni kama hizi.

Matayo 7:15-20

[SUP]15 [/SUP]"Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. [SUP]16 [/SUP]Mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma? [SUP]17 [/SUP]Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. [SUP]18 [/SUP]Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. [SUP]19 [/SUP]Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni. [SUP]20 [/SUP]Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao."

Maelezo;
Matunda ni Al Queda, Al shaabab, kujitoa Muhanga na kuua watoto na wasio na hatia, Shekhe wa Arusha nk

Yohana 16:2-4
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.
3 Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi.
4 Lakini nimewaambia hayo, ili makusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambia. Sikuwaambia hayo tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwapo pamoja nanyi.

Maelezo;

Unafahamu kabisa kuwa waislam wamekuwa wakichoma makanisa, hata ISIL wamechoma kanisa la miaka 1800 na kuwafukuza wakristu huko Iraq, Zanzibar pia wanachoma makanisa.

Unafahamu kabisa kuwa waislam wamekuwa wakiua watu kama sehemu ya Ibada, mfano Padre huko Zanzibar, Arusha, na kwingineko duniani

Militants from the radical jihadist group the Islamic State of Iraq and Syria have set fire to a 1,800-year-old church in Iraq's second largest city of Mosul
 
Yohana 16:2-4
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.

Linganisha na tukio hili hapa chini


ISIL burns 1,800-year-old church in Mosul


Video posted on YouTube shows tomb, believed to be Biblical prophet Jonah's, destroyed with sledgehammer
Militants from the radical jihadist group the Islamic State of Iraq and Syria have set fire to a 1,800-year-old church in Iraq’s second largest city of Mosul.
A video posted on YouTube July 9 shows a tomb being destroyed with a sledgehammer which government officials said was “almost certainly” the tomb of Biblical prophet Jonah.
Earlier, Mosul’s Christians fled the city en masse before a Saturday deadline issued by the al-Qaida-inspired Islamic State of Iraq and Syria (ISIL) for them to either convert to Islam, pay tax, leave or be killed.
 
Tatizo watalazimisha wawe huku huku na mwisho watatuletea magaidi bora wakae huko huko tu.
Wananchi wa gaza wakija kuishi sehemu kama Tanzania au Norway wataona ndo peponi kwenyewe
 
Uganda wasingekaa maana hakuna asili yao huko wikipedia iko free hata mimi naweza andika ukiambiwa neno tumia na akili yako kulichunguza si kukurupuka tu.
Hebu jaribu kusoma historia kwanza halafu ndiyo utoe hizo comments zako.

Hivi wewe unaona ni sawa waisrael kuchukua ardhi ya wapalestina na wapalestina watulie tu na kuendelea kuishi kwenye kambi za wakimbizi nchini kwao? Mbona nyinyi munamshabikia Mugabe aliporudisha ardhi ya wazungu walioichukua kwa watu weusi?

Na musilete hadithi eti lile ni taifa teule, walihama kwa miaka elfu mbili na sasa wamerudi kwao, huo ni usanii wa wazungu tu katika sura nzima ya uporaji wa ardhi, kwani proposal ya kwanza ya kuwahamishia hawa jamaa ilikuwa wawekwe sehemu ya Uganda. Na wangewekwa hapo Uganda karibu la lake Victoria ndiyo mungeliota hilo ziwa maana wangeliteka na kulifanya la kwao.

Uganda Scheme - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Hebu jaribu kusoma historia kwanza halafu ndiyo utoe hizo comments zako.

Hivi wewe unaona ni sawa waisrael kuchukua ardhi ya wapalestina na wapalestina watulie tu na kuendelea kuishi kwenye kambi za wakimbizi nchini kwao? Mbona nyinyi munamshabikia Mugabe aliporudisha ardhi ya wazungu walioichukua kwa watu weusi?

Na musilete hadithi eti lile ni taifa teule, walihama kwa miaka elfu mbili na sasa wamerudi kwao, huo ni usanii wa wazungu tu katika sura nzima ya uporaji wa ardhi, kwani proposal ya kwanza ya kuwahamishia hawa jamaa ilikuwa wawekwe sehemu ya Uganda. Na wangewekwa hapo Uganda karibu la lake Victoria ndiyo mungeliota hilo ziwa maana wangeliteka na kulifanya la kwao.

Uganda Scheme - Wikipedia, the free encyclopedia

Soma unabii huu utakufumbua macho

Ezekel 37:21
21 Ukawaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitawatwaa wana wa Israeli toka kati ya mataifa walikokwenda, nami nitawakusanya pande zote, na kuwaleta katika nchi yao wenyewe;
22 nami nitawafanya kuwa taifa moja katika nchi hiyo, juu ya milima ya Israeli; na mfalme mmoja atakuwa mfalme wao wote; wala hawatakuwa tena mataifa mawili, wala hawatagawanyikana kuwa falme mbili tena, hata milele.
 
Boycott of Israel Spreads in
European Civil Society over
Gaza War, Could Cost $5 bn/ yr
By Juan Cole
The ill-considered and
remarkably brutal Gaza war likely
will give further impetus to the
Boycott, Sanction and Divestment
movement by Western civil
society to pressure Israel on its
illegal actions toward the
Palestinians. A thoroughgoing
such European set of sanctions
could cost Israel as much as $5
bn a year and more. Roughly a
third of Israeli trade is with
Europe, and the EU is Israel’s
largest single trading partner.
Unite, the largest British trade
union, has now resolved to
campaign for adoption of BDS
against Israel.
The Sinn Fein mayor of Newry in
Northern Ireland is also calling
on retailers in the town to
boycott Israel.
Although the Irish government
has declined to slap sanctions on
Israel over the latest Gaza War,
Irish civil society is generally
disgusted with actions like the
Gaza campaign, with its ruthless
disregard for the well-being of
noncombatants:
Posted in BDS
 
Soros Fund Management, the
family office of the billionaire
investor George Soros, has sold
its stake in SodaStream, the soda
making appliance producer that
profits from the Israeli
occupation of Palestinian
territories and was made
popular by actress Scarlett
Johansson’s endorsement.
The decision comes as a number
of big international investors,
including the fund linked to the
Microsoft founder Bill Gates, join
in a burgeoning financial boycott
of Israel amid a push by the
boycott, divestment and
sanctions (BDS) movement and
other groups seeking more
rights for Palestinians.
SodaStream, headquartered in
the Israeli city of Lod, has its
main factory in the West Bank
settlement of Ma’ale Adumim.
“Soros Fund Management does
not own shares of SodaStream,”
Michael Vachon, a spokesman for
the fund, told The National,
declining to comment further on
when and why it sold the shares.
In a May filing with the US
markets regulator, the fund said
it had bought 550,000 shares of
SodaStream during the first
quarter. Bloomberg reported that
the fund acquired the shares for
$24.3 million, with the new
holding making up 0.3 per cent
of the fund’s $9.3 billion stock
portfolio.
“After pressure from Soros
partners in the region and the
world, they dropped SodaStream
and promised, in private letters
so far, to issue guidelines similar
to those adopted by the EU to
prevent any investment into
companies that sustain the
Israeli occupation and
settlements in particular,” said
Omar Barghouti, the Palestinian
activist and co-founder of the
BDS movement.
Several western investors said
earlier this year that they had
sold off holdings in companies
that make money from business
in occupied territories. Norway’s
$810bn sovereign wealth fund,
the world’s largest, a Dutch
pension fund, and the
Presbyterian Church in the US are
among those that have excluded
some Israeli and US companies
from their portfolios this year.
The companies operate in the
occupied territories, where
settlements built by Israel have
been deemed illegal by the UN
Security Council and the
International Court of Justice
among others.
Financial and economic boycotts
have been tried before, most
notably when Saudi Arabia and
other Opec members stopped
selling oil to the West in 1973 in
reaction to the support given by
the US and other nations to Israel
during its war with Egypt.
But with the 1979 peace
agreement that heralded a
political and economic
rapprochement with Egypt and
eventually other Arab nations, the
momentum fizzled away.
It is only in the past decade that
there has been a revival of the
boycott movement looking to
end the Israeli occupation of land
captured during the 1967 Arab-
Israeli war, allow Palestinians
refugees to return home and end
discrimination against
Palestinians.
Analysts say that as the two-state
solution – the framework in
which peace negotiations have
been undertaken for the past
two decades – flounders, a
growing anti-apartheid
movement is filling its shoes.
This year has been a strong one
for BDS. The Gates Foundation
Asset Trust, which manages
investments for the $40bn Bill
and Melinda Gates Foundation,
said in June that it sold its stake
in the UK security services firm
G4S, one of the companies
targetted by BDS. The movement
has also been in focus during the
Israeli assault on Gaza and the
widespread anti-war protests
against the killing of hundreds
there.
Earlier this year, Israel’s finance
minister acknowledged the
impact that a European-wide
boycott could have on the
country, depriving the economy
of $5.7bn and putting almost
10,000 people out of work
immediately. The prime minister
Benjamin Netanyahu has also
acknowledged the threat posed
by BDS. In a March speech in the
US, Mr Netanyahu launched an
attack on the movement,
branding them as racists.
“In America, BDS has really
started to pick up in the last year,
and there are a couple of other
examples apart from the
Presbyterian church, such as
universities that have taken
positions against Israel,” said
Andrew Hammond, a Middle East
analyst at the European Council
on Foreign Relations. “The whole
movement is picking up not so
much because the BDS
movement is so powerful, but
because people want Israel to
come to a peace agreement.”
In January, Norway’s sovereign
wealth fund decided to ban
Africa Israel Investments (AFI
Group) and its subsidiary Danya
Cebus from its portfolio because
of their involvement in building
settlements in the West Bank.
In the same month PGGM, the
second-largest Dutch pension
fund, which manages more than
$200bn in assets, said it had
liquidated holdings in five Israeli
banks for their role in financing
settlement building.
In June, the US Presbyterian
church said that it excluded three
companies – Caterpillar, Hewlett-
Packard, and Motorola – from its
investment portfolios because
they were used by the Israeli
government in the occupied
territories and were not in
compliance with its policy on
socially responsible investing.
Norway is one of the few
countries that have an ethics
oversight council to review
investments made by its
sovereign wealth fund. In
January, the finance minister, on
advice from the council, told its
sovereign wealth fund to sell its
holdings in AFI Group and Danya
Cebus.
Since the outbreak of fresh
violence in Gaza, there have been
no new announcements of
boycotts by big investors, but
funds such as Norway’s are
constantly reviewing their
investments according to the
ethics council that monitors its
holdings.
“We cannot comment on
companies or cases that we are
working on presently,” said Pia
Goyer, senior adviser at the
secretariat of the ethics council
to Norway’s government pension
fund. “You have to wait until we
issue a recommendation. It takes
some time to get all the facts on
the table, the involvement of a
company in any particular
situation. The council only meets
once a month and discusses
what we should proceed with.”
Lisa Stonestreet, the programme
director at the London-based UK
Sustainable Investment and
Finance Association, a non-
government trade body that
promotes sustainable
investment, said that institutional
investors were increasingly
focused on ethical factors.
“First of all there is a public
demand for it in terms of people
calling into account larger
organisations across the board
to look at what the impact is in
terms of sustainability, in terms
of what the impact is and social
issues,” she said. For some
investors, the main aspect is
profitability.
The Canadian Pension Plan
Investment Board, which
manages more than $200bn, has
investments in a number of
Israeli companies, including
SodaStream and Bank Halpolim,
as part of its foreign portfolio of
stocks. Those holdings were part
of its indexing investment
strategy and the fund had no
plans to sell them as it focused
only on potential for profit, said
its spokeswoman, Linda Sims.
mkassem@thenational.ae
F
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom