Israel launches ground incursion in Gaza Strip!

Israel launches ground incursion in Gaza Strip!

Status
Not open for further replies.
israel inaondoa askari wake wa miguuni gaza baada ya kuona watapoteza askari wengi na hawana utaalamu wa kupambana na hamasi ana kwa ana.
Wameona bora waendelee kuwaua wapalestina kwa mashambulizi ya kutoka angani.

Habari za Gaza Mkuu! Umerudi lini kutoka frontline?
 
MAXI SHIMBA ON LINE

YESU SI MUNGU:

KWA SABABU HANA SIFA ZA MUNGU

Mwenyezi Mungu Anazo sifa zifuatazo ambazo Yesu hanazo hata sifa moja wapo. Mwenyezi Mungu ndiye muumba wetu ambaye ni mmoja. Anajulikana na anatambulikana kwa sifa zake. Biblia inatuelezea sifa hizo. Hapa chini nitaeleza baadhi ya sifa za Mwenyezi Mungu zinazotajwa katika Biblia. Vilevile nitaeleza kwamba Bwana Yesu Kristo hana hata sifa moja sawa na Biblia.

1. MUNGU HAJARIBIWI

Biblia inasema kwamba: "Mtu ajaribiwapo, asiseme, ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala mwenyewe hamjaribu mtu," (Yakobo 1:13).

Tuone hali ya Bwana Yesu Kristo kwamba yeye anayo sifa hii au ni kinyume chake.

Biblia inasema kwamba: " Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi," (Mathayo 4:1). Mungu hajaribiwi lakini Yesu alijaribiwa na Iblisi, kwahiyo hawezi kuwa mungu, kwa sababu ya kukosa sifa hii ya Mungu

2. MUNGU HAFI

Mwenyezi Mungu ni hai ambaye anadumu milele na hatakufa. Akili inakubali kwamba Mungu ni yule ambaye anao uzima wa milele kama Biblia inavyosema kwamba: "Mimi naweka amri, ya kwamba katika mamlaka yote, ya ufalme wangu watu watetemeke na kuanguka mbele za Mungu wa Danieli; maana yeye ndiye Mungu aliye hai, adumuye milele, na ufalme wake ni ufalme usioharibika, mamlaka yake itadumu hata mwisho." (Danieli 6:26).

Sasa tuone kwamba je, Bwana Yesu anayo sifa hii ya Mungu ya kuwa hai milele bila kifo.

Biblia inaeleza kwamba Bwana Yesu hana sifa hii:

"Naye Yesu akisha kupaza sauti tena kwa nguvu akaitoa roho yake." (Mathayo 27:50). Hivyo mtu ambaye alifariki hawezi kuwa Mungu.

Wakristo wanaamini kwamba Bwana Yesu alifariki kifo cha laana lakini sisi Waislamu tunaamini kwamba Yesu hakufa kifo cha laana bali Mwenyezi Mungu alimsaidia

3. MUNGU ANAJUA KILA KITU

Ni sifa ya Mwenyezi Mungu kujua kila kitu cha dhahiri na cha siri. Kitu chochote hakiwezi kufichika
kwake.

Kama Biblia inavyosema kwamba: "Basi usikie huko mbinguni, makao yako, ukasamehe, ukampe kila
mtu kwa kadri ya njia zake; wewe ujuaye moyo wake;(maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya
wanadamu wote." (1Wafalme 8:39).

Sasa tuone kiwango cha Bwana Yesu cha kujua mambo.

Biblia inasema kwamba: "Hata asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa. Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake ila majani tu; akauambia, yasipatikane matunda kwako tangu leo hata milele. Mtini ukanyauka mara." (Mathayo 21:18-19).

Mtu ambaye hajui kwamba msimu huu mti fulani haupatikani matunda ilhali hata watoto wadogo wanajua misimu ya matunda mbalimbali, hawezi kuwa Mungu.

Tena aya hii inaonesha tabia ya Bwana Yesu kwamba mwenyewe alikosea kujua msimu wa matunda ya mtini na kisha akaulaani mti bure.

Pia Bw. Yesu anakiri mwenyewe kwamba hajui chochote kuhusu habari za saa ile (Mathayo 24:36).

4. MUNGU HACHOKI

Mwenyezi Mungu hana kasoro ya udhaifu wowote.

Sifa zote njema zinamhusu yeye. Biblia inasema kwamba: Je, wewe hukujua? hukusikia? Yeye Mungu
wa milele, Bwana muumba miisho ya dunia, hasinzii wala hachoki, akili zake hazichunguziki." (Isaya 40:28).

Sasa tuone hali ya Yesu. Je, yeye anayo sifa hii ya Mungu? Kama hana, basi hawezi kuwa Mungu.

Biblia inasema: "Na hapo palikuwa na kisima cha Yakobo, Basi Yesu kwa sababu amechoka kwa safari yake,
akaketi vivi hivi kisimani. Nayo yapata saa sita." (Yohana 4:6).

Mwenye kuchoka hawezi kuwa Mungu.

5. MUNGU HAUWAWI

Mwenyezi Mungu ndiye mwenye mamlaka na nguvu zote na anao uwezo kamili, hawezi kushindwa mbele ya yeyote:

"Watakushusha hata shimoni; nawe utakufa kifo chao waliouawa kati ya bahari. Je, utazidi kusema
mbele yake huyo akuuaye, Mimi ni Mungu?

Lakini u mwanadamu, wala si Mungu, mkononi mwake akutiaye jeraha." (Ezekieli 28:8-9).

Mwanadamu anauawa na bwana Yesu anayo sifa hii sawa na Biblia. "Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, ambaye ninyi mlimuuwa mkimtundika katika mti." (Matendo 5:30).

Mtu ambaye anatundikwa na anauawa hawezi kuwa Mungu. Bali ataitwa mtu dhaifu.

Sisi Waislamu hatuamini kabisa kwamba Bwana Yesu aliuawa au alitundikwa.

6. MUNGU HASINZII WALA HALALI

Mwenyezi Mungu ni mwenye uwezo wa aina zote ambaye hahitaji kupumzika wala kusinzia. Biblia inasema kwamba:

"Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, yeye aliye mlinzi wa Israeli." (Zaburi 121:4).

Mungu hahitaji kusinzia wala kulala lakini Bwana Yesu alikuwa akilala sana. Kwahiyo hawezi kuwa Mungu. Biblia inasema kwamba: Ilitokea dhoruba kuu ya upepo, mawimbi yakakipiga chombo hata kikaanza kujaa maji. Naye mwenyewe alikuwapo katika shetri, amelala juu ya mto, wakamwamsha, wakamwambia, mwalimu, si kitu kwako kama tunaangamia? (Marko 4:37-38; Mathayo 8:23-25).

YESU NI NAFSI YA PILI YA MUNGU

Yohana 14:7
8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Yohana 8;58

57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.

2 Yohana 1:7

7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo.

Pole sana GAVANA
Yesu ni roho ya Mungu iliyokuja katika umbo la kibinadamu, ukitaka kujua utaona uzaliwaji wake, kuondoka kwake na matendo yake. Ukisoma matndo ya mitume utaona Yesu alikuwa akiwatokea wanafunzi wake katika hali ya roho na siyo kimwili.
Yesu alikuwa anajua nini watu wanafikiria. Alikuwa na uwezo wa kujua nini kinaendelea Dar wakati yeye akiwa Kibaha, ndio maana alianza kulilia mji wa Jerusalem baada ya kuona dhambi zinazotendeka huko, yaani aliona yanayoendelea vyumbani, hata kabla ya kufika
 
Kabla sijakujibu swali lako kwanza nataka uniambie mbona Mungu wenu Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe. Hana thamani kabisa:A S wink: Si bora hata Quran imempa heshima Yesu, kuliko Bibilia zenu za unafiki eti Mungu wa wakristo alizaliwa kwenye zizi la Ngo'mbe. Aibuu jamani ficheni siri za ujinga wenu.

Quran inawaita wakristu na wayahudi watu wa kitabu, hii ni evidence kabisa kuwa Bible ilikuwepo kabla ya Quran, sasa inakuwaje Quran ya Mecca iongeree kwa usahihi habari za Yesu wa Izrael kuliko Bible?

Lakini pia unanishawishi vipi niamini Quaran wakati tayari inasema dunia ni flat kama meza, pia jua linazama kwenye tope?
Pia inasema Mungu aliumba adam na hawa kwa sperm?

Yesu kuzaliwa katika zizi la ng'ombe ilikuwa ni fumbo na habari njema kwa maskini maana wakati ule maskini walidharaulika sana. Na ndio maana hata maubiri yake yaliwapa moyo maskini, na hata yeye aliishi maisha ya kimaskini. Ndio maana alisema mbwea wana viota lakini yeye hana hata mahala pa kuweka kichwa
 
One needs to understand the rule of law and international law in war, no country under heaven will idly sit by and just complain when a terrorist organization operating within another country is constantly shelling a barrage of rockets and building tunnels and the like, Palestinians as poor as tthey are (sure we all feel their pain) need to start realizing that the only way they can win is through political dialog and they have a huge political capital and empathy directed towards them compared with their neighbors. It was in April when Mahmood Abas stroke a Deal with Hamas and left Gaza to Hamas, that's when analysts started raising eyebrows about the prospects of peace in the region also let's remember Hamas is supported by Iran as well. They need to denounce terrorism and get back to the road map for peace

You have spoke!!! Here is where all the people stand in particular those who know the depth of true history of conflict not only between Israel and Hamas but also between Israel and Arab nations. I have regret only for death of innocent children but for adults are to blame themselves because they are being used as hiding place for Hamas militants and their arsenals.
 
israel inaondoa askari wake wa miguuni gaza baada ya kuona watapoteza askari wengi na hawana utaalamu wa kupambana na hamasi ana kwa ana.
Wameona bora waendelee kuwaua wapalestina kwa mashambulizi ya kutoka angani.

Ushabiki wa kijinga ;Hatoki mtu mle hadi mifereji ya chini au mahandaki yote yatoweke na kuna uwezekano wa kuendelea kuwakunguta hata kama wakimaliza mahandaki yote ili washike adabu na wasijaribu tena na warudi kwa mfadhili wao IRAN kwa aibu!!!!!!!!!!
 
Hapo ndio mnatuonyesha ujinga wa Israel, yeye anafikiri kuvunja majumba ndio atashinda na kuhakikishieni Israel vita hata shinda. Atakubali anacho taka Hamas. Cha ajabu kabaki kujidai yuko Gaza hata 0.5km hajaingia.

Unajua unachokiongea wewe
 
Wewe picha za youtube zinakudanganya mkuu, hammas kumbuka havavai uniform so wanahesabika humohumo kwa civilian. So usione picha za yutube ukazani ndo hivyo wanavaa, tena wanashoot kutoka makao ya watu na israel wanalenga hapo hapo so wanachanganya maziwa na tui la nazi humo humo.
 
Tumia akili kiongozi wameona wanapoteza manpower the only way ni kutumia ndege na kulenga sites zinazorusha makombora. Ila sijaona mahali au chombo kimeandika wameshindwa kupigana na hammas.
 
Tumia akili kiongozi wameona wanapoteza manpower the only way ni kutumia ndege na kulenga sites zinazorusha makombora. Ila sijaona mahali au chombo kimeandika wameshindwa kupigana na hammas.

wajinga israel wameshindwa vita
 
YESU NI NAFSI YA PILI YA MUNGU

Yohana 14:7
8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Yohana 8;58

57 Basi Wayahudi wakamwambia, Wewe hujapata bado miaka hamsini, nawe umemwona Ibrahimu?
58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.

2 Yohana 1:7

7 Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga Kristo.

Pole sana GAVANA
Yesu ni roho ya Mungu iliyokuja katika umbo la kibinadamu, ukitaka kujua utaona uzaliwaji wake, kuondoka kwake na matendo yake. Ukisoma matndo ya mitume utaona Yesu alikuwa akiwatokea wanafunzi wake katika hali ya roho na siyo kimwili.
Yesu alikuwa anajua nini watu wanafikiria. Alikuwa na uwezo wa kujua nini kinaendelea Dar wakati yeye akiwa Kibaha, ndio maana alianza kulilia mji wa Jerusalem baada ya kuona dhambi zinazotendeka huko, yaani aliona yanayoendelea vyumbani, hata kabla ya kufika
Hahahahahahaha kiongozi unadhani ukimwelewesha muislam kuhusu bible atakaa akuelewe wakati Quaran yenyewe ana kariri haielewe wanafuata sheria kuliko inani yao, wako nyuma sana kiimani dus y wanauwana wenywe kwa wenyewe, mtu anamuhukumu mama mjamzito kifo kisa kaolewa na mkristu akili tope hilo
 
wajinga israel wameshindwa vita

Tena mimi naona wametumia akili kufanya hivyo ili waweze kuwamonitor vizuri coz hao wana hit and run ndani ya watu, na pia swala ya kuifuta gaza wanaweza basi tu wana roho ya mungu ndani yao bomb za nyuklia mbili no hammas no Gaza.
 
Hawa waarabu kweli wana matatizo ya kichwa. Angalia resources zilizotumika kujenga hizo tunnels ni kubwa mno. Wangetumia katika kuboresha maisha ya wapalestina baadala ya kupanga kuua waisraeli. Na hawajafanikiwa na hawatafanikiwa. Chuki kubwa ya waarabu dhidi ya waisraeli ndio inaleta matatizo haya.

Hebu jaribu kusoma historia kwanza halafu ndiyo utoe hizo comments zako.

Hivi wewe unaona ni sawa waisrael kuchukua ardhi ya wapalestina na wapalestina watulie tu na kuendelea kuishi kwenye kambi za wakimbizi nchini kwao? Mbona nyinyi munamshabikia Mugabe aliporudisha ardhi ya wazungu walioichukua kwa watu weusi?

Na musilete hadithi eti lile ni taifa teule, walihama kwa miaka elfu mbili na sasa wamerudi kwao, huo ni usanii wa wazungu tu katika sura nzima ya uporaji wa ardhi, kwani proposal ya kwanza ya kuwahamishia hawa jamaa ilikuwa wawekwe sehemu ya Uganda. Na wangewekwa hapo Uganda karibu la lake Victoria ndiyo mungeliota hilo ziwa maana wangeliteka na kulifanya la kwao.

Uganda Scheme - Wikipedia, the free encyclopedia
 
kuua watoto ndio kuheshim haki za binadam? israel ni mashetan

HUwezi pigana vita yoyote na wananchi wako wasipate madhara, coz bomb sio risasi, na uwezo wa kuifuta Gaza wanao coz wanna nyuklia weapons wakidondosha mbili kwisha kazi. So wana utu na hata vita viki stop sasa i will take time for Hammas kujipanga tena coz vituo vyao na maghala yao yote yamesambatatishiwa mbali
 
Hahahahahahaha kiongozi unadhani ukimwelewesha muislam kuhusu bible atakaa akuelewe wakati Quaran yenyewe ana kariri haielewe wanafuata sheria kuliko inani yao, wako nyuma sana kiimani dus y wanauwana wenywe kwa wenyewe, mtu anamuhukumu mama mjamzito kifo kisa kaolewa na mkristu akili tope hilo

Kwani huyo yahudi unayemtetea anamwamini huyo yesu wako? Kasome tena vizuri.

Na hiyo biblia si aliandika nani yule - Agustus? Sasa si ameweka ya kwake tu mengi?
 
Hebu jaribu kusoma historia kwanza halafu ndiyo utoe hizo comments zako.

Hivi wewe unaona ni sawa waisrael kuchukua ardhi ya wapalestina na wapalestina watulie tu na kuendelea kuishi kwenye kambi za wakimbizi nchini kwao? Mbona nyinyi munamshabikia Mugabe aliporudisha ardhi ya wazungu walioichukua kwa watu weusi?

Na musilete hadithi eti lile ni taifa teule, walihama kwa miaka elfu mbili na sasa wamerudi kwao, huo ni usanii wa wazungu tu katika sura nzima ya uporaji wa ardhi, kwani proposal ya kwanza ya kuwahamishia hawa jamaa ilikuwa wawekwe sehemu ya Uganda. Na wangewekwa hapo Uganda karibu la lake Victoria ndiyo mungeliota hilo ziwa maana wangeliteka na kulifanya la kwao.

Uganda Scheme - Wikipedia, the free encyclopedia
Unajua Jerusalem imeundwa lini na nani mmiliki wa huo mji kasome Quaran yako nadhani kuna sehemu hujakariri bado
 
Kwani huyo yahudi unayemtetea anamwamini huyo yesu wako? Kasome tena vizuri.

Na hiyo biblia si aliandika nani yule - Agustus? Sasa si ameweka ya kwake tu mengi?

aaaaah unajua maana ya neno Bible kasome alafu uje hapa tena bible haijatungwa kiongozi
 
Kabla sijakujibu swali lako kwanza nataka uniambie mbona Mungu wenu Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe. Hana thamani kabisa:A S wink: Si bora hata Quran imempa heshima Yesu, kuliko Bibilia zenu za unafiki eti Mungu wa wakristo alizaliwa kwenye zizi la Ngo'mbe. Aibuu jamani ficheni siri za ujinga wenu.
Unaanza kuogopa mapema hii.

Nimekwambia Muulize Allah haya maswali:
1. Akuonyeshe kwenye Quran ni Mji gani Isa Bin Maryam Alizaliwa?
2. Akupe tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam?

HAPO NDIPO UTAFAHAMU KWANINI YESU NI MUNGU
 
Mungu hahitaji kusinzia wala kulala lakini Bwana Yesu alikuwa akilala sana. Kwahiyo hawezi kuwa Mungu. Biblia inasema kwamba: Ilitokea dhoruba kuu ya upepo, mawimbi yakakipiga chombo hata kikaanza kujaa maji. Naye mwenyewe alikuwapo katika shetri, amelala juu ya mto, wakamwamsha, wakamwambia, mwalimu, si kitu kwako kama tunaangamia? (Marko 4:37-38; Mathayo 8:23-25).
Stop posting when you are under influence of controlled substances.
 
Hamas wanajificha kwa Raia, hawana hata Uniform, katika hali hiyo ni lazima Raia wa kawaida wauawe

Kwani Ma rocket yanayorushwa na Hamas kwenda Izrael yamlenga nani?

Mkuu nimesema hilo hilo nimeshambuliwa, kuna baadhi ya members hapa ni Islamists kwa hiyo wao kwao wanaochofanya Hamas ni sahihi kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom