Israel launches ground incursion in Gaza Strip!

Israel launches ground incursion in Gaza Strip!

Status
Not open for further replies.
rtr406vr.si.jpg


The death toll in Gaza has hit over 1,600 since Israel launched operation Protective Edge on July 8. The international community is pushing the sides to ceasefire as the world opinion rallies against Tel Aviv's operation.

Saturday, August 2

05:19 GMT:
Over 100 Palestinians have been killed by Israel's military in the space of a night, as they made well on their promises to step up their military offensive in retaliation for the alleged kidnapping of one of their soldiers - someone who might have also been killed in last night's shelling of southern Gaza, along with his captors, Naharnet reports.

03:02 GMT:
Hamas believes that the missing Israeli officer was killed in an Israeli bombardment.
"We lost contact with the group of combatants that took part in the ambush, and we believe they were all killed in the bombardment. Assuming that they managed to abduct the soldier during combat, we assess that he was also killed in the incident," the militant organization said in a statement, Haaretz reports.
According to the statement the group said that they were ready for a humanitarian cease-fire and they would not shoot rockets into Israel.

02:05 GMT:
Thousands of people took to London's High Street Kensington to protest against the on-going Israeli military offensive against Gaza.


Ref. radio maxi shimba JF
 
Where is Allah cc Gavana

MAXI SHIMBA ON LINE

YESU SI MUNGU:

KWA SABABU HANA SIFA ZA MUNGU

Mwenyezi Mungu Anazo sifa zifuatazo ambazo Yesu hanazo hata sifa moja wapo. Mwenyezi Mungu ndiye muumba wetu ambaye ni mmoja. Anajulikana na anatambulikana kwa sifa zake. Biblia inatuelezea sifa hizo. Hapa chini nitaeleza baadhi ya sifa za Mwenyezi Mungu zinazotajwa katika Biblia. Vilevile nitaeleza kwamba Bwana Yesu Kristo hana hata sifa moja sawa na Biblia.

1. MUNGU HAJARIBIWI

Biblia inasema kwamba: “Mtu ajaribiwapo, asiseme, ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala mwenyewe hamjaribu mtu,” (Yakobo 1:13).

Tuone hali ya Bwana Yesu Kristo kwamba yeye anayo sifa hii au ni kinyume chake.

Biblia inasema kwamba: “ Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi,” (Mathayo 4:1). Mungu hajaribiwi lakini Yesu alijaribiwa na Iblisi, kwahiyo hawezi kuwa mungu, kwa sababu ya kukosa sifa hii ya Mungu

2. MUNGU HAFI

Mwenyezi Mungu ni hai ambaye anadumu milele na hatakufa. Akili inakubali kwamba Mungu ni yule ambaye anao uzima wa milele kama Biblia inavyosema kwamba: “Mimi naweka amri, ya kwamba katika mamlaka yote, ya ufalme wangu watu watetemeke na kuanguka mbele za Mungu wa Danieli; maana yeye ndiye Mungu aliye hai, adumuye milele, na ufalme wake ni ufalme usioharibika, mamlaka yake itadumu hata mwisho.” (Danieli 6:26).

Sasa tuone kwamba je, Bwana Yesu anayo sifa hii ya Mungu ya kuwa hai milele bila kifo.

Biblia inaeleza kwamba Bwana Yesu hana sifa hii:

“Naye Yesu akisha kupaza sauti tena kwa nguvu akaitoa roho yake.” (Mathayo 27:50). Hivyo mtu ambaye alifariki hawezi kuwa Mungu.

Wakristo wanaamini kwamba Bwana Yesu alifariki kifo cha laana lakini sisi Waislamu tunaamini kwamba Yesu hakufa kifo cha laana bali Mwenyezi Mungu alimsaidia


3. MUNGU ANAJUA KILA KITU

Ni sifa ya Mwenyezi Mungu kujua kila kitu cha dhahiri na cha siri. Kitu chochote hakiwezi kufichika
kwake.

Kama Biblia inavyosema kwamba: “Basi usikie huko mbinguni, makao yako, ukasamehe, ukampe kila
mtu kwa kadri ya njia zake; wewe ujuaye moyo wake;(maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya
wanadamu wote.” (1Wafalme 8:39).

Sasa tuone kiwango cha Bwana Yesu cha kujua mambo.

Biblia inasema kwamba: “Hata asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa. Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake ila majani tu; akauambia, yasipatikane matunda kwako tangu leo hata milele. Mtini ukanyauka mara.” (Mathayo 21:18-19).

Mtu ambaye hajui kwamba msimu huu mti fulani haupatikani matunda ilhali hata watoto wadogo wanajua misimu ya matunda mbalimbali, hawezi kuwa Mungu.

Tena aya hii inaonesha tabia ya Bwana Yesu kwamba mwenyewe alikosea kujua msimu wa matunda ya mtini na kisha akaulaani mti bure.

Pia Bw. Yesu anakiri mwenyewe kwamba hajui chochote kuhusu habari za saa ile (Mathayo 24:36).


4. MUNGU HACHOKI

Mwenyezi Mungu hana kasoro ya udhaifu wowote.

Sifa zote njema zinamhusu yeye. Biblia inasema kwamba: Je, wewe hukujua? hukusikia? Yeye Mungu
wa milele, Bwana muumba miisho ya dunia, hasinzii wala hachoki, akili zake hazichunguziki.” (Isaya 40:28).

Sasa tuone hali ya Yesu. Je, yeye anayo sifa hii ya Mungu? Kama hana, basi hawezi kuwa Mungu.

Biblia inasema: “Na hapo palikuwa na kisima cha Yakobo, Basi Yesu kwa sababu amechoka kwa safari yake,
akaketi vivi hivi kisimani. Nayo yapata saa sita.” (Yohana 4:6).

Mwenye kuchoka hawezi kuwa Mungu.


5. MUNGU HAUWAWI

Mwenyezi Mungu ndiye mwenye mamlaka na nguvu zote na anao uwezo kamili, hawezi kushindwa mbele ya yeyote:

“Watakushusha hata shimoni; nawe utakufa kifo chao waliouawa kati ya bahari. Je, utazidi kusema
mbele yake huyo akuuaye, Mimi ni Mungu?

Lakini u mwanadamu, wala si Mungu, mkononi mwake akutiaye jeraha.” (Ezekieli 28:8-9).

Mwanadamu anauawa na bwana Yesu anayo sifa hii sawa na Biblia. “Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu, ambaye ninyi mlimuuwa mkimtundika katika mti.” (Matendo 5:30).

Mtu ambaye anatundikwa na anauawa hawezi kuwa Mungu. Bali ataitwa mtu dhaifu.

Sisi Waislamu hatuamini kabisa kwamba Bwana Yesu aliuawa au alitundikwa.


6. MUNGU HASINZII WALA HALALI

Mwenyezi Mungu ni mwenye uwezo wa aina zote ambaye hahitaji kupumzika wala kusinzia. Biblia inasema kwamba:

“Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, yeye aliye mlinzi wa Israeli.” (Zaburi 121:4).

Mungu hahitaji kusinzia wala kulala lakini Bwana Yesu alikuwa akilala sana. Kwahiyo hawezi kuwa Mungu. Biblia inasema kwamba: Ilitokea dhoruba kuu ya upepo, mawimbi yakakipiga chombo hata kikaanza kujaa maji. Naye mwenyewe alikuwapo katika shetri, amelala juu ya mto, wakamwamsha, wakamwambia, mwalimu, si kitu kwako kama tunaangamia? (Marko 4:37-38; Mathayo 8:23-25).
 
haya mchungaji max njoo ujibu,yesu ni mungu ama si mungu.
 
wewe unaishi wapi?,tangu vita ianze hamas ameua raia wangapi?. Hamas inapiga roketi israel akijua kuwa yatadunguliwa na iron dome,na anajua kuwa israel kila mtaa kuna bomb shelter na kila nyumba israel imejengwa strong room in case kama unakua mbali na bomb shelter unaingia ndani ya chumba hicho.pia wanajua roket za hamas hata tano zikipiga nyumba zina iscrach tu haziwezi kulipua nyumba. Roket zinapigwa kwa lengo la kulazimisha israel kutumia makombora yao ya iron dome na kuwaforce israel wabaki ndani kwahiyo kusimamisha uzalishaji.
mh! hamas wao ndio wanazalisha?
 
If it was not for iron dome and bomb shelters in Israel, casualties would have been higher. Kuna baadhi ya watu wanasema Israel inaua raia, wanasahau kuwa Hamas wameshindwa kuua raia kwa kuwa iron dome imewazuia, lengo kuu la Hamas ni kuua raia na sio wanajeshi.

Raia wanaouawa Gaza ni wale wanaotumiwa na Hamas kama Human shield. Kuna jamaa alikutwa ameshika machine gun akiwarudisha watu waliokuwa wanaondoka kwenye nyumba ambayo Israel iliwaarifu kuwa itaipiga mabomu...so let us not be naive here, civilian casualties in Hamas plan. After this war Netanyahu will kiss goodbye premiership because of this.

We ulikuwepo? au ni ushabiki tu?
 
naona waisrael wamechoka kuua ama risasi zimeisha.
Daniel Nisman
dannynis 6m
IDF seems to be
withdrawing from
portions of Gaza, at same
time refusing truce talks in
Cairo. Could be start of
unilateral measures
 
Last edited by a moderator:
haya mchungaji max njoo ujibu,yesu ni mungu ama si mungu.

Muulize Allha yafuatayo:
1. Akuonyeshe kwenye Quran ni Mji gani Isa Bin Mary Alizaliwa?
2. Akupe tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam?

HAPO NDIPO UTAFAHAMU KWANINI YESU NI MUNGU
 
huyu Netanyau ndio waziri mkuu wa kuigwa duniani...kung'uta hiyo mipaka ..mxxxxx
 
israel inaondoa askari wake wa miguuni gaza baada ya kuona watapoteza askari wengi na hawana utaalamu wa kupambana na hamasi ana kwa ana.
Wameona bora waendelee kuwaua wapalestina kwa mashambulizi ya kutoka angani.
 
naona waisrael wamechoka kuua ama risasi zimeisha.
Daniel Nisman
dannynis 6m
IDF seems to be
withdrawing from
portions of Gaza, at same
time refusing truce talks in
Cairo. Could be start of
unilateral measures
Wamezidiwa wanatafuta ushindi wa kila njia, wanajidai eti karibu vita vitaisha na hakuna walicho fanya zaidi ya kuvunja majumba, silaha hawajazivunja, tunnels ziko pale pale kama kawaida ukiwauliza kuna tunnels ngapi wanasema hatujui si ndio wananiwacha hoi hapo.
 
israel inaondoa askari wake wa miguuni gaza baada ya kuona watapoteza askari wengi na hawana utaalamu wa kupambana na hamasi ana kwa ana.
Wameona bora waendelee kuwaua wapalestina kwa mashambulizi ya kutoka angani.
Nilisha sema watakimbia hao, wamezowea wao vita vya kurusha maboom hawajui yanaenda wapi zaidi ya kuvunja majumba.
 
...dadeki,piga hao wakina ismail kwa staili zote mpaka walegee...!
 
Israel wanaheshimu haki za binadamu ndiyo maana wanachelewa kumaliza hii vita.
 
Wananchi wa gaza wakija kuishi sehemu kama Tanzania au Norway wataona ndo peponi kwenyewe
 
Tuletee aya wapi:
ALLAH KASEMA MIMI ALLAH NI MUNGU

MUHAMMAD KASEMA MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU

Ukinipa aya moja, tu, LEO HII NASILIMU

Haya fanya hima tafuta aya kutoka Quran.
Tazama signature yangu kwenye profile utapata jibu na kuongezea point zingine.GOD Almighty's original Holy Name is clearly "Allah" or "Elaw"! when Jesus peace be upon him was put on the cross, he cried to GOD Almighty and said "Eloi", which is derived from "Elaw" or "Allah". He didn't say "Yahwahoi"!Therefore, any Christian who decides to act stubborn and reject the crystal clear fact that GOD Almighty's original Holy Name was indeed "Allah", because of fearing that it would prove Islam to be the faith of Truth, is guilty of sinning against GOD Almighty!

So why then does the Arabic Bible use "Allah" and "Yahweh" for GOD?
 
Muulize Allha yafuatayo:
1. Akuonyeshe kwenye Quran ni Mji gani Isa Bin Mary Alizaliwa?
2. Akupe tarehe ya kuzaliwa Isa Bin Maryam?

HAPO NDIPO UTAFAHAMU KWANINI YESU NI MUNGU
Kabla sijakujibu swali lako kwanza nataka uniambie mbona Mungu wenu Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe. Hana thamani kabisa:A S wink: Si bora hata Quran imempa heshima Yesu, kuliko Bibilia zenu za unafiki eti Mungu wa wakristo alizaliwa kwenye zizi la Ngo'mbe. Aibuu jamani ficheni siri za ujinga wenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom