Israel launches ground incursion in Gaza Strip!

Israel launches ground incursion in Gaza Strip!

Status
Not open for further replies.

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,608
Reaction score
6,701
rtr406vr.si.jpg

The death toll in Gaza has hit over 1,600 since Israel launched operation Protective Edge on July 8. The international community is pushing the sides to ceasefire as the world opinion rallies against Tel Aviv's operation.

Saturday, August 2

05:19 GMT:
Over 100 Palestinians have been killed by Israel's military in the space of a night, as they made well on their promises to step up their military offensive in retaliation for the alleged kidnapping of one of their soldiers - someone who might have also been killed in last night's shelling of southern Gaza, along with his captors, Naharnet reports.

03:02 GMT:
Hamas believes that the missing Israeli officer was killed in an Israeli bombardment.
"We lost contact with the group of combatants that took part in the ambush, and we believe they were all killed in the bombardment. Assuming that they managed to abduct the soldier during combat, we assess that he was also killed in the incident," the militant organization said in a statement, Haaretz reports.
According to the statement the group said that they were ready for a humanitarian cease-fire and they would not shoot rockets into Israel.

02:05 GMT:
Thousands of people took to London's High Street Kensington to protest against the on-going Israeli military offensive against Gaza.
 
God Needed There As A Mediotor,may Self Ithing No One Under The Sun Comes Stop This Conflicts Between Esraelites And Palestians Ant'l Jesus Came Back,jesus Savier!
 
Hiii ni zaid ya balaaa, hapo ni hari mpka kwa mbu, mbwa, paka, mijusi hata nzi.

Nadhani wanadamu wa palestina wanasafari ndefu na ya ajabu ndani ya ushirika wao kwa Hamasi.
 
Hamasi is starting to realize its insanity...day dreams on defeating Israel after such a horrible blood shed!. At least you don't have to trust any of their words unless they comply as they are always full of malice, deceits, hypocrisy, hatred and unreasonable bitterness against human beings (conspicuous for Israel now because is in their neighborhood) cushioned by their external appeals for sympathy and global supports.

By the way, I dont think Israel has anything against humanitarian cease fire as long as it is honored by both parties.
 
If it was not for iron dome and bomb shelters in Israel, casualties would have been higher. Kuna baadhi ya watu wanasema Israel inaua raia, wanasahau kuwa Hamas wameshindwa kuua raia kwa kuwa iron dome imewazuia, lengo kuu la Hamas ni kuua raia na sio wanajeshi.

Raia wanaouawa Gaza ni wale wanaotumiwa na Hamas kama Human shield. Kuna jamaa alikutwa ameshika machine gun akiwarudisha watu waliokuwa wanaondoka kwenye nyumba ambayo Israel iliwaarifu kuwa itaipiga mabomu...so let us not be naive here, civilian casualties in Hamas plan. After this war Netanyahu will kiss goodbye premiership because of this.
 
One needs to understand the rule of law and international law in war, no country under heaven will idly sit by and just complain when a terrorist organization operating within another country is constantly shelling a barrage of rockets and building tunnels and the like, Palestinians as poor as tthey are (sure we all feel their pain) need to start realizing that the only way they can win is through political dialog and they have a huge political capital and empathy directed towards them compared with their neighbors. It was in April when Mahmood Abas stroke a Deal with Hamas and left Gaza to Hamas, that's when analysts started raising eyebrows about the prospects of peace in the region also let's remember Hamas is supported by Iran as well. They need to denounce terrorism and get back to the road map for peace
 
Hapo ndio mnatuonyesha ujinga wa Israel, yeye anafikiri kuvunja majumba ndio atashinda na kuhakikishieni Israel vita hata shinda. Atakubali anacho taka Hamas. Cha ajabu kabaki kujidai yuko Gaza hata 0.5km hajaingia.
 
Mbinu ya kupigana vita ya hamas sio kuuwa wanajeshi bali ni kuuwa raia. sasa mbinu hiii ni ya kijinga sana huwezi kuuwa raia ukaacha wale wanau kupiga swala hapo ni hamas kubadili mbinu za vita badala ya kupiga raia washambulie wanajeshi tu sio vinginevyo. Na wasipo kubali kuwa ISRAEL ni wataalam wa vita hakika Hamas watafutika kabisa. ushauri wangu ni huu HAMAS wakubali kushindwa.
 
Hapa sasa umeamua kujitoa ufahamu ili kushabikia magaidi,hata hivyo majibu yako kwenye uwanja wa vita wewe hapa unabwabwaja tu.
Hapo ndio mnatuonyesha ujinga wa Israel, yeye anafikiri kuvunja majumba ndio atashinda na kuhakikishieni Israel vita hata shinda. Atakubali anacho taka Hamas. Cha ajabu kabaki kujidai yuko Gaza hata 0.5km hajaingia.
 
Hapo ndio mnatuonyesha ujinga wa Israel, yeye anafikiri kuvunja majumba ndio atashinda na kuhakikishieni Israel vita hata shinda. Atakubali anacho taka Hamas. Cha ajabu kabaki kujidai yuko Gaza hata 0.5km hajaingia.

Kweli mkuu unatupa habari za jikoni maana wewe upo eneo la tukio
 
Hawa waarabu kweli wana matatizo ya kichwa. Angalia resources zilizotumika kujenga hizo tunnels ni kubwa mno. Wangetumia katika kuboresha maisha ya wapalestina baadala ya kupanga kuua waisraeli. Na hawajafanikiwa na hawatafanikiwa. Chuki kubwa ya waarabu dhidi ya waisraeli ndio inaleta matatizo haya.
 
Mbinu ya kupigana vita ya hamas sio kuuwa wanajeshi bali ni kuuwa raia. sasa mbinu hiii ni ya kijinga sana huwezi kuuwa raia ukaacha wale wanau kupiga swala hapo ni hamas kubadili mbinu za vita badala ya kupiga raia washambulie wanajeshi tu sio vinginevyo. Na wasipo kubali kuwa ISRAEL ni wataalam wa vita hakika Hamas watafutika kabisa. ushauri wangu ni huu HAMAS wakubali kushindwa.

Mkuu njia wanayotumia Izrael ni sahihi kabisa, wewe kama adui yako anakurushia Risasi halafu anakimbilia kwenye nyumba za raia unafanyaje?, solution ni kufumua Nyumba nzima hata panya wafie humo
 
Mbinu ya kupigana vita ya hamas sio kuuwa wanajeshi bali ni kuuwa raia. sasa mbinu hiii ni ya kijinga sana huwezi kuuwa raia ukaacha wale wanau kupiga swala hapo ni hamas kubadili mbinu za vita badala ya kupiga raia washambulie wanajeshi tu sio vinginevyo. Na wasipo kubali kuwa ISRAEL ni wataalam wa vita hakika Hamas watafutika kabisa. ushauri wangu ni huu HAMAS wakubali kushindwa.

Israel imeuwa raia 1600 na ushe. haijajulikana wapiganaji wa hamas wangapi waliouawa.NA hamasi imeuwa asikari wa kiizraeli 88.haijulikani raia wakiisraeli wangapi walio uawa. hapa tuna ona Israel inauwa raia wa kipalestina wasio na hatia. wengi badala ya kuwa lenga wa piganaji wa hamasi
 
Hawa waarabu kweli wana matatizo ya kichwa. Angalia resources zilizotumika kujenga hizo tunnels ni kubwa mno. Wangetumia katika kuboresha maisha ya wapalestina baadala ya kupanga kuua waisraeli. Na hawajafanikiwa na hawatafanikiwa. Chuki kubwa ya waarabu dhidi ya waisraeli ndio inaleta matatizo haya.

Ki historia waarab hawawapendi wayahudi na ndio maana wayahudi wamesambaa ovyo duniani baada ya kukimbizwa na Waarabu, Soma hii

Surah 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
 
Israel imeuwa raia 1600 na ushe. haijajulikana wapiganaji wa hamas wangapi waliouawa.NA hamasi imeuwa asikari wa kiizraeli 88.haijulikani raia wakiisraeli wangapi walio uawa. hapa tuna ona Israel inauwa raia wa kipalestina wasio na hatia. wengi badala ya kuwa lenga wa piganaji wa hamasi

Hamas wanajificha kwa Raia, hawana hata Uniform, katika hali hiyo ni lazima Raia wa kawaida wauawe

Kwani Ma rocket yanayorushwa na Hamas kwenda Izrael yamlenga nani?
 
Tanzania inasafari ndefu sana,kama think tank wake ndo wa design wewe,si ajabu ilifaulu sana o-level na a-level kwa elimu za kukariri na kuiba mitihani
 
Mbinu ya kupigana vita ya hamas sio kuuwa wanajeshi bali ni kuuwa raia. sasa mbinu hiii ni ya kijinga sana huwezi kuuwa raia ukaacha wale wanau kupiga swala hapo ni hamas kubadili mbinu za vita badala ya kupiga raia washambulie wanajeshi tu sio vinginevyo. Na wasipo kubali kuwa ISRAEL ni wataalam wa vita hakika Hamas watafutika kabisa. ushauri wangu ni huu HAMAS wakubali kushindwa.

wewe unaishi wapi?,tangu vita ianze hamas ameua raia wangapi?.
Hamas inapiga roketi israel akijua kuwa yatadunguliwa na iron dome,na anajua kuwa israel kila mtaa kuna bomb shelter na kila nyumba israel imejengwa strong room in case kama unakua mbali na bomb shelter unaingia ndani ya chumba hicho.pia wanajua roket za hamas hata tano zikipiga nyumba zina iscrach tu haziwezi kulipua nyumba.
Roket zinapigwa kwa lengo la kulazimisha israel kutumia makombora yao ya iron dome na kuwaforce israel wabaki ndani kwahiyo kusimamisha uzalishaji.
 
Haya majibizano yote na vita hii ni sababu ya upofu wetu binadamu. Adui ya binadamu ni shetani aliyeshawishi wazazi wetu kumuasi Mungu na ndio maana kuna kufa. Binadamu tunaacha kupambana ya adui halisi tunauana wenyewe kwa wenyewe na kufanya kazi ya shetani kuwa rahisi zaidi ya kuingiza roho wa watu motoni.
 
Nadhani lengo lao ni kuona Hamas ikufutika katika uso wa dunia hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom