Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

Kimea2022

Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
9
Reaction score
15
Habari wakuu...

Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa yawezakamilisha ndani ya masaa 12 ya usiku mmoja.

Au kama vipi Trump awaombe Waisrael, watu waliopewa akili zaidi Ulimwenguni, wadukue mfumo wa kurusha makombora ya balistic ya North Korea ili Kim asiweze kurusha hata toy la mbayuwayu. Na uhakika jambo hili litaepusha kuita vikao vya kila siku vya UN kuijadili N/Korea. Litamfanya Kim achutame kwa fedheha na kuomba mazungumzo...Karibuni Timu Kiduku na Timu Trump.

Update...

Wengi hawakuielewa ujumbe niliokusudia ktk post hii, napenda kutolea maelezo machache:

1. Israel wamekuwa wakisifiwa sana kuwa na uwezo uliotukuka usiopimika ktk maswala ya kivita na ujasusi...lakini wameshindwa kumsaidia Trump dhidi ya Kim. Na walipo jaribu tu kufungua kinywa dhidi ya North Korea, Kim aliwanyamanzisha kwa onyo la adhabu kali.

2.Watu wamekuwa wakiaminishwa kuwa waisrael wana akili zaidi, lakini kiuhalisia kama wangekuwa hivyo US isingikuwa inaendelea kulia lia kuhusu program za silaha na udukuzi wa North Korea. US isingekuwa yaendelea kulisumbua baraza la usalama la UN kuijadili North Korea kila kukicha na kuweka vikwazo visivyo na mafanikio
 
Habari wakuu...

Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa yawezakamilisha ndani ya masaa 12 ya usiku mmoja.

Au kama vipi Trump awaombe Waisrael, watu waliopewa akili zaidi Ulimwenguni, wadukue mfumo wa kurusha makombora ya balistic ya North Korea ili Kim asiweze kurusha hata toy la mbayuwayu. Na uhakika jambo hili litaepusha kuita vikao vya kila siku vya UN kuijadili N/Korea. Litamfanya Kim achutame kwa fedheha na kuomba mazungumzo...Karibuni Timu Kiduku na Timu Trump.
Kiziwi amuombe msaada kipofu wa kusomewa barua.
Israel inakuzwa tu kisa inaonea vipanya ikikutana na wababe utasikia wamekimbilia UN wanapiga kelele.
 
Kwa hiyo mapanki ni kwikwi
Sishangai wa Tanzania tuna IQ ndogo yule binti wa Kenya alikuwa sahihi,.. Mtanzania anayeishi chini ya 1dollar anayeshinda mtandaoni anajifanya expert na kuishauri USA
 
Kiziwi amuombe msaada kipofu wa kusomewa barua.
Israel inakuzwa tu kisa inaonea vipanya ikikutana na wababe utasikia wamekimbilia UN wanapiga kelele.
kinachoikuza Israel ni historia yake, taifa hilo la mashariki ya kati lipo kati ya maadui,limepigana vita nyingi sana na kushinda,vita inayokumbukwa sana ni vita ya siku sita ambapo mataifa ya kiarabu na kiislam yalijiunga pamoja kuvamia israel ili kuifuta wakiongozwa na misri,walichakazwa vibaya sana.pili tecnolojia wapo mbali sana.kiujumla uwezo wanao.
 
Swali

Je israel ina fight yenyew kama yenyew au inakuwa na msaada toka sehemu flani

Je israel inaweza kujiendesha yenyewe kama yenyew bila msaada kutoka chanzo chochote
 
Habari wakuu...

Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa yawezakamilisha ndani ya masaa 12 ya usiku mmoja.

Au kama vipi Trump awaombe Waisrael, watu waliopewa akili zaidi Ulimwenguni, wadukue mfumo wa kurusha makombora ya balistic ya North Korea ili Kim asiweze kurusha hata toy la mbayuwayu. Na uhakika jambo hili litaepusha kuita vikao vya kila siku vya UN kuijadili N/Korea. Litamfanya Kim achutame kwa fedheha na kuomba mazungumzo...Karibuni Timu Kiduku na Timu Trump.
Huu uteule wa Israel nani kaupa?
 
search
hawa vidume tu hadi leo wamewashindwa ndio waende huko kwa kiduku 😉
Israel mi naona wanipaisha Tu
 
kinachoikuza Israel ni historia yake, taifa hilo la mashariki ya kati lipo kati ya maadui,limepigana vita nyingi sana na kushinda,vita inayokumbukwa sana ni vita ya siku sita ambapo mataifa ya kiarabu na kiislam yalijiunga pamoja kuvamia israel ili kuifuta wakiongozwa na misri,walichakazwa vibaya sana.pili tecnolojia wapo mbali sana.kiujumla uwezo wanao.
Hiyo vita kila mara inatumika kama reference.
Kumbuka hata Rumi iliwahi kuwa dola kubwa ikatawala dunia.
Ottoman empire pia leo hii ziko wapi.
Kipindi hicho nchi nyingi za kiarabu zilikuwa hazijiwezi walitegemea egypt ndiye aongoze msafara.
Kwa sasa hawezi kupigana vita kama ile akashinda ndiyo maana hata Iran yenyewe hathubutu kuishambulia hadharani kama anavyofanya syria maana anajua akipeleke ndege zake kule Iran akijibu itakuwa shida.
 
Sishangai wa Tanzania tuna IQ ndogo yule binti wa Kenya alikuwa sahihi,.. Mtanzania anayeishi chini ya 1dollar anayeshinda mtandaoni anajifanya expert na kuishauri USA
Mkuu, kama kweli huyo mkenya yuko sahihi kuhusu IQ yetu mbona hatujatest makombora ya balistiki na bomu la haidrojeni kama N/Korea ambao nao wanasifiwa kuwa na IQ ya namna hiyo.
 
Back
Top Bottom