Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,362
- 4,818
Uchaguzi wa Israel unatarajiwa kufanyika Machi 2 mwakani, ikiwa ni wa tatu katika kipindi cha mwaka mmoja. Muswada wa kulivunja bunge, ambao pia unatangaza tarehe ya uchaguzi, utapitisha sehemu nne za mwisho, saa chache baada ya wabunge kushindwa kuunda serikali ya muungano baada ya muda wa mwisho wa saa sita usiku uliowekwa na kuepuka uchaguzi mwingine.
Kutokana na matokeo ya uchaguzi wa Aprili 9 na Septemba 17 mwaka huu, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mpinzani wake Benny Gantz wote walishindwa kuunda serikali ya muungano.
Kutokana na matokeo ya uchaguzi wa Aprili 9 na Septemba 17 mwaka huu, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mpinzani wake Benny Gantz wote walishindwa kuunda serikali ya muungano.