Israel Knesset Wamshambulia Netanyahu

Israel Knesset Wamshambulia Netanyahu

Israel Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha.

Pia wanaulizana nani aliye toa amri ya kusimamisha vita, okay wanasema yote hayo tisa wametoka kwenye mashelter je Iran imevunjiwa Nuclear? Hapana mmepiga kweli mmerusha maboom mmeuwa macommander, scientists lakini Iran nuclear facilities bado zipo na nia zao bado zipo, pia Je Missiles zake zimevunjwa? Hapana sa Netanyahu anaongelea ushindi upi.

Kusimamisha vita kwa sasa ni hasara kwa Israel na ushindi mkubwa kwa Iran na marafiki zake kwenye dunia. Iran kwa sasa kisha amini wazi Israel hawezi kupigana vita nao, huyo Muisrael anasema siasa ya kusimamisha vita itatufanya tulipe thamani kubwa siku za mbele.

Nani aliye simamisha vita Israel au Israel imekuwa haina tena amri? Israel sio dhaifu lakini Netanyahu kaogopa kukosa support za nchi za Europe na USA mhhmm afu wanajikanyaga tena Wazira ya majeshi imepigwa, telecommunication imesambaratishwa, Airport imefungwa bila reason, tokea 1973 mara ya kwanza tunahisi Israel haina kiongozi. Aisay wamechangan'yikiwa kweli.

View: https://youtu.be/XMHTBLT5uhs?si=YZ8DMQETvl15C_1C

Hivi myahudi wetu wa Namtumbo MK254 amefanikiwa kuiona yote hii video? Maana yeye wa Namtumbo anajifanya anauchungu mno kuliko waisrael waliopo Israel kwenyewe.
 
Naungana na wale wanaosema vita haina mshindi Bali ni tofauti ya hasara ya vita tu, unafikiri US au Israel hawataki Iran iwe kama Syria au Irak?wanatamani sana ila uwezo huo ndio hawana, angalia wanachofanya Palestine,hakuna kuangalia vita kwenye TV hapo Israel mzigo unatua na unaondoka na watu
 
Hivi myahudi wetu wa Namtumbo MK254 amefanikiwa kuiona yote hii video? Maana yeye wa Namtumbo anajifanya anauchungu mno kuliko waisrael waliopo Israel kwenyewe.
Huyo siku zile Iran anawapelekea moto Israel hata aliwakasirikia wazazi wake akawa hawasemeshi 🤣
 
Israel Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha.

Pia wanaulizana nani aliye toa amri ya kusimamisha vita, okay wanasema yote hayo tisa wametoka kwenye mashelter je Iran imevunjiwa Nuclear? Hapana mmepiga kweli mmerusha maboom mmeuwa macommander, scientists lakini Iran nuclear facilities bado zipo na nia zao bado zipo, pia Je Missiles zake zimevunjwa? Hapana sa Netanyahu anaongelea ushindi upi.

Kusimamisha vita kwa sasa ni hasara kwa Israel na ushindi mkubwa kwa Iran na marafiki zake kwenye dunia. Iran kwa sasa kisha amini wazi Israel hawezi kupigana vita nao, huyo Muisrael anasema siasa ya kusimamisha vita itatufanya tulipe thamani kubwa siku za mbele.

Nani aliye simamisha vita Israel au Israel imekuwa haina tena amri? Israel sio dhaifu lakini Netanyahu kaogopa kukosa support za nchi za Europe na USA mhhmm afu wanajikanyaga tena Wazira ya majeshi imepigwa, telecommunication imesambaratishwa, Airport imefungwa bila reason, tokea 1973 mara ya kwanza tunahisi Israel haina kiongozi. Aisay wamechangan'yikiwa kweli.

View: https://youtu.be/XMHTBLT5uhs?si=YZ8DMQETvl15C_1C

Wamuondoe Natanyahu madarakani kinguvu, ameabisha sana taifa la Israel na kulitia hasara - wamubane kwenye kesi inayo mkabiri ya kula rushwa yeye na mkewe, waazie hapo kukaza vyuma.
 
Wamuondoe Natanyahu madatakani kinguvu, ameabisha sana taifa la Israel na kulitia hasara - wamubane kwenye kesi inayo mkabiri ya kula rushwa yeye na mkewe, waazie hapo kukaza vyuma.
Ndio manake anaingiza taifa lake hasara sababu hataki ahukumiwe.

Sa kuna watu wameanza kufungua Restaurant wanazita majina ya Missiles za Iran mfano missile inayo itwa KHAYBAR. Restaurant ipo pale Beirut, Lebanon

Ndio manake anaingiza taifa lake hasara sababu hataki ahukumiwe.

Sa kuna watu wameanza kufungua Restaurant wanazita jina la Missiles za Iran tazama hio Restaurant pale Beirut imetwa

There you are - brilliant😁😁
 
Kama nimemuelewa vizuri huyo Yahudi ni kwamba HAJAFURAHISHWA na ceasefire, angependa Israel iendelee kupigana hadi malengo yao yatimie; kwamba maadamu mitambo ya nuclear ya Iran haijaguswa then they are not safe. In otherwords (kama nimemuelewa vizuri ) anamlaumu Netanyahu kwa kusitisha mapigano while malengo hayajatimia. Not sure kama nimemuelewa vizuri
 
Yaap lakini je wangeweza kuendelea na vita sababu Iran alikuwa anawapelekea moto si mchezo.
 
JAMII FORUM IMEPWAYA KWELI, TOKA MYAHUDI KUPATA KIPIGO AMBACHO HAKIKUWAHI KUKIPATA NA WALA KUKITEGEMEA..
JAMANI WANAJF WALE WANAOWAFAGILIA MAYAHUDI, JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI NI MAYAHUDI SIO WAKEISTO? N A JEE WANAJUA KUWA MAYAHUDI WAPO MBALI SANA NA UKRISTO? NA JEE WANAJUA KUWA ASILIMIA YA WAKEISTO ISRAEL NI HATA ASILIMIA MBILI HAWAJAFIKA? MAANA YAKE WAKEISTO HAWATAKIWI UYAHUDINI.
MSIWE MNASHABIKIA TUU NA WALA HAMJUI MNACHOSHABIKIA.
Toka Wafuga Midevu na Majini wavamie JamiiForums hali si nzuri wanasema uongo kwa kila kitu na kupotosha habari zote kuhusu Israel na ukijaribu kuwaelimisha wako tayari kukupiga kwa mawe na matusi juu!!!

Kinachokufanya ufanye umbea humu JF ni nini???? Chuki dhidi ya Wayahudi wewe umeanza lini??? Kwa kukusaidia tu hakuna chuki kwa Ukristo na Uyahudi!!!!
 
NENDA YOUTUBE UKAANGALIE KIASI GANI WAKRISTU WANAVYOISHI ISRAEL, NDIO UTAUJUA UKWELI ULIVYOO/
 
Mimi nachoshangaa ni kubishia hata maneno ya Mdhamini wa pambano (Trump)anawaambia wenzie wa NATO kuwa yake makombor yalikuwa ni hatari sana kwa Israel wewe upo hapa Nyatwali tunabisha,huu ubishi wa Simba na Yanga ni janga la Taifa
😁😁😁😁😁
 
Israel Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha.

Pia wanaulizana nani aliye toa amri ya kusimamisha vita, okay wanasema yote hayo tisa wametoka kwenye mashelter je Iran imevunjiwa Nuclear? Hapana mmepiga kweli mmerusha maboom mmeuwa macommander, scientists lakini Iran nuclear facilities bado zipo na nia zao bado zipo, pia Je Missiles zake zimevunjwa? Hapana sa Netanyahu anaongelea ushindi upi.

Kusimamisha vita kwa sasa ni hasara kwa Israel na ushindi mkubwa kwa Iran na marafiki zake kwenye dunia. Iran kwa sasa kisha amini wazi Israel hawezi kupigana vita nao, huyo Muisrael anasema siasa ya kusimamisha vita itatufanya tulipe thamani kubwa siku za mbele.

Nani aliye simamisha vita Israel au Israel imekuwa haina tena amri? Israel sio dhaifu lakini Netanyahu kaogopa kukosa support za nchi za Europe na USA mhhmm afu wanajikanyaga tena Wazira ya majeshi imepigwa, telecommunication imesambaratishwa, Airport imefungwa bila reason, tokea 1973 mara ya kwanza tunahisi Israel haina kiongozi. Aisay wamechangan'yikiwa kweli.

View: https://youtu.be/XMHTBLT5uhs?si=YZ8DMQETvl15C_1C

😁😁😁😁😁

Aibu kubwa sana kumbe na wao mambo ya kiwazidiaga Huwa wanazuia uhuru wa maoni

Mbona wanawatoa nje wabunge wao wanaompinga netanyahu
 
Back
Top Bottom