Israel isiichokoze Egypt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Israel isiichokoze Egypt

Discussion in 'International Forum' started by Ami, Aug 20, 2011.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Uhai wa Israel daima unatokana na kulindwa na US na kwa upande mwengine mikataba ya kidanganyifu kama ile ya Camp David iliyokuwa ikisimamiwa na Hosni Mubarak.
  Wakati sasa hakuna Hosni Mubarak si vizuri kufanya uchokozi kama ule wa jana ambapo askari wa Israel walivuka mpaka eneo la Sinai na kuuwa askari kadhaa wa Misri.
  Ndani ya Misri kuna watu wenye uchungu sana na Israel kuliko hata wapalestina ambao wana uwezo wa kupigana mpaka Tel Aviv kwa bunduki na hata kwa ngumi.
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mbona walishajaribu hao misri wakapata Kichapo ,unajua kichapo ww kichapo heavy.BEN GURION ALIPOSOMA TANGAZO ISRAEL IKO HURU BAADA YA MASAA MATATU KULIKUWA NA VITA NA WALITEMBEZA KICHAPO.kwa taarifa yako israel imejipanga kupigana na mataifa yote ya kiarabu kwa wakati mmoja ndio maandalizi yao kijeshi!
   
 3. ATUGLORY

  ATUGLORY Senior Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Israeli inao uwezo wa kuchokoza na kutandika waarabu wote at will, tatizo ni kwamba israel haina utashi wa kupigana na waarabu maana inajua vita ya aina hiyo haina faida lakini hao egypt wakileta mchezo wajiandae kwa kichapo ambacho hawatakisahau!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nyinyi mafalasha akili zenu kama za kuku kwa kusahau.Halafu mnapenda kujidanganya kwa maneno kama hayo.Hivi mumesahau vita ya 2006 kati ya HezboLlah na Israel.Tunazungumzia chama tu cha Hizbollah na sio nchi angalau moja.Ilibibi UN yao iingilie kati kuwaokoa Israel.
  Ikiwa mumepoteza kumbukumu someni mstari huu wa Wikipedia:
  The conflict started on 12 July 2006, and continued until a United Nations-brokered ceasefire went into effect in the morning on 14 August 2006, though it formally ended on 8 September 2006 when Israel lifted its naval blockade of Lebanon.
   
 5. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Kwani lazima Utukane watu
  Kwanini usijenge hoja na wewe,
  sasa ulitaka Israel wakae kimya ilihali wao ndio walioshambuliwa, wewe jipe moyo Hassan Nasralah aliwashinda Israel, unajua alipoteza wanamgambo wangapi, Hata mataifa yote ya waarabu wakiungana hawatawaweza Israel sio kwa kivita, na hata kwa uchumi, nyie jipeni moyo tu,

  Mkitaka amani wakubalini waisrael na muache chokochoko la sivyo mabomu yatawafuata mpaka vyumbani kwenu
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Vita vya nini? Wakae kwenye meza ya usuluhishi
   
 7. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Waarabu ni malofa.
  Historia ya 6 days Arab-Israel war itajirudia tena. Hiyo military ya Egypt yenyewe ni ya kutegemea misaada toka US kila mwaka na bila misaada haiwezi kuwa effective wala ku-survive.
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  mkuu punguza jazba kidogo
  ukweli wa mambo ni kwamba hata waarabu wakiungana wote hawawezi kuipiga israel,nyie waislam hamfikirii mbali na uwezo wenu wa kuelewa mambo ni mdogo sana
   
 9. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=1]Israel apologizes to Egypt for killing troops[/h][​IMG]By IAN DEITCH - Associated Press,MAGGIE MICHAEL - Associated Press | AP – 1 hr 45 mins ago
  [h=3]Related Content[/h]
  • [​IMG] Egyptians chant anti-Israeli slogans as they hold Egyptian and Palestinian flags …
  • [​IMG] Egyptians sit on a wall as they attend a protest against the deaths of Egyptian security …


  JERUSALEM (AP) — Israel apologized to Egypt Saturday for the deaths of three Egyptian soldiers during a cross-border clash with Palestinian militants, hours after Cairo threatened to withdraw its ambassador.
  Israel has blamed Palestinians from Gaza who came through Egypt's Sinai desert for killing eight Israelis after they crossed the border. The violence is testing Israel's landmark 1979 peace treaty with Egypt, already strained by the fall of longtime autocratic leader Hosni Mubarak.
  "Israel deeply regrets the deaths of the Egyptian officers," Israeli Defense Minister Ehud Barak said.
  The statement came after Egypt threatened to recall its ambassador to protest the killings of its soldiers. The Egyptian government put an announcement on its website overnight saying it had pulled the envoy, but later backtracked and said it was only considering the move.
  On Thursday, the militants who crossed from Egypt launched a series of attacks on cars and buses in Israel's south. Egypt says that the three soldiers were killed in an Israeli airstrike along the Israel-Sinai border in response to the attacks. Israel said there was an exchange of fire between its soldiers and "terrorists" on the Egyptian border following the deadly attacks.
  Egypt's interim government accused Israel of violating the peace treaty by killing the soldiers and demanded an apology.
  The deadly attacks and Israel's response have strained what was always a cold peace between the neighboring states. Egypt became the first Arab nation to make peace with Israel in 1979. And Israel valued Mubarak as a source of stability with shared interests in containing Iran and its radical Islamic proxies in the region — including the Hamas militants who run Gaza.
  The agreement called for Israel to return the captured Sinai to Egypt. In return, Egypt agreed to certain restrictions on the number of troops placed in Sinai.
  Several Egyptian political parties issued statements condemning the Israeli raid and calling for changes to the peace treaty, which regulates the number of Egyptian troops allowed in the Sinai Peninsula.
  "This crime should be dealt with in an appropriate way," said the Muslim Brotherhood, Egypt's best-organized political force. "What was possible before the revolution will not be allowed to continue after the revolution."
  Israeli officials insisted the peace treaty was "stable" despite the troubling developments.
  "No one had any intention to harm Egyptian security personnel," Amos Gilad, a senior Israeli Defense Ministry official who works closely with Egypt, told Israel Radio.
  The cross-border attack has raised concerns about the increasingly lawless northern Sinai, where porous borders with both Israel and the Hamas-ruled Gaza Strip make it an attractive staging ground for Palestinian militant attacks on Israel.
   
 10. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  That was an act of defence, therefore,Egpty should keep its mouth shut!
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Kabisa mkuu but hata wakimwita balozi wao baada ya muda watamrudisha tu!
   
 12. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha ushabiki, soma article vizuri ili uelewe vizuri.
   
 13. m

  mzee wa busara Senior Member

  #13
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Aliyeweka thread hii atakuwa hajui na hafwatilii kabisa historia na mambo yanavyokwenda duniani,na Hajui Israel ni Taifa la namna gani kiuchumi na nguvu ya kijeshi,kwanza ni uwendawazimu kufikiri Israeli inaweza kutishwa na taifa dhaifu kama Egypt,Hata Mataifa yoooote ya kiarabu yashaungana mala kadhaa ikiwemo hiyo Egypt na still walipigwa vibaya na Israel na Israel kupoka maeneo ya Waarabu na mpaka leo wanayakalia kimabavu,please keep in ur record kwamba hakuna Taifa lolote Duniani linaweza kupambana Israel kivita.Soma historia ndugu,Waarabu ni kelele tu vita hawawezi kabisa
   
 14. m

  mzee wa busara Senior Member

  #14
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha,mzee mbona unachekesha watu namna hiyo,Hivi unafahamu ni mala ngapi mataifa yoote ya kiarabu ikiwepo Egypt yameungana kupigana na Israel lkn mala zote wakapigwa vibaya na majeshi ya Israel?unafahamu kiini cha Maeneo mengi ya waarabu kakaliwa na Israel kimabavu?,kama hujui nenda kasome hata humu kwenye internet kuna maelezo mengi tu,hakuna nchi ya kiarabu inayoweza kuthubutu kuivamia Israel sababu vipigo walivyovipata bado wanavikumbuka,achana na hoja mfu za kusema bila Marekani hakuna Israel?
   
 15. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Israel bila ya USA si chochote wala lolote. Hitler alipowaua Wayahudi (Israel) mbona walishindwa kumpiga Hitler? Acha Ujinga wewe. Israel imeanza kupata nguvu baada ya Marekani kuanza kuisadia kila mwaka mabilioni ya pesa ktk jeshi. Nenda kasome ili ujue ukweli, acha rhetoric.
   
 16. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo vita ikianza Marekakani itasitisha kuisadia Israel na hivyo kupoteza nguvu? Mie siyo supporter wa Israel, lakini kibano watakachopata Egypt hawatakisahau. Cha maana Egypt wa reconstruct nchi yao baada ya kumwondoa dikteta Mubarak. After all Israel imeshaomba radhi, yanini ku instigate vita?
   
 17. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sipo ktk vita. Msaidizi mkubwa wa Israel ni Marekani, na sasa hivi maisha yao Israel yanaanza kuwa magumu, ndiyo maana uliona maandamano ya Inequalities kama wiki mbili zilizopita.

  Pili, weapon aliyokuwa nayo Egypt ni mkataba wa peace na Israel. Bila ya Egypt kufuata huo mkataba, Israel itakuwa inaishi kwa matatizo zaid pale MidEast. Ndiyo maana Marekani anatumia mabilion ya pesa kuwapa, Egypt, Jordan, nk. ili wawe na peace na Israel.

  Sasa bila ya Marekani hamna Israel.

  Jambo jengine, kama Egypt hawana urafiki mzuri na Israel, basi ujue maisha yao yatakuwa mashakani. 2006, Hizbullah waliweza kuwaua wanajeshi wengi sana wa Israel. Waarabu walioshindwa vita vya 1977, siyo Waarabu hawa.

  Twende kwenye diplomasia, ubabe wa Israel umeshaisha pale tu Mubarak alipoondolewa madarakani. Sasa hivi Israel hawana mshirika pale MidEast. Egypt anakwenda upande wa Iran zaidi, kitu kinachoifanya Israel kuanza kuwa soft sasa hivi. Kuna possible ya Palestina kujitangaza Taifa huru ktk kura zijazo.

  Ndiyo maana Obama aliwaambia Israel badilikeni au mtakuwa Isolate.
   
 18. HT

  HT JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  US song again?
   
 19. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hizo ni hisia zako butu,lakini wenyewe hawaamini hivyo.Wanajua habari za vita ya 6 days haiwezi kujirudia.Kipigo walichopata kutoka Hezbollah kimewatingisha.Hii kampeni inayoendelea Syria kutaka kumn'goa Bashar ni kutaka kulipiza kisasi na kuondosha nguvu ambayo pindi Israel ikiingia tena vitani wasipate aibu kama ile.
  Silaha pekee inayoweza kuwapa ushindi Israel ni nyuklia silaha ambazo mataifa yote walizonazo wanaogopa kuzitumia.Marekani ilikwenda kupiga Hiroshima lakini Israel itabidi wapige Syria na Egypt na Lebanon kwanza.Mto wenyewe wa maji ni mmoja hivyo madhara yake yatakuwa sawa kwao wenyewe.Hivyo silaha zilizobaki ni kama zile walizotumia 2006 zikashindwa na ambazo waarabu wote wanazo hata iwapo ni za kizamani ukilinganisha na za kwao bado hazichagui wa kumuua iwapo ni myahudi au mwarabu.
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Toka lini mwarabu akashinda vita na vita ipi mwarabu amewahi shinda ,wao ni kujilipua tu.
   
Loading...