The Quonquerer
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 777
- 111
Si muda si mrefu, Iran itakuwa Libya na maghreb states nyingine, we sikilizia tu! Yamepangwa hayo!
duh! Hivi muarabu mkristo akitaka kusema M/mungu kwa kiarabu atasemaje?Mimi nilifikiri kuna cha maana hapa, kumbe ni zile zile NJOZI za wafuasi wa Allah kiumbe. <br />
<br />
Kamwombeni allah wenu amsaidie Muhammar Qadafi kama ana huo uwezo.
We unadhani kuna vita iliyopiganwa waislamu wakashindwa kikweli!.Vita huwa vinakuwa virefu tu mpaka watu wanakufa hawajaona mwishowe.mkuu punguza jazba kidogo
ukweli wa mambo ni kwamba hata waarabu wakiungana wote hawawezi kuipiga israel,nyie waislam hamfikirii mbali na uwezo wenu wa kuelewa mambo ni mdogo sana