Kwani lazima Utukane watu

Kwanini usijenge hoja na wewe,

sasa ulitaka Israel wakae kimya ilihali wao ndio walioshambuliwa, wewe jipe moyo Hassan Nasralah aliwashinda Israel, unajua alipoteza wanamgambo wangapi, Hata mataifa yote ya waarabu wakiungana hawatawaweza Israel sio kwa kivita, na hata kwa uchumi, nyie jipeni moyo tu,

Mkitaka amani wakubalini waisrael na muache chokochoko la sivyo mabomu yatawafuata mpaka vyumbani kwenu

mkuu punguza jazba kidogo

ukweli wa mambo ni kwamba hata waarabu wakiungana wote hawawezi kuipiga israel,nyie waislam hamfikirii mbali na uwezo wenu wa kuelewa mambo ni mdogo sana

Israel bila ya USA si chochote wala lolote. Hitler alipowaua Wayahudi (Israel) mbona walishindwa kumpiga Hitler? Acha Ujinga wewe. Israel imeanza kupata nguvu baada ya Marekani kuanza kuisadia kila mwaka mabilioni ya pesa ktk jeshi. Nenda kasome ili ujue ukweli, acha rhetoric.
Hey mkuu usichanganye kati ya Israel na wayahudi, Israel ni taifa na tangu lianzishwe 1948 limefanya mambo makubwa. Bila ushabiki Waarabu hawawezi kupigana na israel maana nafikiri waarabu ndo watu wenye uwezo mdogo wa kubuni na kuvumbua mambo kwa sasa. Hitler hakupambana na Israel bali aliwaua wayahudi ambao walikuwa ni raia wa Ujerumani, Poland na baadhi kutoka Austria na Hungaria. Ni sawa na Rais wa TZ awaue wahindi wa hapa TZ halafu tuseme India imeshindwa kutupiga. Kuhusu misaada ya US hata nchi za kiarabu zinapewa lakini zimeshindwa kutumia vizuri misaada hiyo. Ukitaka kujua zaidi tafuta habari zaidi kuhusu kilichotokea mwaka 1970 wakati US ilipoiwekea vikwazo Israel kwa shinikizo la waarabu wakitishia kutoiuzia US mafuta kama haitaiwekea Israel vikwazo. Ujue kilichowatokea waarabu.Israel bila ya USA si chochote wala lolote. Hitler alipowaua Wayahudi (Israel) mbona walishindwa kumpiga Hitler? Acha Ujinga wewe. Israel imeanza kupata nguvu baada ya Marekani kuanza kuisadia kila mwaka mabilioni ya pesa ktk jeshi. Nenda kasome ili ujue ukweli, acha rhetoric.
Ndugu usijidanganye, Israel haitegemei hata kidogo uhusiano wake na misri na hata Jordan. Israel ilishaishi bila rafiki middle east kuanzia 1948 mpaka 1981 bila kutetereka. Na USA haitoi misaada kwa Misri ili kudumisha uhusiano wa misri na Israel bali ni kwaajili ya kuwaendesha vizuri waarabu kwa maslahi ya USA.Sipo ktk vita. Msaidizi mkubwa wa Israel ni Marekani, na sasa hivi maisha yao Israel yanaanza kuwa magumu, ndiyo maana uliona maandamano ya Inequalities kama wiki mbili zilizopita.
Pili, weapon aliyokuwa nayo Egypt ni mkataba wa peace na Israel. Bila ya Egypt kufuata huo mkataba, Israel itakuwa inaishi kwa matatizo zaid pale MidEast. Ndiyo maana Marekani anatumia mabilion ya pesa kuwapa, Egypt, Jordan, nk. ili wawe na peace na Israel.
Sasa bila ya Marekani hamna Israel.
Jambo jengine, kama Egypt hawana urafiki mzuri na Israel, basi ujue maisha yao yatakuwa mashakani. 2006, Hizbullah waliweza kuwaua wanajeshi wengi sana wa Israel. Waarabu walioshindwa vita vya 1977, siyo Waarabu hawa.
Twende kwenye diplomasia, ubabe wa Israel umeshaisha pale tu Mubarak alipoondolewa madarakani. Sasa hivi Israel hawana mshirika pale MidEast. Egypt anakwenda upande wa Iran zaidi, kitu kinachoifanya Israel kuanza kuwa soft sasa hivi. Kuna possible ya Palestina kujitangaza Taifa huru ktk kura zijazo.
Ndiyo maana Obama aliwaambia Israel badilikeni au mtakuwa Isolate.
Ndugu usijidanganye, Israel haitegemei hata kidogo uhusiano wake na misri na hata Jordan. Israel ilishaishi bila rafiki middle east kuanzia 1948 mpaka 1981 bila kutetereka. Na USA haitoi misaada kwa Misri ili kudumisha uhusiano wa misri na Israel bali ni kwaajili ya kuwaendesha vizuri waarabu kwa maslahi ya USA.

Uhai wa Israel daima unatokana na kulindwa na US na kwa upande mwengine mikataba ya kidanganyifu kama ile ya Camp David iliyokuwa ikisimamiwa na Hosni Mubarak.

Wakati sasa hakuna Hosni Mubarak si vizuri kufanya uchokozi kama ule wa jana ambapo askari wa Israel walivuka mpaka eneo la Sinai na kuuwa askari kadhaa wa Misri.

Ndani ya Misri kuna watu wenye uchungu sana na Israel kuliko hata wapalestina ambao wana uwezo wa kupigana mpaka Tel Aviv kwa bunduki na hata kwa ngumi.

Israel bila ya USA si chochote wala lolote. Hitler alipowaua Wayahudi (Israel) mbona walishindwa kumpiga Hitler? Acha Ujinga wewe. Israel imeanza kupata nguvu baada ya Marekani kuanza kuisadia kila mwaka mabilioni ya pesa ktk jeshi. Nenda kasome ili ujue ukweli, acha rhetoric.

Viva Palestine, Viva Egypt, Viva Arab contries, Viva Lebanon. Viva Hitler. Wapeni kichapo hao wana kondoo. Wakati wao umewadia. Maliza Israel, Safisha Israel. Waarabu wa 70§ sio tena waarabu wa karne ya 21. Israel kwisha. Tusubiri kichapo watakachopata kutoka kila kona ya Israel.

UMEONGEA KWA HASIRA SANA MKUU NADHAN UMESAHAU HISTORIA YA HAWA ISRAELI,KWANZA NIKUPASHE KIDOGO, ISRAELI YA 70s SIO TENA YA 2011,PIA ISRAEL HUTENGENEZA 99%YA SILAHA ZAKE KASORO NDEGE ZA F16 NA F 22 RAPTORS NDIO HUAGIZA MAREKANI! ISRAELI INA SILAHA ZA NYUKLIA NA SILAHA ZA ATOMIC INAKADIRIWA NI MOST "SOFISTICATED" DUNIAN ZINAKADIRIWA KUFIKIA MABOMU 600 SO FAR,WANA ULINZI WA ANGA AMBAO HAUPITIKI NA WENYE NDEGE 100 ZILIZO KTK UTAYARI WA KURUKA 24/7! WANA JESHI DOGO LA VIJANA LILILOFUNDISHWA KUPIGANA NA SIO KUFANYA MAGWARIDE NA PAREDI UWANJANI KAMA YA WAARABU!
Upande wa waarabu upo hv,
HUTENGENEZA SILAHA ZAO WENYEWE KWA 1% WKT 99% HUAGIZA NJE HASA,KOREA,URUSI NA MAREKANI KWAHIYO UKITAKA SIRI ZA VIFAA VYAO NENDA WANAKO NUNUA!,WAARABU HAWANA UMOJA NA HAWAJUI KUPIGANA KWA TACKTICS WAO HUPIGANA KAMA ASKARI WA MAJIMAJI,WAARABU HUWAZA SANA KUSHEHEREKEA,KUSALI,KUPUNGA BENDERA NA KUIMBAIMBA WKT WA MAPIGANO! WAARABU HAWANA INTELLIGENCE SYSTEM IMARA KAMA YA ISRAELI!
Walishawah pigwa kwa siku 6 mataifa 5!
WAARABU WENGI NI WAISLAM KWAHIVYO WALILAANIWA NA HAWANA AKILI SIKU ZOTE!
Nyinyi mafalasha akili zenu kama za kuku kwa kusahau.Halafu mnapenda kujidanganya kwa maneno kama hayo.Hivi mumesahau vita ya 2006 kati ya HezboLlah na Israel.Tunazungumzia chama tu cha Hizbollah na sio nchi angalau moja.Ilibibi UN yao iingilie kati kuwaokoa Israel.
Ikiwa mumepoteza kumbukumu someni mstari huu wa Wikipedia:
The conflict started on 12 July 2006, and continued until a United Nations-brokered ceasefire went into effect in the morning on 14 August 2006, though it formally ended on 8 September 2006 when Israel lifted its naval blockade of Lebanon.
Israel bila ya USA si chochote wala lolote. Hitler alipowaua Wayahudi (Israel) mbona walishindwa kumpiga Hitler? Acha Ujinga wewe. Israel imeanza kupata nguvu baada ya Marekani kuanza kuisadia kila mwaka mabilioni ya pesa ktk jeshi. Nenda kasome ili ujue ukweli, acha rhetoric.

umemueleza vyema,naona anakurupuka tu bila kujua mambo yalivyo