Sasa kwanini waangaike na kuwasaka wana sayansi wa Iran Wakati vinu vya Nyukilia vinajulika vilipo ?Iran anapigwa kila siku kwake kwa kuuliwa wanasayansi wake na wanamjua mbaya wao na wanaishia kulaani ila hawawahi kulipa kisasi
Hapo umeelewa? Wanajua hammudu Israel
Kisheria hawezi kumpiga maana hakuna ushahidi unaoonyesha dhahiri ni Israel ndio muhusika? Inatakiwa Israel amvamie au amuuwe mwana sayansi wa Iran kila mtu akuwe ni wao au ashambulie Iran moja kwa moja kutokea Israel ndio tutakuwa na Neno iyo ya kuviziana hauhalalishi Iran kuchukuwa hatuwa zozote!Iran anapigwa kila siku kwake kwa kuuliwa wanasayansi wake na wanamjua mbaya wao na wanaishia kulaani ila hawawahi kulipa kisasi
Hapo umeelewa? Wanajua hammudu Israel
We jamaa acha kuchekesha jukwaa.Sikia unajua idadi ya wanasayansi wa Iran waliouliwa na Mossad ndani na nje ya Iran?? Sa unadhani nini kinashindikana??
Iran mwenyewe analalamika kuwa Israel inaua wataalam wake, na majuzi Iran katoa ripoti rasmi kuishutumu Mossad kuwa wamemuua wao (Fakrizadah). Sasa wewe upo Tz unawabishia wahusika?We jamaa acha kuchekesha jukwaa.
Ushahidi uko wapi kama mossad ndo wamehusika??
Kama wanaweza wafanye shambulizi direct kama vile wanavyoshambulia Syria sasa waingize ndege zao washambulie iran, alafu uone sasa nani ana muogopa mwenzie.
Watu wanajipanga kwanza Israel vita zake huwa za kimkakati yaani unashambuliwa ghafla ukistuka ishaisha hioI'm
Ndio maana nimekuambia vita si lele mama ndio maana wameshia kuongea tu miaka na miaka bila kufanya chochote.
Wazo lilikuwa kuchelewesha mchakato lakini stage inayofuata ni kuvilipua tuSasa kwanini waangaike na kuwasaka wana sayansi wa Iran Wakati vinu vya Nyukilia vinajulika vilipo ?
Mbona kila mwanasayansi akiuawa Iran inaishia kuilaani Israel?Kisheria hawezi kumpiga maana hakuna ushahidi unaoonyesha dhahiri ni Israel ndio muhusika? Inatakiwa Israel amvamie au amuuwe mwana sayansi wa Iran kila mtu akuwe ni wao au ashambulie Iran moja kwa moja kutokea Israel ndio tutakuwa na Neno iyo ya kuviziana hauhalalishi Iran kuchukuwa hatuwa zozote!
Mbona kila wakiuliwa viongozi wa Iran wao wenyewe wanainyooshea kidole Israel?We jamaa acha kuchekesha jukwaa.
Ushahidi uko wapi kama mossad ndo wamehusika??
Kama wanaweza wafanye shambulizi direct kama vile wanavyoshambulia Syria sasa waingize ndege zao washambulie iran, alafu uone sasa nani ana muogopa mwenzie.
Mkuu ya mambo magumu sana kuhisi tu hakumfanyi aweze kushambulia!!Mbona kila mwanasayansi akiuawa Iran inaishia kuilaani Israel?
Kwahyo kwakuwa wapo ndanj ya Israel ndio sheria za kimataifa hazimzuii kuwashambulia acha kutetea uovu sababu anafanya Israel ukweli ni kuwa kupambana na Hezbollah ni shughuli kubwa ndio maana yy anashambulia wanyongeKumbuka Hezbollah wako Lebanon ,nchi nyingine ,wapalestina wapo ndani ya maeneo yaliyoko ndani ya Israel.Sheria za kimataifa zina linda uhuru wa nchi na mamlaka ya kudhibiti eneo inalolitawala.
Hayo ya zamani, wakati waarabu akili zao hazijawakaa sawa - kumbuka Wahajemi hawana akili za kijinga kama Waarabu - Isreal inalijuwa sana hilo, ndio maana hatasiku moja hawawezi kuthubutu kushambulia Taifa la Iran moja kwa moja - wanawatumia Wahajemi wenye asili ya Uyahudi katika overt and covert operation ndani ya Iran,Israel kama Israel haina ubavu wa kuishambulia Iran mija kwa moja bila ya kusaidiwa kijeshi na Amerika - ndio maana Israel notably Natenyahu ana kawaida ya kutunga adithi zenye lengo la kuikasirisha Amerika ili ifanye mashambulizi ya moja kwa moja na Iran - uzuri wa USA Adninistration walisha usoma mchezo mzima wa Serikali/Jeshi la Israel hivyo ma Jenerali wa jeshi la Amerika hawawezi kujingiza kichwa kichwa kuishambulia Iran on behalf of Israel - kama Israel itategemea kutumia mbinu tajwa hapo juu, basi, itasubiri sana.Watu wanajipanga kwanza Israel vita zake huwa za kimkakati yaani unashambuliwa ghafla ukistuka ishaisha hio
Waarabu hadi leo hawana akili so is "Waajemi"Hayo ya zamani, wakati waarabu akili zao hazijawakaa sawa - kumbuka Wahajemi hawana akili za kijinga kama Waarabu - Isreal inalijuwa sana hilo, ndio maana hatasiku moja hawawezi kuthubutu kushambulia Taifa la Iran moja kwa moja - wanawatumia Wahajemi wenye asili ya Uyahudi katika overt and covert operation ndani ya Iran,Israel kama Israel haina ubavu wa kuishambulia Iran mija kwa moja bila ya kusaidiwa kijeshi na Amerika - ndio maana Israel notably Natenyahu ana kawaida ya kutunga adithi zenye lengo la kuikasirisha Amerika ili ifanye mashambulizi ya moja kwa moja na Iran - uzuri wa USA Adninistration walisha usoma mchezo mzima wa Serikali/Jeshi la Israel hivyo ma Jenerali wa jeshi la Amerika hawawezi kujingiza kichwa kichwa kuishambulia Iran on behalf of Israel - kama Israel itategemea kutumia mbinu tajwa hapo juu, basi, itasubiri sana.