Israel is updating attack plans against Iran's nuclear sites - Gantz

Israel is updating attack plans against Iran's nuclear sites - Gantz

Kumbuka hawa jamaa wana nukes si vita inakuwa.fupi kuliko maelezo.

Wakiona.wanasumbulia kinatua kitu.kimoja tu watu wanapangusa makalio wanarudi home.

Na hii kitu hutasikia allies atakayethubutu kuungana na Iran
Ikiwa hao mabwana zake wana nukes mpaka wanaumwa lkn mambo walipoona ni magumu kule Vietnam wakarud hom yey hana ubavu wa kuyatumia
 
Hao mashoga wanajisumbua bure tu. Hezbollah wameishindwa ndo wataiweza iran??

Kwanza ile meli yao iliyopigwa juzi washalipa kisasi??

Na Pwani yao imechafuliwa na mafuta hadi samaki wanakufa wanaelea tu, yaani kisasi cha Waajemi hua akiishi wataelewa tu hawa yahudi uchwara..
 
Israel hawez ogopa hizibollah,kunachofanyika ni kuheshimu sheria na mkataba wa umoja wa maraifa.Hii inaenda kiakili Sana ,hawa wengine wanakuruouka tu ndo maana
Hizo sheria na mikataba ya kimataifa Israel anaifuata kwa Hezbollah tu lakini kwa wa Palestine hata wakirusha jiwe mvua ya makombora inashuka
 
Hizo sheria na mikataba ya kimataifa Israel anaifuata kwa Hezbollah tu lakini kwa wa Palestine hata wakirusha jiwe mvua ya makombora inashuka
Kumbuka Hezbollah wako Lebanon ,nchi nyingine ,wapalestina wapo ndani ya maeneo yaliyoko ndani ya Israel.Sheria za kimataifa zina linda uhuru wa nchi na mamlaka ya kudhibiti eneo inalolitawala.
 
Kwahio unaendelea kuota au, mm nataka hio siku ktk kurusha kikombora chao kije kitue pale bahari ya Iran ilioko mkabala na Oman ata kwa bahati mbaya, ndio utawajua waajemi si watuwazuri, kama Hizbullah ule mziki wa 2016 viongozi wa Israel walikiuzulu mara hii Hio Israeli itakua historia kama vitabu vilivyoahidi
Mkuu panakucha
 
Ikiwa hao mabwana zake wana nukes mpaka wanaumwa lkn mambo walipoona ni magumu kule Vietnam wakarud hom yey hana ubavu wa kuyatumia
Nakuambia Iran anajua huo mziki na saivi atatulia na Hezbollah wao
 
Tuombe umri tu mkuu hapo Iran hawawezi ishambulia ilishaota mapembe
Iran anapigwa kila siku kwake kwa kuuliwa wanasayansi wake na wanamjua mbaya wao na wanaishia kulaani ila hawawahi kulipa kisasi


Hapo umeelewa? Wanajua hammudu Israel
 
Hao mashoga wanajisumbua bure tu. Hezbollah wameishindwa ndo wataiweza iran??

Kwanza ile meli yao iliyopigwa juzi washalipa kisasi??

Na Pwani yao imechafuliwa na mafuta hadi samaki wanakufa wanaelea tu, yaani kisasi cha Waajemi hua akiishi wataelewa tu hawa yahudi uchwara..
Sikia unajua idadi ya wanasayansi wa Iran waliouliwa na Mossad ndani na nje ya Iran?? Sa unadhani nini kinashindikana??
 
Back
Top Bottom