Israel inakaribia kuanguka

Israel inakaribia kuanguka

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,108
Reaction score
2,438
Israel inapitia kipindi wasichokitarajia baada ya kuwaua zaidi ya maafisa 40 wa juu wa serikali ya Iran mwishoni mwa Februari 2026. Wakajutarajia irani kuanguka ,lakini utawala huo umeendelea ku survive

Lakini saiz hatari imegeuka upande wao, Israel inapata mashambulizi makubwa na hasara ya miundombinu na morali ya wanajeshi iko chini. Hari ya usalama imepungua pia , Raia wengi wanaondoka inchin kukimbia vita, Mayor wa Israel anasema kwa kulalamika " tunashambuliwa... Tunaishi kwenye mahandaki siku nyingi ,kwanini saizi Sisi ndio tunateseka " pia kuna hasara kubwa ya vifaa vya kijeshi kusini mwa Lebanon, na uhaba wa askari wapya wa kuchukua nafasi.

Time of Israel imeripoti kuwa afisa wa jeshi ameonya kuwa jeshi linakaribia kuingia kwenye hatari ya kuanguka na wasiwasi umeibuka upya kuhusu uhai wa netanyahu,inasemekana huenda ni kweli netanyahu amefariki kweli
20260328_154734.jpg

Habari Kubwa zaidi kwa sasa ni BIBI FILES kumhusu netanyahu akifanyiwa interrogation na police kuhusu kashfa ya corruption na tuhuma za ufadhili wa kifedha unaodaiwa kufikia zaidi ya dola bilioni 1 kwenda kwa kundi la Hamas, kupitia Qatar, ambapo kiasi cha takriban dola milioni 35 kwa mwezi zilikuwa zikikitolewa.

View: https://x.com/i/status/2037699139685814299

Yote kwa yote tunamshikuru netanyahu for his big favour ,He led to the demise of Israel, the liberation of the Palestinians, and the defeat of the West. Credit must be given where its due.
 
View attachment 3563737

UNAELEWA MAANA YA NYUKLIA?
 
Hivi Vita haikuwa prepared in advance
Dulu nyingine zinasema. Israel ilipanga hii vita ilijuwa kuwa Iran itazuia mafuta kupitia Strait Hormuz. Hivyo, Israel itakuwa na kigezo cha kuzishawishi, nchi za Kiarabu watengeneze mfereji kama wa SUEZ ambao utapita nchini Israel na Israel atakuwa na uwezo wa kutoza ushuru meli zitakazopita hapo.

Lengo sikuwa Israel akitoka Iran atawavaa Turkey bali atahamia Misri ili amnyanganye kale kakipande ka Sinai na mfereji wa SUEZ.

Mambo ni mengi muda ni mchache.
 
Israel inapitia kipindi wasichokitarajia baada ya kuwaua zaidi ya maafisa 40 wa juu wa serikali ya Iran mwishoni mwa Februari 2026. Wakajutarajia irani kuanguka ,lakini utawala huo umeendelea ku survive

Lakini saiz hatari imegeuka upande wao, Israel inapata mashambulizi makubwa na hasara ya miundombinu na morali ya wanajeshi iko chini. Hari ya usalama imepungua pia , Raia wengi wanaondoka inchin kukimbia vita, Mayor wa Israel anasema kwa kulalamika " tunashambuliwa... Tunaishi kwenye mahandaki siku nyingi ,kwanini saizi Sisi ndio tunateseka " pia kuna hasara kubwa ya vifaa vya kijeshi kusini mwa Lebanon, na uhaba wa askari wapya wa kuchukua nafasi.

Time of Israel imeripoti kuwa afisa wa jeshi ameonya kuwa jeshi linakaribia kuingia kwenye hatari ya kuanguka na wasiwasi umeibuka upya kuhusu uhai wa netanyahu,inasemekana huenda ni kweli netanyahu amefariki kweli
View attachment 3563737

Habari Kubwa zaidi kwa sasa ni BIBI FILES kumhusu netanyahu akifanyiwa interrogation na police kuhusu kashfa ya corruption na tuhuma za ufadhili wa kifedha unaodaiwa kufikia zaidi ya dola bilioni 1 kwenda kwa kundi la Hamas, kupitia Qatar, ambapo kiasi cha takriban dola milioni 35 kwa mwezi zilikuwa zikikitolewa.

View: https://x.com/i/status/2037699139685814299

Yote kwa yote tunamshikuru netanyahu for his big favour ,He led to the demise of Israel, the liberation of the Palestinians, and the defeat of the West. Credit must be given where its due.

Hii vita nafurahia vitu viwili tu, marekani anavodharilika na dunia inavojitoa kwenye matumizi ya dola ya kimalekani, ndo alichokua anasema Prof. P Lumumba kila siku. kwamba inatakiwa dunia tufanye dedollarisation. Meli zenye mafuta pale Hormuz zinapita kwa yuan ya china..
 
News from masjid ubwabwa Vingunguti.

Unajua Wairan zaidi ya milioni 3 wamekimbia makazi yao na hiyo ni kwa mujibu wa serikali yao yenyewe na viongozi wao wasio na idadi wamekufa akiwemo aliyekuwa kiongozi wao mkuu halafu wewe unaokoteza habari feki toka masjid ubwabwa na kuleta humu. Bure kabisa.
Msingi wa hii hoja ni counter attack to Israel ambao wamelalamika UN kwamba Iran anapiga makazi ya civilians hivyo kuitaka international community kuingilia kati vita.

Iran naye ndo kujibu huyo Israel ndio anayepiga civilians na kutaja hiyo namba. Tena akaenda mbali zaidi kwa kutolea mfano jinsi alivoua maelfu kule Gaza.

So ni propaganda za kukuza mambo Ili to put a blame on the other side. War propaganda.
 
Back
Top Bottom