wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,408
- 2,461
THey thought Iran is like Libya,Iraq etc
View: https://youtube.com/shorts/JIKh8-ggph8?si=l8GzJyn-lmWI6Q7f
THey thought Iran is like Libya,Iraq etc
Yes, naunga mkono hoja yako, tokea vita ianze masuala ya Epstein files na wahusika waliotajwa ni kama vile vimekosa mvuto, vita ya Iran ndo hot topicNi vile Epstain files zilikuwa zinaenda Kumuumbua mzee Trump akaona ahamishie story kwenye vita ambayo ime back fire
Na walifikiri kumuua Ali Khamenei kungemaliza vita na wangemueka kibaraka wao kuitawala Iran kwa maslahi yao lakini imeenda tofauti na matarajio leo ni mwezi sasa katika vita ambayo trump aliaminisha dunia vitakuwa vya siku chache ambazo hazitazidi wiki mbiliTHey thought Iran is like Libya,Iraq etc
Israel inapitia kipindi wasichokitarajia baada ya kuwaua zaidi ya maafisa 40 wa juu wa serikali ya Iran mwishoni mwa Februari 2026. Wakajutarajia irani kuanguka ,lakini utawala huo umeendelea ku survive
Lakini saiz hatari imegeuka upande wao, Israel inapata mashambulizi makubwa na hasara ya miundombinu na morali ya wanajeshi iko chini. Hari ya usalama imepungua pia , Raia wengi wanaondoka inchin kukimbia vita, Mayor wa Israel anasema kwa kulalamika " tunashambuliwa... Tunaishi kwenye mahandaki siku nyingi ,kwanini saizi Sisi ndio tunateseka " pia kuna hasara kubwa ya vifaa vya kijeshi kusini mwa Lebanon, na uhaba wa askari wapya wa kuchukua nafasi.
Time of Israel imeripoti kuwa afisa wa jeshi ameonya kuwa jeshi linakaribia kuingia kwenye hatari ya kuanguka na wasiwasi umeibuka upya kuhusu uhai wa netanyahu,inasemekana huenda ni kweli netanyahu amefariki kweli
View attachment 3563737
Habari Kubwa zaidi kwa sasa ni BIBI FILES kumhusu netanyahu akifanyiwa interrogation na police kuhusu kashfa ya corruption na tuhuma za ufadhili wa kifedha unaodaiwa kufikia zaidi ya dola bilioni 1 kwenda kwa kundi la Hamas, kupitia Qatar, ambapo kiasi cha takriban dola milioni 35 kwa mwezi zilikuwa zikikitolewa.
View: https://x.com/i/status/2037699139685814299
Yote kwa yote tunamshikuru netanyahu for his big favour ,He led to the demise of Israel, the liberation of the Palestinians, and the defeat of the West. Credit must be given where its due.
Ngoja wanyooshane kidogo.
Hilo neno mwambie kiongozi wa Israel aliyesema jeshi linaelekea kuanguka.Unaota mchana kweupe!
Hilo neno mwambie kiongozi wa Israel aliyesema jeshi linaelekea kuanguka.
Waswahili bana mna ubishi wa kifala.
Hakuna kiongozi wa jeshi la Israel aliyetamka kuwa jeshi la Israel linaelekea kuanguka.
Jeshi linalokaribia inawezekana vipi liendelee kuongeza mashambulzi dhidi ya Iran?
Marekani imesema kuwa inasimamisha mashambulio dhidi ya energy facilities, lakini Israel ikiwa pekee yame tayari imeanza kushambulia enwrgy projects na viwanda vya Iran.
Vita ni mbaya, kila siku watu wanapoteza uhai. Lakini haisaidii chochote kusema kuwa eti Israel inaanguka wakati uhalisia ni kuwa wanaokufa kila siku kwa idadi kubwa ni Wairan na Walebanon. Mpaka sasa, wakati Marekani inataka vita isimame, Israel haitaki, inadai bado haijakamilisha lengo la vita.
Hakuna kiongozi wa jeshi la Israel aliyetamka kuwa jeshi la Israel linaelekea kuanguka.
Jeshi linalokaribia inawezekana vipi liendelee kuongeza mashambulzi dhidi ya Iran?
Marekani imesema kuwa inasimamisha mashambulio dhidi ya energy facilities, lakini Israel ikiwa pekee yame tayari imeanza kushambulia enwrgy projects na viwanda vya Iran.
Vita ni mbaya, kila siku watu wanapoteza uhai. Lakini haisaidii chochote kusema kuwa eti Israel inaanguka wakati uhalisia ni kuwa wanaokufa kila siku kwa idadi kubwa ni Wairan na Walebanon. Mpaka sasa, wakati Marekani inataka vita isimame, Israel haitaki, inadai bado haijakamilisha lengo la vita.
Nilisema mapewa. Hawa jamaa hawafai, na wafuatiliaji wa mambo tulihisi hawa jamaa wana nukes, cheki hapo chiniSema wa IRAN bhana nimewakubali.
Kupambana na 2 super power sio kitu Rahisi.
At ukachukua Jina Khaibar kuendeleza ndoto za shetani wenu allah kuua wayahudi! Ilikuwa zama hizo. Sasa hivi mtadundwa nyinyi na shetani wenu wala hatafurukuta kuwatetea. Iran ndo huyo anaondoka, kule Saudia Mwana Mfalme Mohamed Bin Salmin ndo huyo kesha usitukia Uislamu. Mdogo mdogo anaachilia watu wajirushe. Ulaya Magharibi mlikokuwa mnakimbilia ndo mmenyea Kambi. Sasa hivi wenyewe, Nationalists wanazitaka nchi zao from the Leftist Governments za akina Keir Starmer, Emmanuel Macron, Pedro Sanchez, Mark Carney and Anthony Albanese.Hilo neno mwambie kiongozi wa Israel aliyesema jeshi linaelekea kuanguka.
Waswahili bana mna ubishi wa kifala.
Utopolo wako wa kuhusisha dini mimi humo simo.At ukachukua Jina Khaibar kuendeleza ndoto za shetani wenu allah kuua wayahudi! Ilikuwa zama hizo. Sasa hivi mtadundwa nyinyi na shetani wenu wala hatafurukuta kuwatetea. Iran ndo huyo anaondoka, kule Saudia Mwana Mfalme Mohamed Bin Salmin ndo huyo kesha usitukia Uislamu. Mdogo mdogo anaachilia watu wajirushe. Ulaya Magharibi mlikokuwa mnakimbilia ndo mmenyea Kambi. Sasa hivi wenyewe, Nationalists wanazitaka nchi zao from the Leftist Governments za akina Keir Starmer, Emmanuel Macron, Pedro Sanchez, Mark Carney and Anthony Albanese.
Mtapigwa marufuku siku si nyingi
Na limeshaanza kutokea,hivi tunavyoongea Hizbollah wapo ndani ya ISRAEL KASKAZINI,washavamia miji ya Kiryat Shmona na Metula. Hayo maeneo raia wameondolewa kiusalama.