Hakuna kitu hapo... Westerns wanacho fanya kwasasa ni kujaribu kuongeza tension between this two countries. Na hii ni indirect strengthening of military power of IRAN.
1. As Iran become powerful enough, ISRAEL IS TO ATTACH PALESTINE(this will occur when PALESTINE become a complete state).
2. Since Iran has great military power,it will simultaneously start helping their brothers there in PALESTINE.
THERE AFTER,..... WHAT ARE YOU expecting???. WORLD WAR 3.
Ki ujumla hakuna vita yoyote inayoweza kutokea kwasasa mpaka pale PALESTINE atakapo kua TAIFA HURU. PLANNED.
Mtoa mada hebu lete source ya habari yako
pili wakati Iran inatangaza kuifuta Israel katika ramani ya Dunia walikuwa wapi kuipinga??? Hao wana chembechembe za Hitler na wana siasa za Chuki dhidi ya Israel.Acha Iran ipate haki yake.

.............wakati Iran inatangaza kuifuta Israel katika ramani ya Dunia walikuwa wapi kuipinga??? Hao wana chembechembe za Hitler na wana siasa za Chuki dhidi ya Israel......
Waisrael wanapatikana wapi hapa dar?nataka nianze nao mimi kuwashikisha adabu wanawaua sana watoto wa palestina
Watakuwa wanamakandokando ya Hitler. Iran lazima ichezee kichapo