Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
kwa mujibu wa jarida moja marekani silikumbuki vizuri pia other media from Iran ni kuwa Iran ndio nchi yenye waisrael wengi arabuni wapo 24,000 lakini cha kushangaza haina ugomvi nao tena wana ma hekalu yao ya kusali. ..wakati huo huo yenyewe ndo imekuwa ikitaka kuifuta israel kwenye uso wa dunia kwanini isianze na wale waliopo nchini mwake kama anaubavu,..!
Ingekuwa poa tu. Jew, Marytina na wale wanaoona waisraeli kama wateule wa mungu tungefurahi sana.By the way inasemekama kwamba kabla ya kuanzishwa Israel huko Palestine, kulikuwa na wazo la kuianzisha East Africa?
Hivi wangemega kipande cha Tanzania kuanzisha Israel hali ingekuwaje?
Hawa 24000 unaowasema sio waisrael, ni wairan wayahadi. Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa muyahudi na kuwa muisrael, kwa hiyo hawa jamaa ni wairan kama ambavyo usingewaita wamarekani weusi waafrika kwa sababu tu ya uweusi wao. Tatizo la Iran na Israel sio racial, ni national... wairan hawaamini kwamba Israel ni taifa, wanaamini ni kiotesho cha ukoloni wa marekani na uingereza mashariki ya kati. Kama inavyojulikana kabla ya mwaka 1948 hapakuwa na taifa linatitwa israel, limeanzisha kwa resolution ya UN 1948. Kwa hiyo Israel ilitengenezwa NYC ikabandikwa kwenye ardhi ya Palestine iliyokuwa koloni la Uingereza. Kama mnavyojua wakoloni wa kiingereza walijaribu hata Afrika kule Zimbabwe kubandika wajukuu zao wakina Ian Smith ambao baadaye tukawang'oa kwa msaada wa marafiki kama Cuba na baadaye Marekani baada ya supporters wao SA kuanza mipango ya nyuklia na bwana mkubwa kuwageuka.kwa mujibu wa jarida moja marekani silikumbuki vizuri pia other media from Iran ni kuwa Iran ndio nchi yenye waisrael wengi arabuni wapo 24,000 lakini cha kushangaza haina ugomvi nao tena wana ma hekalu yao ya kusali. ..wakati huo huo yenyewe ndo imekuwa ikitaka kuifuta israel kwenye uso wa dunia kwanini isianze na wale waliopo nchini mwake kama anaubavu,..!
inaitamani genes (hereditary materials) za waisrael
Naskia muisrael akizaa na muiran mtoto hulelewa na serikali
Mzee Richard, shukrani kwa assessment yako kuhusu huu mgogoro, lakini nadhani ka-research ka kina kangesherehesha mambo. Binafsi nadhani kwamba Israel hawana uwezo wa kuishambulia Iran peke yao bila kupata okey na msaada wa U.S.A, kwani endapo mambo yataenda kombo, basi ajue kwamba atapata support.
Pili, U.S.A inayotoa dola Bilion 3 kila mwaka kwa ajili ya ulinzi wa Israel ndio kwanza wanajitahidi kuondoka Iraq, hivyo basi haingii akilini kwenda kuanzisha bala lingine na nchi ambayo ni mara mbili ya ukubwa wa Iraq,na population pia mara mbili ya Iraq kabla hata nusu ya wanajeshi wake hawajaondoka Iraq.
Hapa hatujaenda kwenye suala uchumi wa U.S.A ambao ndio kwanza unaanza kutoka ICU na hivyo basi, kuingia kwenye mgogoro mwingine, tena mkubwa zaidi ya ule wa Iraq ni suala ambalo sidhani kama linawezekana. Kwa kifupi ni kwamba hili suala la Israel kuishambulia Iran bado ni la kufikirika.
Mie nashangaa watu wanavyoshobokea hawa wayahudi, kule Israel wakristo wana nyanyaswa sana na hutozwa kodi kubwa hata wakijenga nyumba za ibada (makanisa)..SOURCE: CHRISTIAN CHURCHES OF COMPLAINTS AGAINST ISRAELI NEW TAXES | AZG Daily
Angalieni hapa muone vile wakristo wanavyobaguliwa huko Israel: Christians Discriminated Against by Israel
... AND of course it shouldn't do the striking!!!
Ingekuwa poa tu. Jew, Marytina na wale wanaoona waisraeli kama wateule wa mungu tungefurahi sana.
Na sisi miafrika ya upande huu tungepata genes za kiyahudi kama alivyodokeza marytina.
It will be good for you and all jews. lolIt is inevitable that this will happen... When it does, this will be the WW3... Trust me this will not be good for anyone anywhere...
It will be good for you and all jews. lol
NWO is being implemented with some success but..........people are realising that they have been lied by their gvts.
MkuuLet's suspose this isn't a bluff......now why hasn't the UN called an emergency session to head off potential for the next world war?
of course-this can bring bad effects on israel-as hezbolah,hamas and other beneficiaries of Iranian supports wont keep quite-they will retaliate on behalf of their master,nevertheless iran wont let it to be such simple-however for Israeli-nothing is impossible
Let Israel arise, let Israel enemies be scattered: