Tatizo kubwa hawa ni kuendelea kuitawala dunia na sababu kubwa hawataki Iran kuwa na Nuklia ni suala la Technology zaidi na sio silaha za nuklia ingawaje akitengeneza atakuwa na nguvu zaidi.Kuitawala dunia ni lazima kwanza uchumi uwe mzuri na hawa sasa hivi wameanguka vibaya na hizi vita wanazozua ni za kiuchumi zaidi wala hakuna sababu nyengine.Na kuanza vita inabidi wazue sababu na hawaoni tabu hata kubomoa ndege au meli na hata majumba ili waseme magaidi.
Drones hata Iran anazitengeneza anazo tena za kileo na amewapa technology Venezuela na wameshirikiana kutengeneza na zimefanikiwa vizuri.Na hiyo ni moja ya wamagharibi wanachokasirika kwa Iran kuwa na technology ambayo anaitumia kutokana na kuwa na mitambo ya nuklia.Iran ni nchi inayoishi zaidi ya miaka 30 kwa vikwazo lakini wamagharibi wameshangaa kuona pamoja na vikwazo hivo nchi imeendelea na inawasomi wa hali ya juu.Inajitegemea yenyewe kwa asilimia 90 ni asilimia 10 tu ndio wanategemea nje.Hilo linawauma sana kwasababu wao nchi zao wanategemea sana nje hasa Afrika na wanagawa silaha kwa migaidi ili waafrika wapigane wenyewe na ndio maana unaona Congo mpaka leo hakujatulia na haitatulia mpaka nchi za Afrika ziungane na kushirikiana kuwaondoa magaidi na wasiruhusu silaha kuingizwa hovyo.Wanachota mali ya muafrika kama zao na kuwaacha waafrika masikini huku wakisapoti serikali za wala rushwa.
Mkuu nakushukuru sana, unajuwa kuna mambo mengine nilikuwa sitaki kuyazungumza humu - ukweli wa mambo ni kwamba nchi ya
IRAN ni mahili sana katika mambo ya sayansi na teknolojia; mwaka jana niliwahi kuandika humu kuhusu uwezo wa
IRAN kitekonolojia lakini baadhi ya wana JF walinipuuzia na kutoa majibu ya kejeri!
Mkuu kumbuka kwamba kitendo cha nchi ya IRAN ku-intercept a
TOP SECRET reconnaissance DRONE katika hanga lao kuliwashangaza watu wegi duniani, oh yes FEAT hii iliwatia kiwewe sana Wamerikani, walijaribu ku-put up a brave face kwa kusingizia a techical problem kama kawaida yao, hawataki dunia ijuwe kwamba kuna wanasayansi duniani wenye uwezo kuwashinda wao!! As far as they are concern the world is
AMERICA.
Mkuu ukweli wa mambo ni kwamba hiyo haikuwa mara ya kwanza drones hizi kuingia hanga la IRAN na kufanya upelelezi na sio kwamba wa IRAN walikuwa wanashindwa ku-scramble fighter plane au kutumia
SAM kuzitungua - walichokuwa wanafanya ni ku-buy time
eavesdropping (sniffing) mawimbi ya mawasiliano kati ya
DRONE na
base station zinazo tumika kuziongozea - zoezi hili watakuwa walilifanya kwa muda mrefu kidogo.
Walipofanikiwa ku-gather enough info wakazifanyia kazi kwa ku-hack software zinazo ongoza DRONE zenyewe, vile vile na frequency za radio zinazo
link DRONE na control Center kule
Doha Qatar si hilo tu walikuwa wanajuwa vile vile frequency za GPS ambazo zinatumika kwa ajili ya kuongozea zana za kivita za Merikani zikiwemo
Drones zenyewe na
CRUISE MISSILES, frequecy hizo za
GPS hazitumiki katika shughuli za kiraia, ziko reserved kwa matumizi ya jeshi la
Merikani na
NATO.
Mkuu, IRANIANS with few months of eavesdropping/experience
under their belt, waka-laylow wakiwasubili Wamerikani warushe tena
DRONES kukatiza hanga lao, kuingia tu mawasiliano ya
DRONE yakawa
taken over by IRANIANS na kuogozwa mpaka kutua with a bang kwenye runway iliyo kwisha tayarishwa na jeshi la
IRAN. In a net shell Wairan walicho kuwa wanatafuta ni kutaka kujuwa material na avionics (tuseme siri) zinazo tumika kuhunda DRONE za Kimerikani ili na wao waboreshe za kwao wakishirikiana na
Wachina.
Oh mkuu, umenikumbusha kitu fulani kuhusu Congo - yaani Waisrael nao wanahusika sana katika biashara na uchimbaji wa madini nchini humo.