Wewe mke wa Netanyahu acha ujinga, sasa hio Israel jumlisha na Marekani utapata jibu, halafu hio Iran si ipo kwenye vikwazo ? Hio Israel bila marekani ni mboga tu mbele ya Iran acha ujinga na shobo kwa wazayuni shoga wewe
Akili zako zote zimeishia kwenye kuolewa tu maana wewe mwenyewe ni Shoga!!!
Vikwazo isiwe sababu ya Iran kupigwa Kama Ngoma!! Israel ilishawahi kuzipiga nchi zaidi ya 5 Mwaka 1967 kipindi kile hata teknolojia haikusaidii kubwa Kama leo. Iran si chochote mbele ya Israel kwa sababu amejiingiza mwenyewe safari atake a atapigwa Kama Ngoma atake asitake!!
Hivi wewe unaakili nani ananunua bidhaa za Iran? Kwa kumuogopa US? Mbona Iran Katia kikwazo kimoja TU Cha kufunga Hormuz dunia nzima hisa na uchumi hoi? Hujui kua hakuna nchi inayofanya biashara na Iran zaidi ya nchi za kibabe Kama urusi na china na Cuba?