white-frank mhiro
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 760
- 166
ukweli mchungu kumeza
cc FAIZA FOXY
cc ishmael
cc FAIZA FOXY
cc ishmael
Who is this/ are these " We"?We love Israeli
iran hizo vita anazopiganisha anapambana na nani kama sio Mossad? hujui kwamba iran na israel wana proxy war? iran alivyotengeneza hezbulah israel akatengeneza ISIS. ngoma droo sasa ndo hao wanachinjana huko milimani . so israel pia wana pesa ya vita kumbuka now IS ndo terrorist group yenye pesa na kulipa vizuri
IRAN is on top......do you trust blah blah from Jane Magazine? Even Israel parse knows that IRAN is the very very big threat to itself and to the world...If Israel is capable of envading IRAN it would've done since 1999
hawa israel waliopolekeshwa na hizzbollah au ni israeli nyingine??
hawa israel waliopolekeshwa na hizzbollah au ni israeli nyingine??
kama ISIS wangekua ni wa kuchemsha wangeshachemsha, Mzungu anapigana kwa akili wakati mwarabu anapigana kwa manguvu, so mzungu akaona dawa ya mwarabu ni mwarabu mwenzake usifikiri kutoa jeshi ni kwamba kashindwa ila kaona kwa nini ajitese wakati chambo wapo?.. kilichompeleka ni maslahi yake ya mafuta ambayo keshayapata, sasa ulitaka aendelee kubaki anafanyaje? yani imagine umeenda kugonga demu wa mtu ukishamaliza kupiga game utabaki au utasepa?we kweli ni siasa kali..haya bana acha hao ISIS wawapiganie maana msivyopenda kufa,mpaka vita mnapiganisha,
hao isis wenu watachemsha mda si mrefu,chezea iran wewe,marekani mpaka leo amegoma kurudisha jeshi iraq,nusra wamfilisi,vita inapigwa mtoto anazaliwa hadi anamaliza form four bado tu,dola trilion 3 zikateketea mpaka uchumi wa dunia ukayumba,marekani hajatoa askari kule faster,huo mziki israel hawezi.
watu wanapigana miaka 500 bila kuchoka utawaweza kweli?
Unajivunia utajiri wa mwenzio, kaazi kweli kweli.