Isome kwa tafakuri

Amenyae kwa mdomo, lazima atatema tu
 
Mfumo wa nchi za kiafrika umeharamishwa uende hivyo na mtu wa kuharibu huu mfumo ni raia wa nchi husika, vinginevyo tutakuwa wasomaji, wachangiaji na kulaumu tu...
 
Mfumo wa nchi za kiafrika umeharamishwa uende hivyo na mtu wa kuharibu huu mfumo ni raia wa nchi husika, vinginevyo tutakuwa wasomaji, wachangiaji na kulaumu tu...
na mtu wa kuharibu huu mfumo ni raia wa nchi husika....
hili sio kweli kabisa na siwezi kukubaliana nawe kwa hakika ndugu yangu
 
na mtu wa kuharibu huu mfumo ni raia wa nchi husika....
hili sio kweli kabisa na siwezi kukubaliana nawe kwa hakika ndugu yangu
Okay twende taratibu Mshanajr.
Mabadiriko yanayotokea katika nchi yoyote (mfano, Sudan ya kaskazini, nk) siyo wananchi walilazimisha utawala wa kiimla kusimama?.

Au nani atamtoa m7, paul nk kama wananchi hawataamua?
 
Oh kwa muktadha huo nimekupata vema... Japo huwa kuna external force fulani hutumika
 
Mkuu hakuna kasoro kenya.
Hii Afrika mashariki yote inakandamiza democracy.
Kenya ndio usipime wanaongoza kuuwa upinzan na kunyanyasa makabila ya chama pinzani.
Jubilee wanaua wajaruo usipime tena wazwaz.
Hii East Africa is all the same in approximately all aspects.
 
Ukatili wa wanyarwanda, na sasa wanatawala afrika mashariki, kasoro Kenya tu.
 
Hapa ndipo nawaona mabeberu wapumbavu wanahangaika na Irani anayetengeneza silaha zake kwa ajili ya nchi yake wanaacha hwa mashetani viongozi wa kishenzi wanawatesa watu wanavyopenda badala ya kuwashughulikia.
Hao viongozi wa Iran ndio wakandamizaji hatari hakuna mfano.
 
Wasiojulikana wanaiendesha Afrika Mashariki.
Nikimkumbuka mzee Mugabe na al bashiru basi nazidi kuamini siku zao zinahesabika.

Kwa uchungu watu walio nao huenda hata wakaamua kuzichapa viboko maiti zao
Tatizo hawafi mapema
 
Hao viongozi wa Iran ndio wakandamizaji hatari hakuna mfano.
Si kweli hakuna serikali duniani inayopendwa na raia wake km Iran.
Mabeberu pale wanafata maslahi ya mafuta.
Ila hakuna ukandamizaji kwa serikali ya Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…