Isome kwa tafakuri

Real! Huyu Magufuli asipodhibitiwa Mapeema ataenda Kwenye Utawa wa Milele like their friends, very bady!
We should wakeup although it is very Difficult for Tanzanians to do so.
Kweli Musiba naanza kumuamini. Alisema Jf kuna watu wana account zaidi ya sita, huyo huyo anaanzisha, ana comment na kuji like mwenyewe. Kama huu uzi huu! Kaanzisha m1 na anaji like mwenyewe kwa account tofauti, duh!
 
Hawa madikteta wa Eastafrica wao wanaona kua nchi mali yao heri wajigeuze wafalme waendelee kutawala milele,m7,jiwe,kagame,nkuruzinza ndio wanateka na kuua wapinzani kila uchwao
Kuna mmoja hujamtaja
 
They extend terms of ruling not because of having new ideas, or things to accomplish, but fears of repercussions.
 

Huu Ukweli watu wengi hawawezi kuuona kabisa,isipokuwa wachache waliorehemewa na Mola na wenye kutafakari mambo kwa yakini na maarifa. Kuna watu huwa wanaona ukombozi kwa wenzao ni jukumu lao tena kwa misingi ya kidemokrasia ndio kazi yao iliyowafanya waumbwe na kuishi. Hapa huwa wanajidanganya sana.

Sisi watu tunaopenda dini huwa tuna omba amani tu,ili shughuli zetu ziende vizuri,wake zetu waishi,watoto wasome,ibada zetu ziende vyema na kwa utulivu muda wa kifo ufike tuitwe MWENDA ZAKE.

Watu akili hawana,unajua Mola wetu anajua sana kupangilia mambo,kila jambo lina asili yake.

Nasema hivi :

"MSITEGEMEE KUPATA VIONGOZI MUADILIFU HALI YA KUWA NYINYI RAIA WENYEWE NI WAJINGA WAJINGA NA WAOVU KUPITA KIASI,MOLA ANAWAWEKEA VIONGOZI WA MFANO WENU ILI KUWANYOOSHA"

Huu Ukweli utafika mpaka Magharibi ya mbali.
 
wakati wa mkutano wa SADC nilisema kile ni kijiwe cha wajinga kukumbushana namna ya kufanya ujinga zaidi. viongozi wa Africa ni wajinga na wapuuzi wanaojificha kwenye suti na mbwembwe za ulinzi mkubwa. yanyofanyika uganda ni kama hapa tu wameuliwa watu wengi sana kisiju. kwamba mtu anajinasibu kwa kupiga push up akidhani ndio utimamu wa mwili
KIJANA ALIYEPIGWA KULE MAKAMBAKO KWA AMRI ZAKE ZA KIPUMBAVU NA UBABE ATAMFUATA HADI KABURINI.
TUNDU LISU ALISHAMBULIWA KWA AMRI ZAKE ZA KISHETANI AKIJIDAI RAISI MZALENDO KUMBE MWIZI TU
 
Nyie 2020 mnawekewa box la kura maisha yanaendelea hadi 2025 mtapiletewa Chuma kingine mnasahau mazima
 
Naikumbuka sana mada yako ile... Na sasa naielwa vizuri sana katika uhalisia wake
 
OMG! Ukatili ulioje?
 
Kuna mambo yanasiktisha sana...

Serikali za Africa zote ni pasua kichwa...


Cc: mahondaw
 
Ushauri mzuri ni huu. Kama una kazi au biashara, ifanye halafu jioni uende nyumbani ukaione familia. Full stop. Mambo mengine achana nayo.
 
Mmhh inatisha, nikiangalia maandalizi yanayo fanywa hapa kwetu ni dhahiri sasa tunaye mkuu wa kukaa maisha yake yote kwenye madaraka.
Kiki za mikopo kibwagizo tunatumia vyetu wrnyewe.
Sidhani kama inawezekana kwenye nchi hii!!
Ni hofu tu ya yasiyojulikana.
Miaka kumi ikiisha anasepa zake otherwise wao wenyewe ccm watatifuana huko ndani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…