Hapa ndipo nawaona mabeberu wapumbavu wanahangaika na Irani anayetengeneza silaha zake kwa ajili ya nchi yake wanaacha hwa mashetani viongozi wa kishenzi wanawatesa watu wanavyopenda badala ya kuwashughulikia.
Paskali,A.Mashariki (kasoro Kenya) kuna kitu kinaendelea,na nadhani yuko anayekiinjinia na atakuwa "mkubwa,mzito,very ancient in time".Haiwezekani tufanane mambo yetu tuuu!
Anyway,jpili nenda kasali,mimi siendi tena,sipendi unafiki kwa kweli.
Its not good for many of us.Ila Mungu atasimama soon...i guarantee you that.
Real! Huyu Magufuli asipodhibitiwa Mapeema ataenda Kwenye Utawa wa Milele like their friends, very bady!
We should wakeup although it is very Difficult for Tanzanians to do so.
Mmhh inatisha, nikiangalia maandalizi yanayo fanywa hapa kwetu ni dhahiri sasa tunaye mkuu wa kukaa maisha yake yote kwenye madaraka.
Kiki za mikopo kibwagizo tunatumia vyetu wrnyewe.