Ismail Jusa

Sure sheria ni msumeno.... Balance and check

Not one direction only
 
Anaendelea kubwabwaja kwenye tweeter tu. Dola hatoipata kamwe
 
Zanzibar heroes inawapa raha wazanzibar sio watanzania coz nao walikua na timu yao imeboronga.

Haiwezekan we baba kila kukicha ni mizozo na mke wako, familia chungu na raha hakuna. Jiran yako yy na mke wake wanaish kwa furaha, Sasa inakuwaje we ujisikie raha kuona majiran wanapata raha.
 
Tunachokosea ni hizi siasa zetu zinatufanya tuchukiane
 
Katika vitu vilimnyima points rais kikwete ni uchaguzi wa Zanzibar
Jk angewcha uchaguzi wa Zanzibar ukaenda kama ulikuwa angekuwa ni kati ya marais Bora sana afrika,na dunia

Sio yeye ccm haiwez kuruhus upande mwingne utawaliwe na CUF.
 
Siku moja kama mwezi umepita (sikumbuki vizuri) nilikua nasikiliza radio mida ya asubuhi kwenye moja ya redio zetu ( Nahisi ni radio Free) kuna waandishi wakawa wanajiuliza kwa nini tangu utawala (sio uongozi) huu wa awamu ya tano uingie madarakani wachezaji wa timu ya Taifa kutoka Zanzibr hawajumuishwi kwenye kikosi cha timu! moja wa watangazaji akadai aliongea na mmoja wa viongozi Wa TFF akamwambia kuwa Zanzibar kisoka wapo chini pia uongozi wao wa soka haujatilia maanani swala la soka kwa vijana hivyo hawaoni mchezaji hata moja wa kumujuisha kwenye timu ya Taifa.

Hili tukio la Zanzibar bila shaka limewaumbua wa Tanganyika kuwa hawajui chochote zaidi ya majungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…