Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Merry Christmas to all good people. Kama unaona hii salamu haikuhusu, basi sio mbaya. Mimi sina hiyana.
Salaam Alaikum. Hii salamu ukiondoa lugha, kimuktadha haina mipaka. Ni kwa vile tu imenasibishwa na uislam. Hata hivyo wapo wakristo katika hizo nchi za kiarabu wanaitumia salamu hii wakiisindikiza na ishara ya msalaba ✝️
Nataka kusema nini. Kuhusu hili suala la HAKI na AMANI tutavutana sana. Nimekuja kuvundua kitu. Islam wanasema dini/imani yao inamaanisha amani. Hivyo tusitarajie atokee kati ya hao wengi wa wazungumzaji aje akuambie eti HAKI kwanza. Kwao ni Islam (Peace) kwanza. Hilo ndugu waamini wenzangu katika Kristo Yesu mlitambue hilo.
Ironically there will be no peace as long as they believe in peace first. Sasa kwa wale wenzangu na mie mnaodandia treni kwa mbele mlijue hilo. Ni ajenda fiche. Meaning Islam first but in reality you cannot escape the reality kwamba JUSTICE is everything.
Niishie hapa. Niwatakie tena weekend njema na maandalizi mazuri ya mwaka mpya 2026
⚖️⚖️⚖️