Nyie watu mnahangaika mpaka mnatia huruma
Hizo wishful thinking zenu,mmezigeuza kuwa washauri wa mkulima
Mzungu hawezi kupata kitu mpaka arudi mahakama kuu
Kosa alilofanya ni kuacha arbitration,na kusajili makubaliano mapya mahakama kuu
Hakuna mahakama yoyote duniani inayoweza kukamata mali za serikali kwa kutumia hukumu ya nchi ingine,labda ingekua MIGA ya Tundu lissu
Halafu aliekwambia matako ya sufuria yanaogopa moto ni nani?
Mawakili bingwa kama hawa wataogopaje kushitakiwa
Palamagamba Kabudi_FM
DR Ndumbaro~DFM
Professor Kilangi~AG
Dr Ally Possi~DAG
Na wengineo sijawataja,unashindwaje kesi ukiwa na timu kali kama hiyo