mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,040
Timu ikisha ongoza kundi ndio inakua bingwa? Kweli umbumbumbu ni kipajiNaona wenzetu ni wakarimu Sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya caf, je walishawahi kuongoza kundi lolote la caf champions league au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
Utopolo mbona vichwa vyenu vigumu kuelewa? Kuchukua ubingwa ni jambo zuri sana , pia kuongoza kundi kisha kutinga robo fainal ni jambo zuri maana hatua hiyo pia inakupa fedha.Timu ikisha ongoza kundi ndio inakua bingwa? Kweli umbumbumbu ni kipaji
Achana na hayo majinga this year zanaco anamaliza wa nne kwenye kundi lake zambia wanaenda poteza nafasi ya kuingiza teams 4 , hawajui kwamba kwenye makundi hata ukiwa wa tatu kuna faida yake...majinga hayo hayajui simba 1974 kacheza nusu fainali na 1993 kacheza fainaliUtopolo mbona vichwa vyenu vigumu kuelewa? Kuchukua ubingwa ni jambo zuri sana , pia kuongoza kundi kisha kutinga robo fainal ni jambo zuri maana hatua hiyo pia inakupa fedha.
Naona wenzetu ni wakarimu Sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya caf, je walishawahi kuongoza kundi lolote la caf champions league au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
Kuna timu mwaka jana iliongoza kundi la ligi ya bongo kisha haijatwaa ubingwa. Ikitokea tena msimu huu wa sikukuu kuna watu watazimiaTimu ikisha ongoza kundi ndio inakua bingwa? Kweli umbumbumbu ni kipaji
Baada ya Simba kushinda...Manara kaamua kuanza kupambana na Makondakta ... ili kupunguza presha!Naona wenzetu ni wakarimu Sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
Nimeshajipiga Gamba...Sasa nasema SISI HATUNA MPINZANIIIIIIIIII....!Ahmed Ally
37m Β·
Simba tunapaswa kuheshimiwa sana nchi hiii
Mpaka sasa tumecheza mechi 4 tumevuna alama 7..
Anaejiita mpinzani wetu na anaejiita timu kubwa Afrika mashariki ilimlazimu acheze mechi 18 Ili kufikisha points 7
Mwaka 1998 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 2 (Usicheke)
Mwaka 2016 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 4
Mwaka 2018 alicheza mechi 6 za makundi akavuna alama 4
Ili kufikisha points 7 ambazo Mnyama amefikisha kwa mechi 4 tuu jirani yetu imemlazimu acheze mechi 18 tena katika kipindi cha miaka 24
Hivi mnatoaga wapi ujasiri wa kubishana na sisitena hapo kuna kitu sijasema naona aibu kwamba kwa miaka yote hiyo 1998, 2016, na 2018 mliburuza mkia kwenye hayo makundi
Mwana Simba hapo ulipo sema jipige kifua kisha sema SISI HATUNA MPINZANI
We mbona haujaweza kuizungumzia UTOKABWI bila kuitaja SIMBA?Kwani Simba hamuwezi kufanya mambo yenu bila kuitaja Yanga..?
Hakuna kombe la kupokezana kuongoza kundi. Labda ingekuja na hoja ya makombe hizi timu zilizoshinda nje ya nchi tungeweza kuwa na jambo la kuchangia.Naona wenzetu ni wakarimu Sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!
Yanga washawahi kuongoza kundi kwenye Mapinduzi Cup inayofanyikiaga Zanzibar ambae ni mwanachama wa CAF. So ki msingi jibu ni Yes...!!!Naona wenzetu ni wakarimu Sana wa kupokea wageni wanaokuja kucheza na Simba michuano ya CAF, je walishawahi kuongoza kundi lolote la CAF Champions League au confederation? Kwa Simba siku hizi ndiyo kawa!