umejuaje kwamba silaha wanazotumia hao jamaa ni zamarekani tu na sio nchi nyingne?.Kumbe akili yako bado haijakuwa, silaha za kimarekani ni ngumu sana kuingia kwenye nchi za kiarabu, isipokuwa kama labda serikali yenyewe iziingize, hususan maeneo ambao wamarekani wana mission zao.
Marekani ndio aliwafadhili waasi waliokuwa tayari kupindua serikali za nchi zao kwa silaha na fedha katika kipindi cha vugu vugu la kuangusha serikali zao.
Kumbe unaishi kiimaniKiimani Osama kafa ,lakini hamna ushahidi wa kisayansi (tangible evidence) ,yakutuonyesha Osama kafa.
Sasa swala ni kusadiki au kutosadiki ila mimi kwa imani yangu Osama yupo.
Wewe unaongozwa na imani,bila kupata ushahidi wa kushikika (tangible evidence).Kumbe unaishi kiimani
Basi sawa
Wewe unaongozwa na imani,bila kupata ushahidi wa kushikika (tangible evidence).
Mwili wake hujauona,ila unaamini story zao,huoni kwamba ww unaongozwa na imani.
Nimemuona kupitia TV (bbc,can,skynews),je mwili huyo huyo Osama au huyo gaidi uliuona?Je unaamini Trump yupo?
Na kama unaamini je ulishawahi kumuona?
Unafahamu kuna makundi mangapi ya Uislam na lipi liko sahihi?huo ni mtazamo wake,acha ubaki kuwa mtazamo wake.
amejuaje kwamba AL-Bagdad alikuwa anatumika?.
....👍... linapokuja suala la operesheni kali za kupambana na majitu yaliyoshindikana hususan magaidi ya kiislamu ni US na Israel pekee wanaoyapatia! Huwa wanayadungua moja baada ya jingine hadi yanaisha. Warusi bado sana kwenye "special operations".
Wakati huohuo Marekani imemtaja Urusi kwamba alikuwa na taarifa ya operation hiyo na akamshukuru sana...
Hahaha!Urusi kakataa kuhusika kivyovyote kwenye hiyo operation
Bushmaster XM - 15, M16 rifle, M4A1, M40A3, M14EBR, M240, M249, M2, M62, FIM - 92Stinger MANPADS, BGM -71, FIM - 92 Hizo zote ni make za Marekani Na magari ni HMMWV (2300), MRAP, M1117, M113, M198 Howitzer.umejuaje kwamba silaha wanazotumia hao jamaa ni zamarekani tu na sio nchi nyingne?.
unaweza kuthibitisha hayo madai yko kwamba ni kweli sio assumptions tu?.
CHRISTIANITY = HOMOSEXUALISLAM = TERRORISM
Mkuu.. black market inakupa kila kitu unachotaka, ni pesa yako tu,.Bushmaster XM - 15, M16 rifle, M4A1, M40A3, M14EBR, M240, M249, M2, M62, FIM - 92Stinger MANPADS, BGM -71, FIM - 92 Hizo zote ni make za Marekani Na magari ni HMMWV (2300), MRAP, M1117, M113, M198 Howitzer.
Waarabu sio wanunuzi wakubwa wa silaha za kimarekani, sasa hizi silaha unafikiri walifikishiwa na nani kama sio marekani wenyewe?!
Hii operation ni kejeri kwa Urusi, inaonyesha wadhaifu kwenye upelelezi, yaan pamoja na uwepo wao Syria wameshindwa tambua alipo huyu mbwa... linapokuja suala la operesheni kali za kupambana na majitu yaliyoshindikana hususan magaidi ya kiislamu ni US na Israel pekee wanaoyapatia! Huwa wanayadungua moja baada ya jingine hadi yanaisha. Warusi bado sana kwenye "special operations".
usahihi katika framework hipi?.Unafahamu kuna makundi mangapi ya Uislam na lipi liko sahihi?
Labda nae ni gaidi ndio maana anamtetea mbwa mwenzakeMkuu mbona unataka tubishane kitoto
Hivi huyo gaidi si kajiua kukwepa kuuawa ama kutiwa mikononi mwa Marekani?!
Unadhani bila hiyo operation kufanywa angejiua?!
USA hatari sana, yaani kwenye handaki walitumbukiza mbwa wenye mafunzo maalum kummaliza, alafu ujue USA ni noma mbwa walikua wanamfaham mlengwa, na amri ni kuua tu, walifaham ana milipuko kuofia wasipotezee komandoo hata mmoja ndio wakatumbikiza mbwa.... huyo mshenzi dawa yake mbwa tu; na asingejiwahi wangemrarua kweli huku jamaa wakichukua "mkanda". Ha ha ha! Kaona isiwe tabu na kishafika mwisho wa handaki likaamua kujiwahisha kuzimu! Jitu lenyewe mindevu gunia utafikiri mwanaume kweli kumbe bonge la coward! Kazi kudanganya vijana eti kwenda kupigana jihad! Harakati zake zooote za miaka na miaka amevuna nini so far?
Mhhh...! Hawa ni waturuki sheikhCHRISTIANITY = HOMOSEXUAL
Unawafahamu salafiusahihi katika framework hipi?.
Endelea kushikilia black market wakati silaha alipeleka mwenyewe marekani kipindi cha vugu vugu za kuwaondoa madarakani viongozi asiowapenda kwa kigezo cha demokrasia.Mkuu.. black market inakupa kila kitu unachotaka, ni pesa yako tu,.
usikute ndani ya jeshi la korea kaskazin wanasilaha zilizotengenezwa marekani,pesa inakupa unachotaka.
nimekuomba uthibitisho wa dai lako,lakn hadi sasa ujafanya hivyo.Endelea kushikilia black market wakati silaha alipeleka mwenyewe marekani kipindi cha vugu vugu za kuwaondoa madarakani viongozi asiowapenda kwa kigezo cha demokrasia.