Embu rudia tena kusoma hiyo screenshot uliyotuma,jamaa alikua anakimbia kukwepa kutiwa mbaroni..baada ya kufika mwishoni mwa handaki kaona hakuna namna akaamua ajitangulize mbele za haki.
Sasa swali je,bila hiyo operation angejiua?!
Lakini kafa au hajafa?!Bure kabisa wewe sasa kauliwa na nani apo.? Nimekwambia kuna tofauti kati ya kujiua na kuuwawa, haijalishi kulikua na operation inaendelea au la,ninani sasa alie mfyatulia risali au bomu huyo kamanda.?
Osama aliuliwa yes na alie mpiga shaba alipewa mpaka tuzo,sasa huyu kauliwa na nani.?
Mkuu mbona unataka tubishane kitoto
Hivi huyo gaidi si kajiua kukwepa kuuawa ama kutiwa mikononi mwa Marekani?!
Unadhani bila hiyo operation kufanywa angejiua?!
Operation ilifanyika kwa mafanikio kwa makubwa baada ya Gaidi nambari moja Duniani kuuawa kama mbwa. Mwisho wa kunukuu!Wewe umesema kauwawa nimekuuliza kauwawa au kajiua.? Huna jibu unabaki kutoa hoja za kitandani tu sema ukweli jamaa kajiua baada ya kuona atakamatwa na wamarekani baada ya kufika ukingoni mwa handaki basi tutakuelewa.
Sio kuremba maneno kama msemaji wa white house kumbe uko vigwaza tu unakula embe bolibo kwa chumvi.
Operation ilifanyika kwa mafanikio kwa makubwa baada ya Gaidi nambari moja Duniani kuuawa kama mbwa. Mwisho wa kunukuu!
Acha umbea dadaNo! unataka kuleta udini ili mods wafute huu uzi?!
Duh!Naomba namba yake tafadhali, kuna kazi hapa Tanzania nataka aje atusaidie kukamilisha
Kama unayo nisaidie MkuuDuh!
... huyo jamaa nilimsoma kisha nikaishia kumpuuza. Ni eaxctly a year ago (October 30, 2018) makao makuu ya Federal Security Service ya Russia ilivamiwa na gaidi tena teenager tu na kuuwa security officers watatu kwa bomu. Yaani walipiga mule mule!Unakumbuka ni mara ngapi magaidi wameshambulia Russia ikiwemo Moscow Metro na pia wale watoto waliyouliwa na magaidi wa Kichechnia, labda ulikuwa bado mdogo.
... huyo mshenzi dawa yake mbwa tu; na asingejiwahi wangemrarua kweli huku jamaa wakichukua "mkanda". Ha ha ha! Kaona isiwe tabu na kishafika mwisho wa handaki likaamua kujiwahisha kuzimu! Jitu lenyewe mindevu gunia utafikiri mwanaume kweli kumbe bonge la coward! Kazi kudanganya vijana eti kwenda kupigana jihad! Harakati zake zooote za miaka na miaka amevuna nini so far?Kichwa chako wewe unaleta habari za udaku udaku unafikiria watu hawasomi,punguza mahaba ya kipuuzi,huyo kamanda kajiua hajauwawa na kima yeyote yule. Hata trump analijua hilo.View attachment 1247070
... Kiongozi, habari yenyewe hii hapa C.I.A. Helped Thwart Terrorist Attack in Russia, Kremlin Says. Hadi Putin alitia heshima debe kwa Trump kwa kazi iliyotukuka iliyofanywa na CIA wakati wao (Russia) wakiwa wameuchapa usingizi.Na kuna kipindi walishapanga shambulizi pale St Petersburg kama sikosei, Russia walikua hawana habari mpaka wakaja kushtuliwa na CIA
Magaidi wote ni WAOGA, na ndio maana wanalipua au wanajilipua huku wamefunika sura na ndio maana wanajificha.... huyo mshenzi dawa yake mbwa tu; na asingejiwahi wangemrarua kweli huku jamaa wakichukua "mkanda". Ha ha ha! Kaona isiwe tabu na kishafika mwisho wa handaki likaamua kujiwahisha kuzimu! Jitu lenyewe mindevu gunia utafikiri mwanaume kweli kumbe bonge la coward! Kazi kudanganya vijana eti kwenda kupigana jihad! Harakati zake zooote za miaka na miaka amevuna nini so far?
... funny enough likaamua kuwamaliza na watoto wake wadogo watatu! Kuna mijitu ina roho za kikatili kumzidi Shetani!Magaidi wote ni WAOGA, na ndio maana wanalipua au wanajilipua huku wamefunika sura na ndio maana wanajificha.
Kama wao ni wanaume kweli si wapambane na wanajeshi wa Marekani au wa nchi nyingine face to face in battle?
Magaidi ni Waoga sanaa kama wanawake.
... sometimes punguza ushabiki usio wa lazima. Sio raia tu bali maofisa usalama wa Russia wamekuwa wakiuwawa na magaidi. October 2018 makao makuu ya Federal Security Service ya Russia (CIA equivalent) yalivamiwa na gaidi tena teenager tu na kuuwa security officers watatu kwa bomu.hujui unachoongea,hivi umewahi sikia raia wa urusi katekwa na magaidi? au kauwawa na magaidi,warusi ni hatari kuliko magaidi wenyewe...nchi za ulaya zinatambua hilo..
Ndio nani huyu?Abdullah Qardash![emoji41] View attachment 1246892
Acha umbea dada
[emoji116][emoji116][emoji116]Hili ndilo jibu.swali la kitoto sana ilo.
dunia ya sasa unauliza watu wanapata wapi silaha?.
unashangaa waasi wa uarabuni kupata silaha, ila ushangai wale waliotaka kuweka kambi kibiti kuwa na silaha za kivita!!.
Tabia ya marekani wamemtumia sasa wanaona hawana kazi naye,wamemtosa,,tena katika mda ambao Trump alihitaji diversion kutoka katika sakata lake la impeachement,marekani wamekuwa wakijua baghdad alipo tangu day one
kwani Iraq mezungukwa na vatcan?.Angalia kwanza nchi yetu imezungukwa na nchi gani ndipo uongee utumbo wako, hakuna swali la kitoto duniani. Usidharau swali dogo ambalo mwisho wa siku linakuwa swali kubwa.
Silaha nyingi zinazotumika hapo ni make za America na ndio maana nikauliza hilo swali.
Kumbe akili yako bado haijakuwa, silaha za kimarekani ni ngumu sana kuingia kwenye nchi za kiarabu, isipokuwa kama labda serikali yenyewe iziingize, hususan maeneo ambao wamarekani wana mission zao.kwani Iraq mezungukwa na vatcan?.
kuzungukwa kwa taifa letu kuna husianaje na upatikanaji/kutopatikana kwa silaha?.
acha kufikiri kitoto, dunia ya sasa ukiwa na pesa
ata F 15 unapata.
huo ni mtazamo wake,acha ubaki kuwa mtazamo wake.[emoji116][emoji116][emoji116]Hili ndilo jibu.