Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Tumia akili,hiyo ni photoshop,wanaoangalia tukio wako tofauti na muelekeo wa tukio,na pia sio wenyeji wa Iraq,muenekano wao uko wazi ni wenyeji wa Afghanistani.Na muuwaji hawezi kuwa peke yake bila silaha yoyote,wala wenzake wa kumlinda.Huyo mtu yuko kwenye kitendo tofauti na picha inavyotoa ujumbe.Dini ya mwenyaaaazi mungu tena ya haki wanaitetea kwani mungu kashindwa kujitetea,dini ya haki