ISIS terrorist Abdeslam has been spotted in Brussels

ISIS terrorist Abdeslam has been spotted in Brussels

Richard

Platinum Member
Joined
Oct 23, 2006
Posts
16,762
Reaction score
26,051
Paris-salah_3502713b.jpg

The fugitive has been sighted in Belgian capital wondering on foot.

The terror alert has been raised to level four the highest and the snipers has taken position should Abdeslam resurface.

Update:

On Wednesday afternoon, anti terror police in Belgium had made 9 arrests of people who have links with Abdeslam and his brother who blew himself in the attacks last Friday.The raid were conducted in towns of Molenbeek where the ring leader Abaaoud lived, Uccle and Laeken.

Updates.

Intelligence officers in Sweden Sapol have detained a suspected terrorist named as Muthar Muthanna Majid onThursday, after searching for him for two days.Majid was detained in asylum center in northern city of Boliden in a calmed manner and he is expected to be interrogated. He is suspected to have fought in Syria and arrived in Europe via refugee route and claimed asylum.
 
Paris-salah_3502713b.jpg

The fugitive has been sighted in Belgian capital wondering on foot.

The terror alert has been raised to level four the highest and the snipers has taken position should Abdeslam resurface.

Update:

On Wednesday afternoon, anti terror police in Belgium had made 9 arrests of people who have links with Abdeslam and his brother who blew himself in the attacks last Friday.The raid were conducted in towns of Molenbeek where the ring leader Abaaoud lived, Uccle and Laeken.

Gaidi huyu kauawa tayari, mati yake imeokotwa ikiwa na majeraha kibao ya risasi,,alijeruhiwa akajaribu kutoroka na majeraha yake baadae akafa.
 
Gaidi huyu kauawa tayari, mati yake imeokotwa ikiwa na majeraha kibao ya risasi,,alijeruhiwa akajaribu kutoroka na majeraha yake baadae akafa.

Hapana.
2E9D0CF300000578-0-image-a-30_1447968505163.jpg

Dogo kajibadilisha mwonekano sasa hivi anavaa "wig" na mawani nyeusi na sasa hivi anatafutwa kwa udi na uvumba.

ISIS nao wamekasirishwa na kushindwa kwake kumalizia kazi waliyomtuma na wenzake.

Stay tuned.
 
Mimi hapo ndio huwa sielewagi hivi mpaka muonekano mpya umejulikana halafu hajataitiwa bado inakuwaje? Yaani nani amepublish huo muonekano mpya? Msaada tafadhali
 
Mimi hapo ndio huwa sielewagi hivi mpaka muonekano mpya umejulikana halafu hajataitiwa bado inakuwaje? Yaani nani amepublish huo muonekano mpya? Msaada tafadhali

Mkuu hio ni taswira ya mchoraji wa polisi akionyesha mwonekano wa huyuu jamaa kutokana na maelezo ya mashuhuda waliomwona.

Picha hii imesambazwa na Polisi wa Ufaransa na polisi wa Ulaya Europol kwenye vyombo vya habari.
 
Aliingiaje huko brussels,,huu ni uongo

Aliingia Brussels jumamosi asubuhi baada ya kushindwa kujilipua kwa bomu Ijumaa usiku, alipokuwa akishiriki kufanya mashambulizi mjini Paris.

Yeye ndie aleikodi gari ambalo walisafiri nalo na kuingia Paris kwa ajili ya kufanya mashambulizi.

Baada ya hapo alitorokea kwao Ubelgiji na akaonekana kwa mara ya kwanza siku ya Jumanne.

Huyu anakimbia polisi na makamanda wa ISIS ambao hawajapendezwa na kitendo chake cha kutomaliza kazi.

Inadaiwa pia kwamba anaogopa kujisalimisha kwa polisi kwa kuhofia usalama wa maisha ya familia yake ambayo ipo Molenbeek, Ubelgiji.
 
Asad anapigana na waasi, asad anasaidiwa na URUSI waasi wanasiaidiwa na Marekani sasa Je, ISIS wao wanapigana na nani? ni nani anawapa Silaha na training maana mpk sasa hakuna taifa kubwa lenye majasusi wa kimataifa waliyosema ukweli kuhusu haya. Huu ni.mchezo mchafu wa fitna kama kwa gadafi
 
Mnasikiliza story za vyombo vya habari vya magharibi hamtopata ukweli hata kidogo. Terrorist wa kwanza kabisa ni USA and their companions
 
Mnasikiliza story za vyombo vya habari vya magharibi hamtopata ukweli hata kidogo. Terrorist wa kwanza kabisa ni USA and their companions

Inawezekana upo sahihi kabisa mkuu.

Marekani leo wametangaza kutoa zawadi nono ya dola milioni 5 kwa yeyote atakaewezesha kukamatwa kwa jamaa anaitwa Tarad Mohhamad al jarba au kwa jina lingine Abiu Mohhamad Al Shimali.

Huyu ndie mkurugenzi katika ISIS aneshughulikia uhamiaji na mafunzo na ndie anatuhumiwa kuandaa mipango ya mashambulizi nje ya Syria na Iraq kupitia Uturuki.

Ni mtu muhimu sana yupo pale mpakani mwa Uturuki na Syria panaitwa Gaziantep na ndie anawavusha washambuliaji wengi ambao wamemaliza mafunzo huko Syria kwenda barani Ulaya.

Pia unaweza kuwa sahihi kabisa kwani hawa watu wote wamo kwenye "terrorist watch list" za Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya.

Lakini kwa sasa mwenendo huu kwamba ISIS wametumia njia ya wakimbizi kuingia barani Ulaya kumewafanya wamarekani wazuie wakimbizi kutoka Syria wasipokelewe nchini humo na pia huenda nchi za Schengen zikabadilisha baadhi ya taratibu za kufanya checks mipakani.
 
Mnasikiliza story za vyombo vya habari vya magharibi hamtopata ukweli hata kidogo. Terrorist wa kwanza kabisa ni USA and their companions
You must be sick in the head.
 
Asad anapigana na waasi, asad anasaidiwa na URUSI waasi wanasiaidiwa na Marekani sasa Je, ISIS wao wanapigana na nani? ni nani anawapa Silaha na training maana mpk sasa hakuna taifa kubwa lenye majasusi wa kimataifa waliyosema ukweli kuhusu haya. Huu ni.mchezo mchafu wa fitna kama kwa gadafi

ISIS walisadiwa na Uingereza na Ufaransa kumwondoa Gadaffi na pia wakiitwa Free Syrian Army walipewa kila kitu silaha zote watakazo.

Lakini hawa wamegeuka kabisa hasa baada ya kujiona kwamba wanaweza kutengeneza nchi kamili kwa utajiri walio nao hasa wa mafuta machafu.

Ila sasa lengo la nchi za magharibi kutaka kuwatumia ISIS kumwondoa Assad limepigwa chini kabisa na raisi Putin ambae nchi yake ina national Interests pale Syria na imekuwa ikimsaidia Assad na huenda wakafanikiwa kuitokomea ISIS endapo tu nchi za magharibi na marekani wataendelea kumsikiliza Putin.

tatizo kuna wapiganaji wa kutoka Ulaya wapatao 3000 ambao walikwenda Syria na wamerudi barani Ulaya na wapo kwenye "hibernation".
 
Usichukulie hivi vita kidini utaumia maana wengi wetu tupo kidini
 
Huwa najiuliza hivi hawa Isis ni nani ? Kulikuwa na alqaeeda..yenyewe imepotea hawapo sasa kumekuja isis...lakini isis are they for real?
Ukiangalia isis ni sawa na germany under hitler....alipigana na Duni nzima na hawa nao pi
Russia
UsA
UK
Spain
France
Canada
Italy
Iran nao wapo
UAe wapo
Jordan nao wamo
Eygpt
Hivi hawa wadudu isis wapo kweli maana nvhi hizi ndio zenye majeshi makubwa na silaha nzito duniani. Wana kila aina ya intelligence na kila aina ya ukachero . Vipi hawa wanashindwa kummaliza wadudu hawa?
Nikifikiria hili naona kama kuna ngoma nyengine inapigwa na wengine tunafata mkumbo tu...wenyewe wanajua nini wanakitafuta
 
Usichukulie hivi vita kidini utaumia maana wengi wetu tupo kidini

Nimejitahidi sana kutoingia huko.

Je kuna mstari umeona nimetumia dini kueleza haya ninayoyaeleza?
 
Sikumaanisha wewe richard ila kuna watu wanachukulia hivyo na sio wewe kaka
 
Huwa najiuliza hivi hawa Isis ni nani ? Kulikuwa na alqaeeda..yenyewe imepotea hawapo sasa kumekuja isis...lakini isis are they for real?
Ukiangalia isis ni sawa na germany under hitler....alipigana na Duni nzima na hawa nao pi
Russia
UsA
UK
Spain
France
Canada
Italy
Iran nao wapo
UAe wapo
Jordan nao wamo
Eygpt
Hivi hawa wadudu isis wapo kweli maana nvhi hizi ndio zenye majeshi makubwa na silaha nzito duniani. Wana kila aina ya intelligence na kila aina ya ukachero . Vipi hawa wanashindwa kummaliza wadudu hawa?
Nikifikiria hili naona kama kuna ngoma nyengine inapigwa na wengine tunafata mkumbo tu...wenyewe wanajua nini wanakitafuta

Mtizamo wako unaweza kuwa tija tu endapo tutaambiwa kwanini vyombo vya ujasusi vya Ulaya vimedharau taarifa au "tip offs" za kutoka kwa vyombo vya nje ya Ulaya kama Morocco.

ISIS ni mkusanyiko wa watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali duniani hasa barani Ulaya ambao wameathirika kimtazamo na kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom