Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,822
- 22,031
Sio huko tuu bali popote duniani anachonganisha kwa mkono wa kushoto halafu mkono wa kulia anasuluhisha na wakati huo huo anafanya biashara ya silaha
Hao uliowataja ndio wafadhili wao
Hili kundi kwa hivi sasa linapigwa na MAREKANI, UINGEREZA, UFARANSA, URUSI, na SAUDI ARABIA.
UJERUMANI, AUSTRALIA na JORDAN zitajiunga na mashambulizi muda wowote kuanzia sasa.
Hoja yangu;
Ni wapi kikundi hiki kimepata nguvu hizi na kutishia dola kubwa za Dunia kiasi hiki?! Nani anawafadhili hawa jamaa?

taifa haramu (Israel) na marekani hao ndio wafadhili wakubwa
Ni Rahisi Kumlaumu Usa, Kwa Ugaidi Wa WaArabu. But Si Kazi Ya Wamarekani Kuwaaminisha Magaidi Kujilipua. Ni Jukumu La Serikali Za Waarabu. Unaweza Ukaona The Whole Ideology Ina Mizizi Middle East Pekee. Usa Wamegombana Na Russia Hatujawah Sikia Ma-suicidal Bombers Kutoka Kwao, Wabantu Tumefanywa Maskini Hata Kule SA Lakini Hatujawa Na Hii Ideology. So Kuitupia Lawama Usa Ni Kuionea. Iko Haja Ya Kutazama Wao Wana Gaidika Kwa Lengo Lipi
Umesema sahihi kabisa. Na nia ni kuumaliza uislam kwa kuufanya uchukiwe na dunia kwa kuwalipa akina JIHAD JOHN kuchinja watu live na ku create hofu kuwa uislam ni chinjachinja.
Israel sio taifa halamu. Full stop
Umesema sahihi kabisa. Na nia ni kuumaliza uislam kwa kuufanya uchukiwe na dunia kwa kuwalipa akina JIHAD JOHN kuchinja watu live na ku create hofu kuwa uislam ni chinjachinja.
Hili kundi kwa hivi sasa linapigwa na MAREKANI, UINGEREZA, UFARANSA, URUSI, na SAUDI ARABIA.
UJERUMANI, AUSTRALIA na JORDAN zitajiunga na mashambulizi muda wowote kuanzia sasa.
Hoja yangu;
Ni wapi kikundi hiki kimepata nguvu hizi na kutishia dola kubwa za Dunia kiasi hiki?! Nani anawafadhili hawa jamaa?
Mkuu kivipi hawataisha? maana napenda sana michanganuo yako kwenye mambo ya kimataifa ivi wewe sio rais wa mioyo ya Watanzania mh Benard Kamilius Membe kweli sio wewe?
Nikukumbushe tu kuwa Israel imekuwapo Mashariki ya kati kabla ya kuwepo Tanzania, Kenya, Marekani, Saudia, n.k.taifa haramu (Israel) na marekani hao ndio wafadhili wakubwa
sasa kama abraham alikua muiraq,maana yake wairaq wapo kabla israel haijakuwepo,ha ha ha,Nikukumbushe tu kuwa Israel imekuwapo Mashariki ya kati kabla ya kuwepo Tanzania, Kenya, Marekani, Saudia, n.k.
Ina historia ya miaka zaidi ya 3000 na imekuwapo hapo.
Kama ni taifa haramu basi dunia ina mataifa haramu mengi likiwemo letu pendwa la Tanzania
sasa kama abraham alikua muiraq,maana yake wairaq wapo kabla israel haijakuwepo,ha ha ha,
mkuu tofautisha kiufalme cha israel cha enzi hizo na modern israel as a state,vitu viwili tofauti