Ni kwa nini kila tukio mnatukana America?
Isis mnasema ni jeshi la Marekani - upumbavu mtupu.
Leo ISIS imesikika kuna ebola, inakuwa america kapeleka.
Huu si wendawazimu?
Kwa nini msione kwamba wanaweza kupata kwa njia ya kawaida tu?
Wanachukua wapiganaji kutoka sehemu zote duniani.
Wanasafiri kwa siri sehemu nyingi duniani kuendesha mafunzo yao ya kishetani.
Wanakamata na kutesa watu ovyo kama walivyokuwa wamemshika yule Pilot na alikuwa anableed.
Wanapochinja watu wanakuwa wanajilinda na maambukizo?
Wanapowarundika mateka wao kwenye mahabusu wanakuwa wamehakikisha wakok ebola free? Na hao walinzi wanatahadhari yoyote?
Acheni utumwa wa fikra. ISIS, kwa wanavyofanya kazi ni zaidi ya kawaida kupata maradhi kama ebola kwa kuchezea watu na damu zao na ukimwi kwa ubakaji.
Kama wanataka kufa, kwa nini wanajilinda? Si wakae watikitwe ili wafike jehanam mapema?
Mwone aibu kutokutumia akili na kuona kila linalotokea America kafanya. Wehu!
By the way, kama wamepata Ebola, acha yafe. Mashetani makubwa usoni pa nchi!. Kwa nini wanakwenda kutafuta tiba Iraq hospitalini?
Kumbe wanaamini kuishi kwema?
Pumbavu kabisa!.