ISIS beheads American journalist

ISIS beheads American journalist

Ugaidi si dini wala kabila ila ni maamuzi ya mtu binafsi kufanya anavyohisi ni sahihi "Angalia Movie inaitwa Non stop" Watu wanajaziba zao tu, lakini kwa kesi ya Foley bado sijajua kwanini wamemuua kwa sabu alikuwa ni Mwandishi huru alietoa habari bila upendeleo
 
Yani kuna ule msemo unasema binadamu kapewa akili kuliko mnyama, lakini kwa wakristo mnyama kapewa akili kuliko binadamu. Vipi mtu afananishe MUngu na binadamu hahaha.

رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ (البقرة 201 ) Mola wetu Mlezi, tupe duniani mema, na Akhera mema, na utulinde na adhabu ya Moto (Al-Baqara 201)

Umekurupuka sheikh! Hakuna mema mtakayopewa huko akhera, ninyi kiberiti ndo size yenu na huyo aliyewaachia hizo hadithi mnazoziamini sasa hivi alishakuwa majivu!! Katuletea taabu sana hapa duniani!
 
Ukristo siyo jina wala dini. Ni mfumo wa maisha na imani. Mtu akishakuwa Muislam, hata kama atabaki na jina la John ahijalishi ana uraia wa Uingereza ama nchi gani, huyo si Mkristo tena. Ni muislam.

Kama aliyechinja mwandishi wa Kimarekani wa kujitegemea ndiye alikuwa anaitwa John, John ni jina lakini si Mkristo. Alisema yeye ni Islamic State chini ya Caliph, na alichinja akitetea uislam. Kwa hiyo suala hapa siyo uingereza, wala jina. Tatizo ni imani ya uislam ambayo inafundisha na kuhamasisha mauaji.

Alipokuwa John Mkristo, hakuchinja watu. Alipobadili dini na kuwa muislam, hata bila kubadili uraia, akaanza kuchinja watu. Kwa hiyo kinachofanya watu hawa wachinje binadamu kinyama ni mafundisho ya dini ya kiislam.
Wacha nikupe Aya ya Quran itakusaidia soma kijana.
16_125.png

Sahih International
Invite to the way of your Lord with wisdom and good instruction, and argue with them in a way that is best. Indeed, your Lord is most knowing of who has strayed from His way, and He is most knowing of who is [rightly] guided.
 
Tabby nakuunga mkono asilimia zote.
Shida ni mafundisho ya dini ya Kiislam.
Ijumaa moja nilisikiliza Ibada ya Kiislam katika Kituo cha redio Zanzibar . Shekhe alikuwa akiwaambia waini kuwa wasiogope kuitetea dini kwa gharama yeyo maana Mungu amewandalia dhawabu nyingi mno huko peponi. Hivyo mtu akiifia dini hupata thawabu nyingi kutika kwa Mungu.

Kwa kifupi unaweza kuona ni jinsi gani hii dini inachangia kwa kiasi kikubwa kwa hayo yanayo tokea
 
Heading yako inaficha ukweli? Kamchinja kwa sababu ya yeye kuwa ni raia wa Uingereza na yule ni mwandishi wa habari, ama kamchinjwa kwa sababu ya uislam anaoutetea kwa mwavuli wa ISIS?

Uchinjaji huu hauambatani na yeye kuwa Mwingereza ama vipi kwanza hili si la msingi. Alijifunika kila sehemu nakubakiza macho. Kinachosemwa alikuwa mwingereza ama la kinawezekana kuwa ni cha kweli au ikawa ni namna ya ku black mail watu wengine tu.

Lakini kikubwa si uraia wake bali ni imani yake ya uislam inayofundisha na kuhimiza mauaji ya kikatili. Huwezi kuukwepa ukweli kwa kuubadilisha jina. TATIZO NA CHNZO CHA UCHINJAJI HUU NI IMANI YA KIISLAM NA KAMWE SI KWA KUWA NI RAIA WA UINGEREZA.

Wakuu habari zenu,
Naomba wale ambao mawazo yao hayafungamani na imani yoyote tujadili hili jambo na pengine tupate kujifunza kitu kama si vitu.

Wengi wetu hapa jamvini mnatambua kuchinjwa mwandishi wa kujitegemea raia wa Marekani JIM FOLEY nchini Iraq. Cha kushangaza zaidi ni kuwa alitekeleza kitendo hiki ni raia wa Waingereza ambaye ni mpiganaji wa kundi la ISIS anayetambulika kwa jina la john ambaye ni mkazi wa London.

Mauaji ya West nchini kenya tuliambiwa kulikuwa na raia wa mataifa mbalimbali ya magharibi wakiwakirisha Alshabab, Je dunia itashinda hii vita ya ugaidi? Boko haram Nigeria wameendelea kufanya kila wanachotaka wanaua wanayetaka, wanateka wanayetaka. Leo hii wasichana zaidi ya 200 kutoko jimbo la Bono huko Maidugul wanashiliwa, pia juzi zaidi ya vijana 90 walitekwa na kuchukuliwa. Kama haitoshi mke wa naibu waziri mkuu wa Cameroon na mtoto wa chief wa jimbo moja huko Cameroon wako mikononi wa hawa jamaa.

Wote tumesikia Vijana wa Kitanzia waliokamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Alshabab. Nihitimishe kwa kusema naiona dunia kama siyo mahali salama tena, kama dunia siyo salama Tanzania haiko salama pia. Najua wengi wengi mnatakuja na hoja zile zile za udini lakini tukumbuke hakuna aliye salama siyo Mkristu,muislam ama mpagani aliyesalama.

Tunamuona John anamchinja Jim kwa haraka haraka tutasema wote ni wakristu, na ikiwa ndivo tatizo liko wapi? Nina mengi ya kuandika lakini ngoja niachie hapo, ili kupata mchango ya wadau.

Hapa ni baadhi ya Waingereza walioko Iraq na Syria

Source
:telegraph
 
Hiyo quran mimi siiamini wala siitambui. Ninachokisema ni kile kinachoonekana dhahiri katika maisha ya wenye imani ya qurani. Ukitaka guran ionekane ni kitu cha upendo, fundisha upendo, simamia upendo, demonstrate upendo. Huwezi kulazimisha watu waamin quran ni kitu cha upendo na amani wakati wafuasi wake wanafundisha chuki na mauaji, wanahimiza na kusimamia chuki na mauaji, wanatetea misimamo ya chucki na mauaji, hawajawahi kukemea wala kuyakataa makundi ya chuki na mauaji, na wote wanaofanya chuki na mauaji kama ISIS wanakirii wanafanya hivyo kwa kufuata quran na uislam.

Go away!.

Wacha nikupe Aya ya Quran itakusaidia soma kijana.
16_125.png

Sahih International
Invite to the way of your Lord with wisdom and good instruction, and argue with them in a way that is best. Indeed, your Lord is most knowing of who has strayed from His way, and He is most knowing of who is [rightly] guided.
 
Mleta mada mbona huwalaani wayahudi waliyemteka nyara mungu wetu badae wakampa makofi na kumtundika msalabani baada ya kumla GOTI
haina shida mungu wao baada ya kuuawa alifufuka na kupaa ila mtume wetu wa mnyaaz mung baada ya kubaka kile kitoto sijui atafanywa nini lakini alituagiza tumswalie ili apunguziwe adhabu na alah akiamini sisi ni wasafi kuliko yeye.
 
Kuna uthibitisho gani kuwa huyo jamaa kachinjwa?
Sasa kama ISIS ni marekani inakuwaje hayo yanayotokea?
 
Umekurupuka sheikh! Hakuna mema mtakayopewa huko akhera, ninyi kiberiti ndo size yenu na huyo aliyewaachia hizo hadithi mnazoziamini sasa hivi alishakuwa majivu!! Katuletea taabu sana hapa duniani!
Hahaha unachekesha we kwanza kabla ya kuvamia hauna tutakacho pata wewe Mungu wako nani, Mungu au Yesu? Chagua mmoja huwezi kuw ana Miungu wakati kuna Mungu kabla ya Yesu:A S wink:
 
Hayo ndio matunda ya Mudy. Nchi za ulaya wamekuwa laini sana kukaribisha waislam nchini mwao. Haya ndio matunda yake
 
Hiyo quran mimi siiamini wala siitambui. Ninachokisema ni kile kinachoonekana dhahiri katika maisha ya wenye imani ya qurani. Ukitaka guran ionekane ni kitu cha upendo, fundisha upendo, simamia upendo, demonstrate upendo. Huwezi kulazimisha watu waamin quran ni kitu cha upendo na amani wakati wafuasi wake wanafundisha chuki na mauaji, wanahimiza na kusimamia chuki na mauaji, wanatetea misimamo ya chucki na mauaji, hawajawahi kukemea wala kuyakataa makundi ya chuki na mauaji, na wote wanaofanya chuki na mauaji kama ISIS wanakirii wanafanya hivyo kwa kufuata quran na uislam.

Go away!.
Si lazima usi itambue Quran, wewe kwani ni wewe tu Mungu alikuleta duniani peke yako hapa, wacha sisi tuitambue mana ina faida kuliko utumbo wa Paulo.

Pili hao mbona ni USA na Israel ndio waliwakusanya na kuwapa trainig, hapo huoni kuna mkono wa Paulo mtungaji bibilia ulikuwa mbele.

USA alipo ona aa saa hawa wameisha kuwa hawamskilizi ndio kamua kuwapa adhabu ya kipigo cha ndege ni yale yale ya kina Osama bin Laden, WALIWATUMIA KUINGUSHA USSR walipo fanikiw awakawageuka.

Usisahau hata Bible does promote violence na kuwekea Quote hapo usiseme wewe si mfuasi wa Bibilia hapo.

Anyone arrogant enough to reject the verdict of the judge or of the priest who represents the LORD your God must be put to death. Such evil must be purged from Israel. (Deuteronomy 17:12

"If a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives." (Leviticus 20:13

They entered into a covenant to seek the Lord, the God of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the Lord, the God of Israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman. (2 Chronicles 15:12-13
Make ready to slaughter his sons for the guilt of their fathers; Lest they rise and posses the earth, and fill the breadth of the world with tyrants. (Isaiah 14:21

Show no mercy; have no pity! Kill them all – old and young, girls and women and little children.Ezekiel 9:5-7
Their little children will be dashed to death right before their eyes. Their homes will be sacked and their wives raped by the attacking hordes. (Isaiah 13:15-18

Unasemaje hapo mfuasi wa Paulo.
 
Ukristo siyo jina wala dini. Ni mfumo wa maisha na imani. Mtu akishakuwa Muislam, hata kama atabaki na jina la John ahijalishi ana uraia wa Uingereza ama nchi gani, huyo si Mkristo tena. Ni muislam.

Kama aliyechinja mwandishi wa Kimarekani wa kujitegemea ndiye alikuwa anaitwa John, John ni jina lakini si Mkristo. Alisema yeye ni Islamic State chini ya Caliph, na alichinja akitetea uislam. Kwa hiyo suala hapa siyo uingereza, wala jina. Tatizo ni imani ya uislam ambayo inafundisha na kuhamasisha mauaji.

Alipokuwa John Mkristo, hakuchinja watu. Alipobadili dini na kuwa muislam, hata bila kubadili uraia, akaanza kuchinja watu. Kwa hiyo kinachofanya watu hawa wachinje binadamu kinyama ni mafundisho ya dini ya kiislam.

Jibu zuri, naona jamaa pale juu alikwepa mtego wangu!
 
Hahaha unachekesha we kwanza kabla ya kuvamia hauna tutakacho pata wewe Mungu wako nani, Mungu au Yesu? Chagua mmoja huwezi kuw ana Miungu wakati kuna Mungu kabla ya Yesu:A S wink:

Wewe kwanza ni mwarabu, hii dini ya Mwarabu kenge katoka wapi?

Hapa mtume kaletwa kwa watu wanaoongea kiarabu (Waarabu)

Sahih International

And We did not send any messenger except [speaking] in the language of his people to state clearly for them, and Allah sends astray [thereby] whom He wills and guides whom He wills. And He is the Exalted in Might, the Wise.

http://quran.com/14/4

Surat 'Ibrahim [14:4] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Hahaha nyani huw ahaoni mku ndu wake.

In what language was the Bible first written, the entire Old Testament was written in Hebrew, but a few chapters in the prophecies of Ezra and Daniel and one verse in Jeremiah were written in a language called Aramaic.

The New Testament, however, was written in Greek. This seems strange, since you might think it would be either Hebrew or Aramaic.

Sa wew eni nani katika hao wewe ni Hebrew au wale wa Ethopian, afu mbona ilipokuja New Testament mkawa wa Greek tena.
 
Islamic State militants have released a graphic video allegedly depicting the beheading of American photojournalist James Wright Foley, who has been missing since 2012 after being kidnapped in Syria.
Foley went missing almost two years ago while covering the conflict in Syria as a freelance photographer. The 39-year-old reporter was working for Agence France-Presse when he disappeared, and his whereabouts were essentially unknown until this recording surfaced.
His November 22nd disappearance was classified as a kidnapping by the FBI, which stated he “was taken by an organized gang after departing from an internet café in Binesh, Syria.”
The Islamist group also threatened to kill another American journalist, Steven Joel Sotloff of World Affairs and Time, stating his fate is in the hands of President Barack Obama.
In the new video, the militants proclaimed the violent act as “a message to America” for its decision to launch airstrikes against the Islamic State in Iraq, where it has made rapid territorial conquests over the last few months.
After stating that President Obama’s decision to authorize military action against the extremist group “effectively [placed] America upon a slippery slope towards a new war front against Muslims,” Foley appears kneeling beside a masked man. He is forced to read a letter which blames the US government for “hammering the final nail into his coffin” before the masked man takes his life.

The family of James Foley confirmed the journalist’s death on a webpage that had been devoted to securing his release. His mother, Diane Foley, said in a statement that her son "gave his life trying to expose the world to the suffering of the Syrian people."

Sotloff’s life “depends on Obama’s next decision,” the group claimed. Sotloff has been missing since mid-2013, and his Twitter account indicates his last known location was Libya.
Speaking anonymously to the Associated Press, three US officials said the video looked authentic, with two saying the victim was indeed Foley. President Obama is expected to comment on the matter on Wednesday.
Earlier on Tuesday, the US National Security Council confirmed it had seen the video, but added that it's still working to determine its authenticity.

The video’s release comes just one day after militants declared they would attack American targets “in any place” if American airstrikes kill any of their members. Militants said, “we will drown all of you in blood” and flashed images of an American was beheading during the United States’ initial invasion of Iraq.
So far, the Islamic State’s campaign through Iraq has seen numerous reports of beheadings, including those carried out against child victims. The group has regularly threatened Christians and other minorities to either convert to their radical take on Islam or die, and even forced tens of thousands of ethnic Yazidis to flee to Sinjar Mountain with no food or water in order to escape being executed.
The last event triggered renewed military and humanitarian action by the United States earlier this month, and airstrikes have been used to help Kurdish security forces beat back militant fighters from northern Iraq. On Monday, Obama announced Iraqi and Kurdish forces had retaken control of the Mosul Dam – Iraq’s largest, and a key strategic landmark – marking the most significant victory for Iraqi troops since the US became involved again.

james-foley.jpg
A picture taken on November 5, 2012 in Aleppo shows US freelance reporter James Foley

[h=3][/h] "If genuine, we are appalled by the brutal murder of an innocent American journalist and we express our deepest condolences to his family and friends," NSC spokeswoman Caitlin Hayden said.

screenshot2.jpg
Screenshot from youtube.com/user/majed0001

The video’s release comes just one day after militants declared they would attack American targets “in any place” if American airstrikes kill any of their members. Militants said, “we will drown all of you in

[h=4][/h]

[h=4][/h]
 
Ukristo siyo jina wala dini. Ni mfumo wa maisha na imani. Mtu akishakuwa Muislam, hata kama atabaki na jina la John ahijalishi ana uraia wa Uingereza ama nchi gani, huyo si Mkristo tena. Ni muislam.

Kama aliyechinja mwandishi wa Kimarekani wa kujitegemea ndiye alikuwa anaitwa John, John ni jina lakini si Mkristo. Alisema yeye ni Islamic State chini ya Caliph, na alichinja akitetea uislam. Kwa hiyo suala hapa siyo uingereza, wala jina. Tatizo ni imani ya uislam ambayo inafundisha na kuhamasisha mauaji.

Alipokuwa John Mkristo, hakuchinja watu. Alipobadili dini na kuwa muislam, hata bila kubadili uraia, akaanza kuchinja watu. Kwa hiyo kinachofanya watu hawa wachinje binadamu kinyama ni mafundisho ya dini ya kiislam.

Tutabaki hivihivi yule sio,yule ndiyo huku watu hufanya yao.Na sijui zile ndoa za mashoga/wasagaji kwenye nyumba za ibada utazikataa vp!
 
Marekani kuwasaka wauaji
wa Forley

Kitengo cha sheria nchini ya
Marekani kimeanza kufanya
uchunguzi wa jinai dhidi ya kifo
chamwandishi wa habari mwenye
asili ya Marekani ,James Foley
aliyeuawa na wapiganaji wa kiislamu
wenye msimamo mkali.
Mwanasheria mkuu wa kitengo
hicho,Eric Holder ameweka wazi
kuwa wote waliohusika na mauaji ya
mwandishi huo watawatia mkononi
muda si mrefu.
Maofisa wa serikali ya Marekani
wandai kwamba askari hao wauaji
walidai kiasi kikubwa cha pesa
zipatazo dola za kimarekani zaidi ya
milioni mia moja na thelathini kama
fidia ya kumuachilia James Foley.
Marekani imekwisha anza harakati za
kuwasaka na hatimaye kuwakamata
waliohusika na mauaji ya mwandishi
huyo kwa kurusha ndege zake
takriban sita katika anga
inayomilikiwa na waislamu kaskazini
mwa Iraq.
pamoja na kwamba waislam hao
kutishia kumuua mmarekani
mwingine wanayemshikilia kama
ulipizaji wa kisasi endapo
mashambulio yataelemea upande
wao.
 
Wakristo hata siku moja hawafanyi dhambi kwa kisingizio cha Ibada. Hao wanafanya hayo, tunawaita wameasi imani na makanisa yanawatenga kwa unajisi. Kanisa halifundishi hivyo na linakemea matendo maovu. Hakuna hata mmoja wao aliyewahi kusikika anasema alifanya dhambi kwa agizo la dini.

Kwa hali yoyote huwezi kulingansha Ukristo na dini ya uislam inayofundisha dhambi hzio ndizo ibada. Waislam wangekuwa wanakemea matendo hayo na kuwatenga magaid kwamba wanachokifanya sicho, bila shaka dunia ingefahamu. Lakini Waislamu wote na magaidi wanaungana kwa pamoja kwamba wanayofanya ya kuchinja kubaka kuiba na uharibifu wote ndio ibada yao.

Unataka kusema nini hapa?

Tutabaki hivihivi yule sio,yule ndiyo huku watu hufanya yao.Na sijui zile ndoa za mashoga/wasagaji kwenye nyumba za ibada utazikataa vp!
 
Na watakuja kina john weng tu kushika visu na kukata shingo zenuu!! na mtabaki kusema uislamu HAMJIULIZI WHY KINA JOHN WANAKUWA WAISLAMU tena toka hukohuko magharib
 
Back
Top Bottom